Taarifa Kutoka Jeshi la Polisi Kuhusu Tuhuma za Ubakaji Dhidi ya Mume wa Flora Mbasha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jeshi la Polisi limethibisha kupokea tuhuma za ubakaji dhidi ya mume wa mwimbaji wa injili Flora Mbasha anayefahamika kwa jina la Emmanuel Mbasha.

Akiongea na Tovuti ya Times Fm, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa Ilala, Marietha Minangi ameeleza kuwa jeshi hilo limepokea tuhuma hizo kutoka kwa mlalamikaji ambaye ni binti mwenye umri wa miaka 17 na kwamba binti huyo alifika katika kituo cha polisi akiwa na ndugu zake.

“Taarifa zimepokelewa na zinachunguzwa. Taarifa zilizokuja ni za kubaka sasa tunazichunguza tufike mwisho tujue ni nini.” Kamanda Minangi ameimbia tovuti ya Times Fm.

Ameeleza kuwa baada ya kupata taarifa hizo kutoka kwa mlalamikaji polisi walienda nyumbani kwake ambapo hawakumkuta yeye na mkewe na kwamba hadi sasa hawajapatikana.

Tovuti ya Times Fm ilitaka kupata ufafanuzi kuhusu uhusiano uliopo kati ya mlalamikaji na mtuhumiwa kwani taarifa za awali zinadai kuwa ni shemeji wa mtuhumiwa.

“Hayo yote yanachunguzwa, mimi siwezi kusema ni shemeji yake kabla hatujafikia mwisho wa uchunguzi. Tutakapofikia mwisho wa uchunguzi ndipo tutakapoweza kusema wana mahusiano gani.” Kamanda Minangi ameeleza.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni aibu tena aibu kubwa kwa mkristo anayejua nini maana ya ukristo. Mungu tusamehe

    ReplyDelete
  2. huyo frola nae ameyataka ndugu yake kubakwa ni mambo yao ya kishirikina hayo ingekuwa hajashiriki asingetoroka na mumewe ndiyo madhara ya kutaka kuolewa na vitoto vidogo lazima ahangaike kutafuta bint anaendana nae.

    ReplyDelete
  3. Ukimuona Frola Mbasha Muulize Maswali Haya,1.Kwanini Alikimbilia Kulala Hotelini Alipohitilafiana Na Mumewe Badala Ya Kwenda Ukweni Kama Ilivyo Mila Na Desturi? 2.Tunauhakika Gani Kama Huko Hotelini Hakuwa Akilala Na Hawara Yake Na Ndiyo Maana Hakuondoka Na Mdogo Wake Kwenda Nae Huko Hotelini? 3.Ni Sababu Zipi Za Msingi Zilizomfanya Amuache Mdogo Wake Kwa Mumewe Ilihali Yeye Mwenyeji Kaondoka? 4.Na Kwanini Hakwenda Ukweni Kukaa Na Kuwasilisha Malalamiko Yake Ili Mumewe Aitwe Na Wazazi Wake Wamseme Badala Yake Kaenda Hotelini Na Akashindwa Kwenda Kuishi Hata Kwa Ndugu Zake? 5.Ana Utetezi Gani Tukimwambie Yeye Si Mlokole Bali Ni Mtu Wa Dunia?Mfano,mavazi Yake Matiti Yapo Nje,kafungua Studio Yake Kamwalika Lowasa Na Komba Waje Waifungue Badala Ya Kumwalika Askofu Au Mchungaji Wake Aje Aifungue Na Kuibariki? Mara Ajiingize Kuipigia Kampeni C.C.M Na Kukaa Jukwaa Kubwa Na Hii Huenda Anamahusiano Yasiyofaa Na Mwanasiasa Mmoja Kwanini Awe Peke Yake Na Wasiwepo Wasanii Wengine?Tendo Hil + Kulala Hotelin Unapata Picha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapa sasa lazima kutakuwa na ukweli ndani yake endapo atajibu hayo maswali mkuu.....

      Delete
  4. Hakuna cha ulokole wala nini ni malaya wote yeye na kibwana chake.

    ReplyDelete
  5. Na Tena Endelea Kumhoji Zaidi Kuwa Tunatilia Shaka Hy Kesi Kuwa Yeye Ndiye Kamtengenezea Mumewe Hy Kesi Ili Mumewe Alambe Miaka Kisha Aendelee Kula Maisha Na Huyo Kigogo Wake Aliyemshawishi Akaishi Hotelini!! Et Mke Wa Mtu Unakimbilia Kuishi Hotelini!? Bibilia Inasema Epuka Mazingira Yatakayokusababisha Utende Dhambi Jamani Huko Hotelini Mambo Yafanyikayo Huko Hakuna Asiyeyajua!! Haya Mtoto Kabakwa Ijumaa Et Sebuleni!! Inawezekana Kweli Mbakaji Ambakie Sebuleni Wakati Chumba Chake Kipo Au Hata Cha Mlalamikaji Angembakia Huko!? Haya Yote Tisa Msichana Hakwenda Polisi,jumapili Anaamua Kupanda Kwenye Gari La Mtuhumiwa Kwahiyari Yake Ili Abakwe!!Na Ukumbuke Jana Yake Alibakwa Leo Kapanda Gari La Mtuhumiwa Bila Woga!! Mtuhumiwa Nae Et Asimbakie Nyumbani Et Kaamua Akambakie Ndani Ya Gari Ili Watu Washuhudie Hata Ungekuwa Wewe Unaweza Kufanya Hvy Kweli? Hv Kwanini Tusimtie Hatiani Kuwa Kesi Hii Kaitengeneza Frola Mwenyewe Ili Ampoteze Mumewe Jela Kisha Aolewe Na Huyo Waliyekimbilia Nae Hotelini? Mimi Hainingii Akili

    ReplyDelete
  6. Na Tena Endelea Kumhoji Zaidi Kuwa Tunatilia Shaka Hy Kesi Kuwa Yeye Ndiye Kamtengenezea Mumewe Hy Kesi Ili Mumewe Alambe Miaka Kisha Aendelee Kula Maisha Na Huyo Kigogo Wake Aliyemshawishi Akaishi Hotelini!! Et Mke Wa Mtu Unakimbilia Kuishi Hotelini!? Bibilia Inasema Epuka Mazingira Yatakayokusababisha Utende Dhambi Jamani Huko Hotelini Mambo Yafanyikayo Huko Hakuna Asiyeyajua!! Haya Mtoto Kabakwa Ijumaa Et Sebuleni!! Inawezekana Kweli Mbakaji Ambakie Sebuleni Wakati Chumba Chake Kipo Au Hata Cha Mlalamikaji Angembakia Huko!? Haya Yote Tisa Msichana Hakwenda Polisi,jumapili Anaamua Kupanda Kwenye Gari La Mtuhumiwa Kwahiyari Yake Ili Abakwe!!Na Ukumbuke Jana Yake Alibakwa Leo Kapanda Gari La Mtuhumiwa Bila Woga!! Mtuhumiwa Nae Et Asimbakie Nyumbani Et Kaamua Akambakie Ndani Ya Gari Ili Watu Washuhudie Hata Ungekuwa Wewe Unaweza Kufanya Hvy Kweli? Hv Kwanini Tusimtie Hatiani Kuwa Kesi Hii Kaitengeneza Frola Mwenyewe Ili Ampoteze Mumewe Jela Kisha Aolewe Na Huyo Waliyekimbilia Nae Hotelini? Mimi Hainingii Akili

    ReplyDelete
  7. mambo ya ndani ya familia hamuyajui je km alishapeleka kesi ukweni zaid ya mara moja na hawamsikiliz hata km ni wewe utarudiatena kushtaki? hiyo ni ndoa ukweli aanaowenyewe jamani ni vyema tuangalie za kwetu kabla hujamnyooshea mwenzio vidole

    ReplyDelete
  8. mi mwenyewe nishamgonga alipokuja kwetu kwe ziara yake akibisha nataja alama zake na yote yaliyo chini ya kapeti bisha Flora uone

    ReplyDelete
  9. Kwahyo inakusaidia nn hata ukitaja? Naww kicheche pia ina maana wakati yupo kwenye ziara ww ulikuwa huna mtu au ndo ulikuwa unamsubiri flora? Na baada ya ziara kuisha .............

    ReplyDelete
  10. nakubaliana na mdau hapo juu maana ishu hii ni ya kimagumashi.
    soma hapa nilichokitoa jamii forum

    By The bold
    Naomba nifunguke kidogo nielezee kile ninachokifahamu kuhusu ili sakata!!

    Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na Florah ulianza kushika kasi mwaka jana mara baada ya Florah na Mumewe kuhamia kuanza kusali kanisani kwa GWAJIMA (ufufuo na Uzima - kawe) wakitokea kanisa la MITO YA BARAKA (kariakoo)! Inasemekana kuwa mara baada ya kuhamia kanisani hapo kwa mualiko wa Gwajima (aliwaombe waje kusali kwake), mchungaji Gwajima alimfanya florah kama kiongozi wa Ibada ya SIFA na KUABUDU katika mikutani yake!! Kama ni mfuatiliaji wa haya mambo utakumbuka kuwa mwaka jana Florah alizunguka Tanzania nzima akiwa na Gwajima wakifanya mikutano ya Injili!!

    Baada ya Muda kidogo Mchungaji Gwajima alimpeleka Florah London kwaajili ya masomo kitendo ambacho inasemekana kilipingwa sana na mumewe Mbasha! Ikumbukwe kuwa GWAJIMA haiwezi kupita miezi miwili pasipo kwenda UK coz amefungua kanisa kule (GLORY OF CHRIST - UK)!! So katika kipindi ambacho florah alikuwa London walikuwa wanaonana mara nyingi sana na GWAJIMA...

    Baada ya Florah kurudi Tanzania ndipo akaanza hii ziara ya kuzunguka mikoani na GWAJIMA.. inasemekana kuwa katika kipindi hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati ya forah na mumewe yalizorota zaidi... baada ya ziara kuisha Florah arirudi nyumbani lakini she wasn't the same (nisiseme zaidi)! Baada ya mikwaruzano ya hapa na pale ndipo Florah akaenda kukaa hotelini na inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa na mchungaji GWAJIMA, ikumbukwe kuwa ni swala la kawaida kwa Gwajima kuwalipia bills mbalimbali viongozi wake wa huduma hapo kanisani kwa mfano anamchngaji anaitwa MAXMILLIAN MACHUM amempangishia nyumba ya ghorofa pale ubungo na wachungaji wake wote wapatao thelethini amewanunulia magari!! Lakini hata hivyo hii hatua yake ya kumpangia hoteli mke wa mtu ilizua maswali mengi sana.....

    NAOMBA TUDIGEST HII KWANZA ALAFU NTARUDI HAPA KUELEZEA YAFUATAYO

    1. Kisa cha mbasha “kubaka"
    2. Milioni 10 alizotoa GWAJIMA kwenye msiba wa kulola
    3. Mungu akinipa ujasiri nitamtaja kabisa mtu aliye nyuma ya pazia ya hii sinema..

    ReplyDelete
  11. Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana mahusiano ya kimapenzi na shemeji yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah.. kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wakaribu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!

    Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda kumuhoji Mr. Unaambiwa jamaa aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona hata yeye anafahamu kuwa florah anamahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote! Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!! Unaambiwa flaorah hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...

    from jamii forum

    ReplyDelete
  12. jamaa kweli aiseee na msamaha kaomba

    ReplyDelete
  13. Ndio wapendwa wetu hao wanafanya mambo ya kishenzi huku wakitumia kivuli cha kanisa binaadamu bwana.

    ReplyDelete
  14. doooh ni shda, wap nana junior nakupendaga bureee

    ReplyDelete

Top Post Ad