Kuna tetesi kuwa Beyonce ana uhusiano wa kimapenzi na bodyguard wake Julius De Boer

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanandoa mastaa, Beyonce Knowles na Jay Z wamekuwa wakihudhuria sherehe mbalimbali licha ya kuwepo uvumi kuwa ndoa yao ipo matatani lakini tetesi hii inaweza kuwa kubwa zaidi kuwahi kusemwa.

Kuna tetesi kuwa Beyonce amekuwa akimsaliti mumewe na kutembea na bodyguard wake Julius De Boer.

Beyonce anadaiwa kuwa karibu mno na Julius De Boer, mzaliwa wa Uholanzi ambaye amekuwa akimlinda tangu mwaka 2009. Habari zimedai kuwa Jay Z ana wasiwasi pia na uhusiano wao.

“Jay kiukweli anahisi kuwa kunaweza kuwa na kitu cha kimahaba kinaendelea kati ya Bey na Julius,” chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa Mstarz News. “He wanted to fire Julius last February, but Beyoncé said, ‘Julius isn’t going anywhere. They’ve spent a lot of time together behind closed doors. He’s even stayed in her hotel room.”

Kumekuwepo na tetesi za wawili hao kupeana talaka japo wamekuwa wakiikwepa. Tukio la Jay Z na Solanga kugombana kwenye lifti hivi karibuni liliongozea nguvu tetesi hizo.
Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hii ni movie bado inaendelea, ila mwisho wa cku kitaeleweka tu

    ReplyDelete
  2. Jay z simpendi

    ReplyDelete
  3. hahahaa mdau, y umpendi jay z

    ReplyDelete
  4. Sasa unategemea nini bordgurd handsome kulikojigga.lazima kieleweke.

    ReplyDelete
  5. Admin umbeya wa bongo umekosa sasa umerukia wa majuuu?

    ReplyDelete
  6. Niliota cku moja ninaduu na jayz i ddnt knw what the meaning?tena alinifikisha vzr xana.

    ReplyDelete
  7. Una pepo wewe...paka weee.....

    ReplyDelete
  8. Mi nilikuwa naota nasex na osama kila siku mpaka alipokufa na nilikuwa nampenda haswaa nikimuona tu kwa tv chupi inalowa mapenz haya

    ReplyDelete
  9. wabongo bwana sasa naona mmetoka nje ya mada

    ReplyDelete
  10. Udaku sio bongo tu had I Europe... mweee

    ReplyDelete
  11. beyonce mtam jamaa ana faidi diamond na ww sogea pale...j-z ata pasua mtu na baaaang:baaaang:

    ReplyDelete

Top Post Ad