Mrembo wa Kenya Mwenye Umbo la Utata Corazon Kwamboka, Akiri Kumzimia Hermy B

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kama girlfriend wako akikuona unaongea na Corazon Kwamboka, hakuna shaka kuwa roho yake itamdunda kwakuwa wazo la kwanza litakalomuijia kichwani ni kuwa himaya yake ipo matatani. Corazon Kwamboka ambaye ni mwanasheria by profession, ameiteka blogsphere ya Kenya kwa umbo lake matata na kuvutia kama la Agnes Masogange.

Hii imewafanya wasichana wengi wa Kenya wamuonee wivu na kumsema vibaya. Pamoja na kuwatoa wanaume udenda kwa umbo lake, producer wa B’Hits, Hermy B, amekuwa mwanaume mwenye bahati kwakuwa amezimiwa na mrembo huyo aliyeamua kuweka wazi kwenye Instagram.

“Before Monday ends.. here is my real crush #MCM. Hermes tpf,” aliandika mrembo huyo Jumatatu hii.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duh usimpe presha dem wa hermy b

    ReplyDelete
  2. Wakenya Mungu aliwanyima sura.

    ReplyDelete
  3. yan masura ya madem wa kikenya mabayaaa

    ReplyDelete
  4. Hivi hamjawahi kuona wanawake wa kisukuma...jamani ni wachache wenye maumbo mabaya. Mabint kama huyo wapo tele huku rock city...si utani eti.

    ReplyDelete
  5. Wa kawaida sana cjaon cha ajabu

    ReplyDelete
  6. hata demu wangu mzuri kuliko huyu

    ReplyDelete
  7. hata demu wangu mzuri kuliko huyu

    ReplyDelete
  8. Ni kazuri KAKUFIRA

    ReplyDelete
  9. mimi namzimia mdogo wake Hermy B

    ReplyDelete
  10. mmmmmmmh!sura sifur

    ReplyDelete
  11. kwa kenya ni sawa...lakini huku bongo ni level ya pale CBE au IFM

    ReplyDelete

Top Post Ad