Linah Sanga "Jamani Nafunga Ndoa Soon na Mchuchu Wangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Linah Sanga Siku hizi Kuonekana Kila kona Akiwa na Kijana Anayejulikana kwa jina la Nagari Kombo Amehabarisha na Kusema huyo ni mchumba yake kabisa na Nyumbani wameshajitambulisha kila kitu kiko sawa na Wanasubiria Ndoa tu Ambayo itakuwa hivi karibuni....Mara ya mwisho walionekana pamoja siku ya Tuzo za Kill Pale Mlimani City ...Mchumba wake Ni yule Kijana Aliyepata umaarufu Baada ya kuingia Uwanjani siku ya Taifa Stars na Brazil na kwenda Kumkubatia Ricardo Kaka huku Mpira Ukiendelea.
-Udaku Specially-
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera.ila unafungia kanisan au boman?

    ReplyDelete
  2. Funga tu mamy

    ReplyDelete
  3. Tumeshakuzoea na umalaya wako hata yule mmarekani ulisema ndoa soon matokeo yake ukamegwa na kutemwa..

    ReplyDelete
  4. Anony hapa juu mshenzi wewe! Inaelekea unamuonea wivu sana linah,mshenzi mkubwa inaelekea wewe ni dem na kama ni man basi ulimtaka lina akakukataa! Na inaelekea una wivu sana na huna maendeleo hata kidogooooo!na hutapata maendeleo labda ubadilikeeee yan hapo hata kazi sijui kama unayo! Kwann watu msipendane???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona umetokwa na povu kwani uongo sasa mbona tunafahamu kama lina kamegwa na washikaji kibao. issue ya msingi hapa afunge ndoa sio kututangazia kila siku eti ndoa soon. masaburi weeeh, shit

      Delete
  5. Kwani mtu si anaweza kusema ndoa karibuni na isitokee ndo umalaya? Jamani watu hawapendani! Au ukute hata kumjua lina humjui! Basi tu mijitu iliyoumbwa na wivu.

    ReplyDelete
  6. Nakupenda mage sana.ed

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nawe tumekusikia na mahaba Niue yako.

      Delete
  7. Kumegwa ndo nn msaada jaman.

    ReplyDelete
  8. Hongera edd kwa kumpenda mage.

    ReplyDelete

Top Post Ad