Mmiliki wa Team ya Manchester United Afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.

Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na shilingi trioni 2.2 na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poleni mashabic wa MU lkn pamoja na kifo hicho MU naamini itaendelea kua imara. R.I.P Malcom Gleizeer.

    ReplyDelete

Top Post Ad