Msanii Dayna Nae Aingia katika List ya Wasanii Waliojichumbua Ngozi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha hapo Juu ni Kabla na Baada ya Dayna Msanii wa Bongo Flava Kujichubua na Kuwa Mweupe Kama Mzungu, hii inamfanya aingie katika list kubwa ya Mastaa wa Bongo waliojikoboa Ngozi na Kubadilika kabisa muonekano,
Swali Langu : Sikuhizi ukiwa Staa ni Lazima Ujichubue ? Kuna Siri Ngani Huko ? na Je Hawaelewi Madhara ya Kujichubua?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hovyo kweli si kidogo,uzuri wa mda mfupi huoooo

    ReplyDelete
  2. ooooh..alikuwa mzuri jamani....

    ReplyDelete
  3. Kawa mbaya na anavaa uchi siku hizi na hasa kuacha tumbo nje.

    ReplyDelete
  4. kusema kwreli nimekua simpendi kwa kuvaa uchi nq hio kujichakachua

    ReplyDelete
  5. Kujichubua ni sawa na uteja unatamani kuacha lkn unashindwa coz ukiacha unakua kama nyani.

    ReplyDelete
  6. Ahhaahahhah yan uyu dada alikua ana color nzur tuu ila doooh now kaharibuuuuu vbaya yan pole ako

    ReplyDelete

Top Post Ad