Mume wa Flora Mbasha Asakwa Kwa Tuhuma za Ubakaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.

Taarifa zilizopatikana  ndani  ya  jeshi hilo kupitia vyanzo vyetu makini zinadai kwamba mlalamikaji huyo alifika kituoni hapo Jumatatu iliyopita muda wa mchana na kufungua kesi  yenye Kumbukumbu Na. TBT/RB/3191/2014 na ya Jalada  la  Uchunguzi  Na. TBT/IR/1865/2014 akidai  kufanyiwa  unyama  huo kwa siku mbili (Ijumaa na Jumapili)  wiki iliyopita nyumbani kwa Mbasha, Tabata-Kimanga, Dar.

Ilidaiwa  kuwa, Ijumaa iliyopita mlalamikiwa alifanya kitendo hicho sebuleni nyumbani na Jumapili ilidaiwa  alitekeleza ukatili wake huo ndani ya  gari lake  hali ambayo  ilimfanya mlalamikaji kutoa  taarifa  Kituo cha Polisi, Tabara-Aroma jijini Dar.

Iliendelea kudaiwa kuwa, kufuatia maumivu  makali  aliyoyapata mlalamikaji huyo ilibidi  aende  Hospitali ya Amana  na  kugundulika  kuwa aliingiliwa  kimapenzi na kumsababishia michubuko  sehemu za  siri.

HISTORIA YA MLALAMIKAJI
Mlalamikaji ni  kati  ya  watoto  mapacha  waliozaliwa  jijini Mwanza  na mama  ambaye  jina lake  halikupatikana mara moja.

Mama wa mtoto huyo (kwa sasa ni marehemu pamoja na mume wake) akiwa muumini wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God (EAGT) aliamua  kumtoa mtoto mmoja kwa mama  mzazi wa Flora Mbasha kwa lengo la kumlea,  wakati huo mtoto  huyo alikuwa na miezi  mitatu.
Ikaelezwa kuwa, mama wa  Flora alikaa  na  mtoto huyo akimsomesha hadi alipofika darasa la saba ambapo alimkabidhi kwa Flora na kuishi naye hadi  alipofikwa na janga hilo.

Maelezo zaidi yanasema Mbasha aliweza  kufanya  kitendo  hicho  kwa sababu mkewe (Flora)  ameondoka  nyumbani na kwenda kuishi hotelini kwa kile  kilichodaiwa  kwamba kuna ugomvi  mkubwa ndani ya ndoa yao.

Taarifa  zaidi  zinadai kwa sasa Mbasha naye hayupo  nyumbani kwake huku mlalamikaji yuko  Hospitali  ya Amana akiendelea kufanyiwa  uchunguzi  wa  kiafya ili kubaini kama ana maambukizi ya magonjwa ya zinaa au la!

Kwa  upande  wake  mlalamikaji huyo alipopigiwa  simu  juzi kwa  lengo  la  kuthibitisha  kuhusiana  na sakata  hilo  alikiri na kusema  amekwishatoa  taarifa  polisi   kwa  kitendo alichofanyiwa na mwenye nyumba huyo huyo. 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah hatari sana

    ReplyDelete
  2. Inaweza ikawa kweli maana mbasha nae do aliwahi kualikwa na familia yetu ,akaja na familia yake pale home tulikua na dada WA lazi mnyarwanda alikua mrembo balaa mbasha uzalendo ulimshinda akamwambia amedata Mara wakikutana colidon anamtekenya Mara nin baadae walipo ondoka dada ilibidi amwambie mama
    ILA ilifunikwa chini kwa chini ikapita so siwez mtetea kwa hil

    ReplyDelete
  3. Jaman watu tunapenda kushadadia matatzo ya wenzetu, siyo vizuri tukumbuke matatizo hajaumbiwa mtu mmoja, badala ya kumfariji mwanamke wa watu tunazidi kumuumiza

    ReplyDelete
  4. ....ama kweli wanahabari wa bongo ni W A N A F I K I mno. ...ni nini jana kiliwafanya mfiche jina la mbakaji kama siyo unafiki wenu, au mlimtaka mpewe kidogodogo kwanza, lakini kwa vile hamjapewa ndiyo mnajitia sasa kumtaja....

    ReplyDelete
  5. mdau wa 9.45 hujui jinsi Flora anatamba mtaani. Huwa anajishaua kupita kiasi... Na huyo jamaa yake kazi kujipaka mkorogo na kudandia watoto wa watu. Tumemchoka huku mtaani, tena kapata jeuri sababu ya ule mgari wake, kazi yake kupakia watoto wa watu na kuwasulubu

    ReplyDelete
  6. Kwani hilo ni tatzo au kajitakia

    ReplyDelete
  7. Kua na mwanaumy HB nikutafuta ugonjwa wa moyo! Jitafutie lakolako tu no stress maisha yanaenda... Kwanza HB c watafutaji asubiri umtafutie mbaya na kinachouma anatumia pesa zako kutafutia wanawake dah ni SHIDA...

    ReplyDelete
  8. Kwa ndugu wa 9:52. Mbona kama una chuki binafsi? Anatamba mtaani kivipi? Kwa kuwa kaolewa? au ana maisha mazuri au walikuwa wanaonekana kupendana na mumewe? Hakika ukifanikiwa tu wabongo hamuishi kunena. kilichomkuta Flora kupitia kwa mumewe kinaweza mkuta yoyote uwe unaringa au hauringi, msafi ama mchafu, tajiri au maskini hata ww (km upo kwenye ndoa) kwa kuwa jambo lenyewe limesababishwa tu na mtu mwingine. Usishereheke na matatizo ya mwenzio ilhali hujui la kesho. Ni vizuri kumwombea au ukae kimya kabisa kwa kuwa unachokisema hakisaidii!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. leteni picha ya huyo demu aliuyebakwa...usikute jitu zima....na yeye flora kama akili hauna ungefanya siri..chizi kweli wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtu mzima habakwi? Na huyo Flora afanye siri alibakwa yy?? C lazima ucoment kila cku kila mada! NANA JINGA ww...

      Delete
  10. Sasa Flora kwa nn ulikwenda kuishi hotelini? Ukamuacha mmeo na dogodogo ulitegemea nn? M nafikiri hakumbaka bali ilikua ni ishu lkn labda kaona dau ni ndogo hawezi bakwa mara mbili kwa nyakati tofauti!!!!!

    ReplyDelete
  11. sammy,sio hivyo unavyofikiria,Flora ana matatizo na mume wake,kwa hasira na huku wakijaribu kuyaweka mambo sawa flora aliamua kwenda kukaa hotelini,ndio hayo matatizo mengine yakatokea tena.ila kweli huyu shemeji yetu hajatulia,huwezi amani kama anaitwa mlokole,anahitaji maombi haswa.

    ReplyDelete
  12. Jamani mbona watu tumekuwa wa kufurahia matatizo ya wenzetu?tukumbuke leo kwa Flora kesho kwa mtu mwingine ,basi hata kama sio kwako,yaweza kuwa kwa dadako,mwanao au yoyote wa karibu na wewe,Kaa kimya kuliko kuchangia ugolo wako hapa,tuweni wazalendo basi,Tafadhalini

    ReplyDelete
  13. mmmh pole frola

    ReplyDelete
  14. ya vick kamata yameisha sasa ni ya mume wa frola mnmnmmh katia aibu sana.

    ReplyDelete
  15. amemuaibisha frora mtumishi wetu wa nyimbo za injili mmmh so sad

    ReplyDelete
  16. Frola wewe Ulikimbiza mbunye ulitaka jamaa apige puchu au?....usikute hata uko hotelini na wewe ulikuwa na serengeti boy wako unapigwa dozi..nawewe ukaoneshewa nyumbani tuache unzinzi wanandoa,mume ukizini nje mkeo ataziniwa chumbani mwako...Fundisho kwa wote

    ReplyDelete
  17. Walio ktk ndoa waache kuchepuka haya ndio madhara yk ss,mke kahama nyumba mume kaamua amgegede binti.

    ReplyDelete
  18. Hii habari inasikitisha sana. Jamani huu wokovu kweli ni wa mtu binafsi na Mungu wako, tutahukumiwa kwa matendo yetu. Nimkumbuka una baba mmoja anajiita mlokole ofisini kwetu yan amezaa na dada ambae amempa umeneja mradi kwenyehuo mradi wake wa maji. Mume wa huyo dada hajui chochote ila ofisi yote kuanzia walinzi, wafagiaji mpka wakurugenzi hakuna asiyejua kuwa huyo baba kazaa ba huyo dada. Huyo baba ameoa na ana mke ambae ni mstaarabu sana. Wewe H. Malebo uliyezaa na Veritas Msimbe mnaposoma hii post mkatubu. Mme wa Veritas, Washwoga hana hili wala lile, hajui kitu. Washwoga kamfanyie mwanaó wa pili DNA na yake ndio utajua kuwa Veritas alizaa na Malebo. Veritas alipopata mimba akashauriwa na Malebo akafunge ndoa haraka sana, ili isijulikane kuwa ni mhusika wa hiyo mimba. Maisha yanaendelea na Malebo anaendelea na Veritas kama kawaida. Wewe mme wa Veritas jiridhishe na huyo motto ila sio wako! Mjini shule kaka. Nawe Malebo za mwizi zako niliishafika. Kibaya Washwoga hajasoma zaidi na anametegemeamke wake. Haya machafu yote yanafanyika wakat mke wa huyo baba akiwa masomoni nje. Yaani huyo baba anavyoniudhi sasa ofisini.

    ReplyDelete
  19. Nina kisa cha kaka mmoja ofisi kwetu anadai ameokoka anaitwa H. Malebo alikuwa na mahusiano na Magdalena Hall walipokuwa Uppsala, Sweden mwaka 2012.Wewe Magdalena Hall unayefanya kazi wizara ya viwanda na biashara na unadai umeokoka, unasali kwa Mchg. Gwajima. Unaposoma post hii nenda katubu na Malebo. Magdalena Hall kama hutasoma hapa hata rafiki au ndugu anayekufahamu akisoma hii habari akufikishie huu ujumbe. Mlidhani mnafanya siri ya watu wawili kwakuwa mlikuwa ulaya, ila Mungu alikuwa anawaona na uzinzi wenu. Wote mkatubu, yani watu wanasema wameokoka ila ndio uzinzi wanautanguliza mbele.

    ReplyDelete
  20. Nawe H. Malebo unaposoma hapa, uone aliyofanya Mbasha na wewe jipime kesho itakuwa zamu yao kuumbuka kwenye vyombo vya habari. Unashindwa kuhudumia familia yako kushinda unafanya uzinzi na kugawia wanawake pesa. Umeijua pesa baada ya kuipata sasa unaonyesha ni jinsi gani ulivyo limbukeni wa mikate. Unawaudhi watu wengi hasa ofisini kwa tabia zako chafu. Kama unasoma hapa au ndugu zako au rafiki zako wakufikishie huu ujumbe.

    ReplyDelete
  21. Anonymous (12.47) (12.59) (1.05)
    Peleka hiyo habari yako global publishers iwe na mwanzo mzuri kama una uhakika.

    ReplyDelete
  22. Mi ni washwoga jamani nisaidieni ndoa yangu inavunjika

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole sana toa namba ya simu au email hujachelewa kaka washwoga. Utajua kila kitu, usidanganywe na mke wako.

      Delete
  23. Wewe unayesema ni washwoga nenda nimr chunguza na ongea vizuri na wafanyakazi watakupa mkanda wote. Au la mtafute mke wa Dr. Malebo utapata habari zote. Yaani kwanza unatafitwa sana ili ujue mke wako ni wa aina gani! weka email yako au namba ya simu utasaidiwa vizuri tu. Kaka mjini ni shule tena wafanyakazi wanasema wewe umefanan kidogo na Malebo sura na itakuwa ngumu kutofautisha sura ya mwanao, ila ni rahisi kujua. Pole sana ndio hivo mjini shule.

    ReplyDelete
  24. Wash woga toa namba ya simu ututafute utasaidiwa haraka sana!

    ReplyDelete
  25. Veritas anadharau kila mtu kwenye mradi kisa kazaa na bosi wa mradi wewe angalia, yaani kuna watu wana masters eti wapo chini ya Veritas! basi anavyowatambia wenzake mh ni shida. Habari ni za uhakika huyo verutas sijui ana shimo mana duh double dose!

    ReplyDelete

Top Post Ad