AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.
Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao?
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kwakweli trafic wapale sayansi wanakerasana wanaruhusu magari
ReplyDeleteupandemmoja saanzima,wakati kilamtu anaharakazake mwengine mmgonjwa waowanaona kunawatu waupande flani ni muhimu kuliko mwengine,kwakweli hawatendi haki,inawezekanapiandiochanzo chaugomvi.
UTII WA ASHERIA BILA SHURUTI[KAZI NZURI NAWAPONGEZA
ReplyDeleteWasenge sana hao traffic minataka nijeniwagonge nagari wale wenye torch wanajificha alafu wanakimbilia barabarani
ReplyDeleteXawa mpo kazin nami nikiwa kazini kwangu jino kwa jino ila angalien/kuwen makini mtakuja kung'olewa meno mshatuuzi JW Msifakamie mkazan maziwa zingine ni asasi_nimetii tu kazi yenu ila cjaamua ntakuja tembeza mkong'oto shauri zenu mrudi mmevimba.
ReplyDelete