Mwanaume Mchumba wa Vicky Kamata kumbe ni Tapeli Alishawatapeli Wadada Wengine Wawili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu:

"Le Mutuz leo nilienda kumtembelea Mheshimiwa Mbunge Vicky Kamata, Nyumbani kwake Sinza Kijiweni she is fine and doing great baada ya kukutwa na mkasa mzito wa kukutana na Mwanaume Tapeli wa Kina-dada wenye uwezo hapa mjini Bwana Charles Mfanyakazi wa Tigo hapa mjini Dar. Ni Kijana aliyekwisha watapeli kina dada watatu hapa Mjini wenye uwezo wakiwemo Mabebez wakareeezzz hapa town kama Super Restituta na Penzila Kaisi na wao pia aliwatapeli mapesa yao na kuishia kuwaacha kwenye mataa, I feel for my Super Sister Vicky lakini cha muhimu ni kwamba Mungu amemuepusha na Tapeli wa Ajabu sana ambaye sasa hivi anahofiwa huenda akajiua baada ya kushitukiwa kwenye huu utapeli wake wa safari hii. Ninamuombea Mheshimiwa Vicky Mungu akuongoze usonge mbele ni ya kawaida na halafu kwenye maisha the bigger you become na matatizo pia lazima yawe makubwa kama ulivyo so worry not and move on!! - Le Mutuz"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

53 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ILA ATAKOMESHWA NA YEYE,ASIJIFANYE MJANJA,NYIE SUBIRINI TU.HII NI DUNIA NA DUNIA NI YETU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lakini si Vicky huyuhuyu alimtesa sana marehemu mh.Amina Chifupa kwa kuliwa uroda na mume wake wa ndoa Mohamed Mpakanjia? Muosha huoshwa kudadadeki!

      Delete
  2. SIO VITU VYA KUJISIFIA SANA

    ReplyDelete
  3. Malipo hapa hapa Duniani kwa Mungu huenda hesabu tu.

    ReplyDelete
  4. mwenyewe vicky nyege zake tamaa....mwanaume kutapeli ni kawaida...yeye vicky anakurupuka tu!!!!!fyuuu olewa na hela

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nana leo umenifurahisha sana.mbona nae kakwiba waume zawatusanaa hata hapo alipo ubunge kautoawapi??wacha kbsa yamkute huwez kupanda mihogo ukavuna mpunga bwana.atulie huko watoto wakubwa pesa anayo nini kuhangaika nawanaume wamjini.alifikiri hela inanunua ndoa eeh?

      Delete
  5. ...disturbing sky 96millions where are they those ....why she ddnt quit untill the end...this is Dar'salaam where ze peasant are lectuered how kilimo kwanza is just on paper

    ReplyDelete
    Replies
    1. Damn! Why cant people just use google translator

      Delete
    2. Sure...poor English. .they those...lol..shame on u..flip again ur class 2 books

      Delete
    3. they....those......lol

      Delete
    4. adm akiweka habari kiingereza kimyaa,akiweka ya kisw mnajikakamua na english yenu ya shule za kata. Kama hujui kuandika kiingereza kwa ufasaha pita kimya kimya

      Delete
  6. pole mama, mungu atakulipia io time ulopotezewa

    ReplyDelete
  7. sasa na hiyo mimba inakuaje na mtu mwenyewe tapel lol

    ReplyDelete
  8. Wanawake na maendeleo ndiyo hayo mama , huna lolote unauza kama njugu

    ReplyDelete
  9. vick umalaya wake

    ReplyDelete
  10. Hii aibu mbunge mzima unatapeliwa mume bora kutapeliwa mali sasa watu wajifunze nini ina maana mpaka kufikia hatua ya ndoa hukujua duuu aibu sana na fedheha kubwa kwa Vicky

    ReplyDelete
  11. Aaaah, haaaaaaaaaaaaa!!!! Uwiiiiiiiiiiii! Aibuuuuuuuu! Tunataka hela zetu jamani uwiiiii!

    ReplyDelete
  12. Jamani kwanza limwanaume lenyewe jitu zima linamzidi umri vick sana ,sasa kwa nini vick hakujiuliza mume mtu mzima awe hana mke kweli?yamepita ila vick utakuwa umepata somo.

    ReplyDelete
  13. Bado ww unaeandika mambo ya hovyo humu! Utapeli ni sanaa yeyote yaweza mkuta!

    ReplyDelete
  14. She deserves!!!!!

    ReplyDelete
  15. Ngoma droo hapo mwivi naye kaibiwa.hapa duniani bana kila mtu ana mjanja zaidi yake.mimi wala simsikitikii huyo Vicky wala nini.ukizingatia muda wake wa kula bata ndio unaishia hakuna rangi ataacha ona

    ReplyDelete
  16. Kisimi kinamuwasha..

    ReplyDelete
  17. muosha nae huoshwa

    ReplyDelete
  18. mi pia namshangaa huo ubunge alipo utoa chezea jiji..akamuuluze kikwete pumbavu zake..chagua hela au mume?,,,sasa aolewe na hela ,,,,sasa anataka nini..heby atuwache tupumue..alae kwenye andaki lake.

    ReplyDelete
  19. ninaidea..au le mutuz amuoe...maana namuona na yeye ..........

    ReplyDelete
  20. malaya mzee!

    ReplyDelete
  21. lemutuz chukua mlupo huo, m.vicky unapenda hela na unajickia sana....

    ReplyDelete
  22. Mbuge nae pia kafilimbwaaaa mpaka basi,halafu kichwa kibovu kama hiko eti kiweze kua "thinkers" wa issue za kitaifa. Hii nchi yatia aibu km ni ulaya kwa kashfa hii angesha jiuzulu mwenyewe lkn tz bora liende.
    Helo helo Tzaniaa tuimbeeeeer

    ReplyDelete
  23. Ha ha ha......noma sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau yani Vicky kabebwa tuu.ni ziro kichwani anatumia tu mwiliwake we ushawahi kumuona hatasikumoja akileta hoja huko mjengoni.ye kaenda kuuza sura nakuzungusha kiuno nawamemtafunaje huko sasa jamvi lawageni.mnatuletea mapoyoyo bungeni tunataka watu km Anne kilango,halima mdee,bulaya wapigakaz shenz kbsa naviti vyenu maalumu vyakubebana tu.

      Delete
  24. Usitegemee kwamba mazambi ambayo utafanya hapa duniani yana pote tu hivihivi yatalipwa hapa hapa hata awe nani amini

    ReplyDelete
  25. vick umeshazeeka, uzee ushakuingia, tulia ulee wanao. mbolo za nini umri wenyewe huo. mwisho wakufile bure!.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha eti asije akafanyaje? Ukute walishamzibua siku nyingi chezea waume wewe

      Delete
  26. hahahahahhahahhahh.....uwiiiiiiiiiiiiiiiiii....mnachekesha kweli kweli......mwe

    ReplyDelete
  27. Le mutu my Ass hivi jamaa no gay au ndo both ways manake vitu vya dizaini hizi hanapenda sana just asking

    ReplyDelete
  28. Watanzania tuige tabia ya kuandika habari za ukweli tusitafute umaarufu kw kuandika habari za uongo kama huyo mwanaume ni tapeli na hao wanawake pia ni matapeli.tuliambiw vicky ana mimba anatakiwa total bed rest sasa anawezaje kuendelea kuelezea habari za aliyekuwa mchumba wake?kama keshapona aende bungeni akawatumikie wana Geita!atulie alee watoto.wadada wa mjini tujitahidi tusiendekeze kuwa desperate kwa sababu mnataka tu ndoa tulieni lieni na Mungu mr right Man atakuja.Admin uwe na ethics za uandishi rudi darasani why kuharibu brand ya tigo?umeambiwa ameharibu kazi z tigo pia?mwisho Charles na wewe jitulize usipate mengine.players wako wengi mjini msimtolee sana Charles macho na kumuona yeye ndo funga kazi

    ReplyDelete
  29. NAWABUNGE KUMBE WANATAPELIWA? HAO SI NDO RATTIONAL THINKERS WETU? HOW? HAHAHAHAHA KUOLEWA DILI JAMAN WATU WANACHANGAMKIA

    POLE LAKINI

    ReplyDelete
  30. Jamani vicky! pole kwa yaliyokupata!! Jesus loves u!! come back to him ,u still have time to repent darling ,

    ReplyDelete
  31. woman of God,asante,God bless you.

    ReplyDelete
  32. Kwa kweli vick ulikurupuka.Iweje hukumchunguza huyo charles? au ulivyoona ana fanana na mpakanjia basi ukaona ujikumbushie.
    Umejiaibisha sana sana.Hizo milioni 40 anaenda kumhonga mwanamke mwingine. Saa hivi yuko kwenye kifua cha mrembo mwingine.Pole sana mwaaya...lea ujauzito wako taratibu mama

    ReplyDelete
  33. Mwanamke hutulii kila kukicha ni wanaume za watu tu.Kwanza tangu uingie bungeni sijawahi kukusikia ukichangaia wala kuuliza swali lolote.Unakalisha matako tu ukijiona mzuuriii....
    Chapa kazi kama akina Halima mdee kila siku anasikika akiunguruma bungeni.Umegawa mwili wako wee hadi ukapewa ubunge...huyo charles alikuwa anakuinjoi tu.Amekutumia weeee hadi kachoka.Uwe na akili wewe mwanamke wa kisukuma.

    ReplyDelete
  34. Wakubwa wamekuchezea weeeee! acha umalaya mwanamke.

    ReplyDelete
  35. Tatizo wanashobokea sana ndoa hawa dada zetu siku hz.......kwa staili yao hyo ya kupenda ndoa watatombwa sana na kuachwa njia panda kama huyo mwenzao viky kamata.

    ReplyDelete
  36. akome kazoea sana

    ReplyDelete
  37. ushauri wangu kwa dada vicky,pumzika bana unaandikwa sana jamani hujisikii vibaya mama,pole kwa yote ila kaa utulizane epuka kashfa maana umri nao umeshaenda,lea watoto wako wakikua watakulaumu sana,unajisikiaje kuandikwa that much na matusi juu kwenye magazeti,ebu tulia acha kujikosha kwenye vyombo vya habari,acha haya mambo yaishe dada

    ReplyDelete
  38. VICKY UNAJIKOSHA SANA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA STATEMENT ZAKO ZINAKINZANA MNOO KAA KIMYA UMECHEMSHA BIG TIME KUBALI MATOKEO UMRI UMESOGEA SANA KIONGOZI HUNA MAADILI NA NINGEKUWA NI WA GEITA MIE UNGESHAA ASANTE MWENYEZI MUNGU NO MORE SPECIAL SEATS.MMEZOEA SANA NA VICKY UNATUMIA PESA ZAKO KUTAKA MAPENZI ,MILIONI 40 UNAZOSEMA AMEKUTAPELI YEYE NDIO ALIKUWA MWEKA HAZINA?MARA UNA MIMBA HALAFU UNAMSEMA VIBAYA.WOTE MLIKUTANA WASANII UNGEKUWA UNAMJUA MUNGU ULIYEMFANYIA MAOMBI USINGEBEBA MIMBA KABLA YA NDOA..KAA KIMYA CLOSE THIS CHAPTER TAFUTA USO WA BWANA.NYIE NDIO MNAOFANYA VIONGOZI WOTE TUWADHARAU.

    ReplyDelete
  39. jamani pesa!! pesa!! pesa!! umezitafuta kwa dhambi,pia unazitumia kwa dhambi!!

    ReplyDelete
  40. I DONT KNOW WHY MEN ARE CHEATING US I JUST REMEMBER ALSO IN THE BIBLE ABOUT LABAN CHEATING JACOB GIVING LEAH INSTEAD OF RACHEL.WHY MEN CHEATING US STOP GUYS WE RESERVE RESPECT.
    VICKY VISIT THE GCTC CHURCH(UFUFUO NA UZIMA) BONDE LA KUKATA MANENO PALE UTAPATA MUME MWEMA KUNA MANABII KAMA NI TAPELI WATAONYESHWA NA BWANA WA MAJESHI THAT THIS GUY IS NOT A RIGHT ONE.
    MAY GOD WANTS YOU TO MEET WRONG PERSON BEFORE MEETING THE RIGHT ONE SO THAT WHEN YOU WILL FINALY MEET THE RIGHT ONE YOU WILL BE GREATFUL FOR THAT GIFT .SHUKURU KWA KILA JAMBO MHESHIMIWA

    ReplyDelete
  41. MUNGU AKASEMA SI VYEMA MTU HUYU AWE PEKE YAKE NITAMTAFUTIA WA KUFANANA NAYE ,NDOA NI TAMU NA NAFIKIRI NI ONLY ENJOYMENT WE WERE GIVEN IN THIS WORLD ,DONT BLAME MUCH TO THIS MADAM.

    ReplyDelete
  42. Pole my dear Vicky, ingawa mimi ulinikataa lakini sijafurahishwa kabisa na alichokufanyia huyo jamaa ... kama alitaka kula na kuondoka angesema kuliko kukupa matumaini ya uongo.. Mungu akutie nguvu na akujalie umpate wa ukweli..

    ReplyDelete
  43. Hivi huyo shemeji Gardiner yu wapi khaa!!!?

    ReplyDelete
  44. Vicky kesho ni sunday my dear,tafuta kanisa la kiroho uende huko ufanyiwe maombi,mi sitanii niko sereous, i understand wat ur passing through!!

    ReplyDelete
  45. walee wote waliolizwa na vicky ki ukweli poleni sana, ila wala hamkuwa na haja ya kugombana nae, wala kulipiza kisasi ,kisasi mungu mwenyewe kamaliza...basi.

    ReplyDelete

Top Post Ad