New Video: Baby Madaha – Nawaponda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

First lady wa Candy n Candy, Baby Madaha ameachia video ya wimbo wake Nawaponda. Itazame hapa na utoe maoni yako. Ni kali ama kamiss? 

Angalia Hapa chini Kisha Comment
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haina uzuri wowote anamuiga rihana na swaga za shilole.

    ReplyDelete
  2. WImbo mbaya sana

    ReplyDelete
  3. Huyo anaimba au.anapiga kelele hatumuelew buuudu dadadah ndio nn kama kuimba ndio huko bac hata mm najua

    ReplyDelete
  4. bora akaimbe mchiriku, uyu dada analazimisha mziki na akati mzik aumtaki

    ReplyDelete
  5. mbona buuuuh! dadadaaa! heheheee vichekesho vya mjini huwa haviishi, nakushauli madaha tafuta biashala ufanye cyo mziki. hujui. mziki kama huu nani ataupiga redioni? utawalaum na ma presenter jamani.

    ReplyDelete
  6. bora uendelee na fani yako ya kuuza nyapu , mziki waachie wanamuziki cio wewe chokoraa malaya mzee

    ReplyDelete
  7. Baby mahaba as u call yoself,muziki is not yo thing fungua duka la vipodozi anza kufanya kazi there is where ur destiny is!yan nkikuangalia kimuziki hauna mvuto licha ya kwamba hujui kuimba

    ReplyDelete
  8. Jamani mbona kama kazeeka au mi sioni vizuri? Wrincles za kutosha duh!!!! Kiukweli aache ku-copy vya wengine, hamna kitu hapo

    ReplyDelete
  9. mbaya.ila production nzuri sana iko clear

    ReplyDelete

Top Post Ad