Picha: Irene Uwoya Azama Kwenye Penzi la Dancer wa THT, Msami

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami. Kwa mujibu wa mahojiano kati ya mpenzi wa Msami aitwaye Rehema na Soudy Brown wa U Heard, Irene ndiye aliyependa (kumtongoza) kuwa na Msami licha ya kufahamu kuwa tayari ana mpenzi mwingine.

Rehema amesema kilichomfanya Msami akubali kuwa ‘Serengeti’ wa Uwoya ni kwakuwa amekuwa akiwezeshwa fedha zinazomweka mjini. Rehema amesema Msami amekuwa kwenye uhusiano na Uwoya ni tamaa za kuwa na maisha mazuri.

“Ni tamaa tu za vijana, si unajua tena ukiwa bado hujatoka. Wanashawishika na tamaa ya hela ili apate kutoka na ajulikane,” amesema Rehema.
Msikilize Hapa chini:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jaman! SI bora arud hata kwa Kalla kuliko kujiaibisha!

    ReplyDelete
  2. Nawadharau malaya wa bongo movie mpaka basi khaa

    ReplyDelete
  3. irine kapendeza..yuko kimya siku au na wewe kama vicky kamata?

    ReplyDelete
  4. mapenzi hayachagui ni wakati wake tesa!

    ReplyDelete
  5. Jamani Hata huyu rehema anajiabisha. Kwani huyo Msami alilazimishwa? manake sijaelewa anavyosema kuwa atarudi tuu. ndo mana watu hawatulii wanajua mtu atapokewa akirudi. Ukwimwi utatumaliza jamani. eti anasem irene hajatulia anatembea na watu hafu bf wako anatembea nae unasema atarudi akirudi na magonjwa?

    ReplyDelete
  6. huyo msichana nae ana njaa tatizo hapa bongo wengi njaa kali sababu huwezi kumsubili mtu mpk aachane na mtu kama sio njaa nini, just move on but kwa hiyo stahili unajiaibisha

    ReplyDelete

Top Post Ad