Picha:Boko Haramu Waonyesha Wasichana Waliowateka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.
Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake miamoja wakiwa wamevalia hijabu na kuswali. Abubaka Shekau anasema kuwa wanawake hao ni wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo.
Walitekwa nyara kutoka katika shule yao mjini Chibok, Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo
Rais wa Ufaransa amejitolea kuwa mwenyeji wa mkutano utakaotafuta njia za kupambana na Boko Haram. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dini ya mashetani. Hamuwezi kupata waumini/ wafuasi kupitia mahubiri ila nguvu na kumwaga damu. Ama kweli mnafuata nyayo za mtume wenu 'pedophile '

    ReplyDelete
    Replies
    1. Rekebisha kauli yako tafadhali,
      So dini ya mashetani. Mkosa adabu weeee. Kwani umeambiwa uislam unachochea mabaya?

      Delete
  2. Dini ya mashetani. Hamuwezi kupata waumini/ wafuasi kupitia mahubiri ila nguvu na kumwaga damu. Ama kweli mnafuata nyayo za mtume wenu 'pedophile '

    ReplyDelete
  3. kenge maji ww,uckashf din yote,hizo niiman zawa2 wachache,hata india waislam wana uwawa na wakristo! urusi pia waislam walikua wanachinjwa, mwisho shetan n mmoja, hakunaga mashetan

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huko unakokutaja hakuna aliyekuwa anawauwa au kuwakamata kwa nguvu ili wabadilishe dini...kichwa chako kama cha Allah mwongo mpenda ngono!!

      Delete
    2. Huko unakokutaja hakuna aliyekuwa anawauwa au kuwakamata kwa nguvu ili wabadilishe dini...kichwa chako kama cha Allah mwongo mpenda ngono!!

      Delete
    3. mpenda ngono msmako alibkrwa na mealim wakwaya akakza ns mpiga debe wsdtend

      Delete
  4. mungu akulaani ww uliyekashif dini ya kiislam likufike la kukufika usituchezee imani zetu kama huna coment usiandike

    ReplyDelete
  5. Hao boko halam sio tu wameitukanisha dini ya kiislam bali wameitia dowa kiasi kwamba kila muislamu anaonekana ni mtu ambae hana roho nzuri na mwenye matendo mabaya!kifupi ni kuwa hao boko haram wanatumia kivuli tu cha uislam lakin uislam wala mwenyeenzi Mungu na mitume wake hawakuhi kuwatuma hivyo!unajua shetani anambinu nyingi sana na mwanadamu ni kiumbe dhaifu sana,hao boko haram hawana tofauti na freemason sema wao wamekuja kwa staili ya hio kujifanya ni uislam!mwenyeenzi mungu ametufundisha tusihukumu kwakuwa hakuna binadamu mwenye mamlaka kuliko yeye aliye juu!sasa huu wote ni mpango wa shetani na hakuna muislamu yoyote mwenye kumjua mwenye enzi Mungu na kumtii akafuata matendo au kuyaunga mkono!ukiangalia kwenye video yao wanawake wanauwawa kwa kupigwa mawe ni huruma sana halafu leo unaniambua Mungu ndio amewatuma?huo ni mpango wa kishetan wazi wazi kabisa,uislam ni dini safi ila kuna watu kama hawa ndio wanao uharibu uislam na nguzo zake yote hii ni mipango ya shetani.mm ni mkristo lakini leo hii siwezi kusema waislamu wote ni wauwaji hapo ntakuwa nakosea sana unatakiwa kusema ni boko haram na mipango yao ya kishetani na sio kwasababu eti wametumia dini hio!boko haramu ni boko haramu na uislamu ni uislamu na ni dini ya mwenyeenzi Mungu biko haramu na uislamu ni vitu viwili tofauti.Mungu awaokoe na awajalie uzima kutoka kea mashetani wale ameeen.

    ReplyDelete
  6. boko haram ua hao makafiri wapotee kabisa ktk ulimwengu huu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe Boko haram .tayari ni mwanachama siyo? Unaunga mkono kitu ambacho hakitawezekaana watu wote kuwa waislam au kuwa wakristo. tutlize jazba wakristo watakuwepo tena kwa kuongezeka na wasilamu tena nao kama watafanya bidii kuhubiri kwa amani wataongezeka.

      Delete
    2. History inaonyesha uislamu toka kuanzishwa kwake mafanikio yake ya kupata wafuasi kwa ushawishi wa kuhubiri ni madogo. Mtume wao alipotunga hiyo dini yake mwaka 610 alipata wafuasi wachache sana katika kuhubiri na kuaminika. Idadi hiyo inasemwa kuwa kama 200 tu baada ya miaka kumi! Lakini toka aliporudi Meca kwa kuchinja waliokuwa wakimpinga, amri ilikuwa wale waliosalimu amri wamkubali yeye na Allah wake au wachinjwe, na kweli wengi walichinjwa hasa wayahudi.Basi hapo ndo kichaa alipewa rungu. Akaona kumbe kwa upanga ndo anakubalika, ndo ikaanza badilisha dini uwe muislamu au ufe au uhame...hiyo ghuba ya Arabia yote hadi kaskazini mwa africa ilikuwa na watu mchanganyiko wakristo na wapagani...kilichowapata kilikuwa ni upanga au uislamu, hadi Spain na Ureno....Ufaransa ndo walitandikwa wakarudishwa nyuma.
      So tunachokiona leo ni muendelezo wa wafuasi kumuiga mtume na matendo yake kwani qur'an inawaambia wamuige Muhammad.

      Delete
    3. MM.
      Acha kashfa,dini ya kiislam,kwanza maana ya uslamu ni unyenyekevu na maana ya asalaam aleykum ni amani iwe nawe, inaonyesha dhahiri dini ya uslamu ni amani tu,hata Mwenye MUNGU ndio anavyo taka. vitendo vya bobo haram vya kumwaga damu ni si vya kiungwana.

      Delete
  7. We ndo ktk maboko haramu ni mheshimiwa,nyambafu na dini yenu hiyo ya kikatili,dunia nzima tumeichukia

    ReplyDelete
  8. Angekuwa mama yako au dada yako ametekwa na kufirwa na hao mashetani wako kuma ya shangazi yako usingeinua kuma yako na kupayuka uharo huu ungekuwa unaomboleza sasa hiv!ila kwakuwa hakuna hata unayemjua ndio unadiriki kupanua uchi wako na kuongea!shetani matako yako wewe na hao boko kuma nina!

    ReplyDelete
  9. OOOOOOH ALLLAH HELP THEM HAWAJUI WALITENDALO.

    ReplyDelete
  10. hv makafri ndo kna nan? jaman mi napta, MUNGU tusaidie na ndimi zetu.

    ReplyDelete
  11. Je waslam wanaweza kuungana na dunia nzima kuwatokomeza hiki kikundi? shughuli!!

    ReplyDelete
  12. mnapata dhambi bure kubishana ujinga , muachieni mwenyewe mungu ndio anayejua zaidi, cha muhimu ni kuwaobea watoto wa watu warudi salama makwao

    ReplyDelete
  13. walaaniwe hao Boko Haram. Najiuliza kwani makundi haya yanatumia mwavuli wa dini . 1 Al-Quida.. Dini gani....? 2. Alshabab... Dini gani.....3 Boko Haram.....? Seleka.....
    Kwanini wanatumia mwavuli wa dini hii moja tuuuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Abusayaf, al qaeda, alnusra, talibana, Isis,...uamsho...ADF...

      Delete
  14. hakuna haja ya kutukanana kila mmoja atakapoingia kaburini ndio atajua alioyachuma kwa mkono wake haina haja ya kutukana dini ya mtu kila mtu amepewa fahamu ya kutambua baya na zuri ukiona boko haram wako sawa haya ukiona wana makosa sawa ila ujue mungu anapotoa adhabu anakuhukumu kwa makosa yako mwenyewe sio kwa ujumla chungeni sana vidole visitereze kutukana watu au mitume wetu wote

    ReplyDelete
  15. Lakini JIHAD na ALBADIR havina uhusiano na haya magomvi yanayoendelea duniani hasa kwa vikundi hivi vyenye mwelekeo wa dini??? Something wrong na mafundisho ya hawa watu wa hi dini.

    ReplyDelete
  16. mungu wetu wasaidie watoto hawa dhidi ya watu wabaya

    ReplyDelete

Top Post Ad