Wasanii 6 wa Kike Walivyokua Mwanzo Kabla ya Kuanza Kujichubua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukizungumzia mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini kwa hawa dada zetu wa kike waliamua kuongeza urembo wao kwa kuweka mkorogo “bleaching” , full u-michael jackson :-) Hizi ni baadhi za picha zinavyoonyesha wasanii hawa wa kike walivyokua mwanzo na walivyo sasa ;-

Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’

DJ-Penny-Kajichubua
Jackline Wolper
Jackline-Wolper-Kajichubua-vibe-co-tz
Wema Sepetu
Wema-Sepetu-Kajichubua-vibe-co-tz
Shilole
Shilole-Kajichubua-vibe-co-tz
Ray C
Ray-C-Kajichubua-vibe-co-tz
 Ruth Suka ‘Mainda
Mainda-amejichubua-vibe-co-tz

Je , Unadhani nani kajichubua sana kupita wenzake?


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wote mkorogo.fashion bongo.

    ReplyDelete
  2. wote wapumbavu, wanafikiri uzuri ni weupe, kumamayo zao!

    ReplyDelete
  3. Wote wamejichubuasana kasoro shilole ukitizama shilole kajipura ILA kidgo ilahaowengne wote hahaaaaaa mkorogo dot com

    ReplyDelete
  4. Admn hana picha ya shilole alivyokua igunga, aingie insta mbn shilole aliipost! Kitu ilikua nyeusii balaa! Shilole kafunika woteee

    ReplyDelete
  5. njaa ndio inayowasumbua

    ReplyDelete
  6. Ni maamuzi yao waachen.

    ReplyDelete
  7. walivyokuwa natural walikuwa wazuri kweli but sasa wanatamani warudi kama zamani mwe huruma

    ReplyDelete
  8. jamani wema alikuwa na mwilil mdogo ..wowowo kubwa kalitoa wapi?...

    ReplyDelete
  9. wolper full mzunguuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  10. U know km we mzuri ni mzuri ata ukiwa na rangi yako asilia tena ndio unapendezan zaidi but sio km mnavoonekana wote hapo mmejiaribu tuu na hamjapendeza lolote ni ujinga wa akili tuu sababu mwanamke anaejiamini afanyi mamabo km hayo ya kipumbavu

    ReplyDelete
  11. jamani....hii yote ni kwaajili ya kuuza KU...M waacheni

    ReplyDelete

Top Post Ad