Picha:Recho Haule na Mwanawe Wazikwa Inasikitisha Sana Jamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!


 Mchumba wa Recho Akiaga kwa Uchungu So touching Jamani
Hapa Wakiingiza Jeneza Dogo la Mtoto 
RIP 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapo ndio mwisho mwisho kabisa binadamu hatuna ujanja.

    ReplyDelete
  2. Sikuwahi kumsikia Recho lakini imenisikitisha,R.I.P.

    ReplyDelete
  3. Sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea!

    ReplyDelete
  4. mungu ni mmjoja tu na binadamu hata uzunguke dunia nzima lakini lazima utarejea kwake allah subuhna wata allah yeye ndie mbabe wa viumbe wote duniani!
    ulichokichuma duniani ndicho kitachokusaidia mbele ya safari!
    kama starehe kwenda mbele duniani na huko moto kwenda mbele tu!
    tumuabudu mungu wetu jamani kwani dunia ni tunapita tu iko siku tutaondoka tu!

    ReplyDelete
  5. Dah!!R.I.P~Recho/kiroho upo nasi ila kimwili umepotea

    ReplyDelete
  6. mwanamke akifariki kwa kujifungua yeye anaenda peponi. pumzika kwa amani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani kakudanganya wee
      mpumbavu!

      Delete
    2. Hapana usimwite mpumbavu labda umueleweshe. Chochote ulichotenda dunian ndicho utacholipwa mbinguni. Ukitenda mabaya hata ufe kifo gani utalipwa yayo hayo...

      Delete
    3. Iko hivyo jamani mwanamke akifa na uzazi anaenda pepon

      Delete
    4. dini gani iliyosema hivyo?
      au kuna kitabu chocho kilichoandikwa aya hiyo?
      wacha kusikiliza maneno ya binaadam bwege wee

      Delete
  7. rest in peace dada,

    ReplyDelete
  8. Nimesikitika sana. Ila ninatamani kufahamu recho haule ni nani. Tafadhali wadau naomba mnifahamishe.....!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ingia google andika jina lake utaiona picha yake na kama wewe ni mpz wa filam za hapa home ukiona picha uta kumbuka ulisha muona kwenye movie gani, au tafuta movie inaitwa vanessa in dilema

      Delete
  9. Inauma sana kwa mume wake hana tena faraja kupoteza mke na mtoto ni hakika ni jeraha ambalo halitibiki kamwe

    ReplyDelete
  10. So sad..R.I.P recho...

    ReplyDelete

Top Post Ad