Tazama Ujumbe Mzito Aliyoandika K-Lyine Kwenda Kwa Mheshimiwa Mengi Ikiwa Leo Ndiyo Birthday Ya Mengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia  salamu mzazi mwenzie  kwa kuweka picha hii:
Nakuandika ujumbe huu:

"Wishing my love,best friend,father of my kids and the most wonderful human being I know Reg,a Very Happy Birthday With all my love"
Mtandao Huu unakutakia furaha na maisha marefu mzee wetu!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

45 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakika anastahili kutakiwa maisha marefu,ni mtu wa watu.

    ReplyDelete
  2. HBD 2 u Mr Reg/Live Long

    ReplyDelete
  3. Saluti kwako mkuu

    ReplyDelete
  4. mzee anajilia tu mtoto mbichi

    ReplyDelete
  5. Anonymous 1.45
    chezea pesa wewe! babu angekuwa hana pesa lazima tungesema bibie kalogwa.kila la heri mzeemengi.

    ReplyDelete
  6. Pesa ipo ila nashangaa kylin kakongoroka hivyo ptuu ukosefu wa dudu mwilin am out!

    ReplyDelete
  7. sasa mengi ana vitamin gani, alifaudu mke mkubwa vitamin ya mengi, saiv klyin anadeal maji mepec sana ambayo hayana vitamin kabisaa ndo mana hanenepi uyo

    ReplyDelete
  8. Anonymous.2.40.hapana mzee bado yumo kwa yadi,si umeona watoto?maji mepesi hayatoi mtoto.

    ReplyDelete
  9. Jack umekonda Hadi naona Damu inavyotembea Mwilini!!! Mifupa mitupu!!! Kulikoni??????? Mmmh!!!

    ReplyDelete
  10. uzee mwisho msata

    ReplyDelete
  11. jack upo na tajiri ndo unazid kukonda, kulikoni au ndo unamawaza mtaumbuka .... Maana mna badili damu kila mara nje ya nchi na mzee

    ReplyDelete
  12. Huwezi kunenepa huku unailazimisha furaha..upo na mtu kma babako unafanya nae yako haipendezi ..money can't buy happiness. ..hawezi kujiachia nae itikadi zenu tofauti tamaa mbele mauti nyuma...hata vijana wanauwezo wakutafuta na mkafika mbali mkifurahia safari yenu ya ushindi enzi za ujana wenu

    ReplyDelete
  13. Ni mzee wacha bwana,maana bibie anajitahidi kumsoapsoap lakini wapi,hahahahahahahahha! kwikwikwikwikwi! niite baby kama vijana mnavyoitana!wajemeni kweli pesa hainunui mapenzi.oiiiiiiiii

    ReplyDelete
  14. Jamani vijana mlikua wapi kumposa huyu dada mpaka kaenda kuangukia kwenye mikono ya huyu kikongwe a.k.a baby? Acheni roho zenu mbaya bhana mwacheni bibie ajilie vyake na babu wake,hahahahahaaaaa!

    ReplyDelete
  15. Naalaaniwe aonae utupu wa babaye....nimaneno yakitabu kitakatifu hayoo..anenepe kwa lipi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alaaniwe vipi kwani babaake yule we mwenyewe Kama Mengi angekutongoza ungemkatalia wewe au unaongea tu coz huonekani wacha maneno yako wewe..

      Delete
    2. Pesa isikufanye uuze utu wako..money can't buy happiness. ..mimi sina laana yakuvulia nguo vikongwe kwanza ntapofuka...kma pesa natafuta mwenyewe naruzika nanikipatacho namwomba mungu aniongezee baraka na sio mwanadamu aniongezee...hard work pays...

      Delete
    3. Word up!Kula tano

      Delete
  16. K lyin kinachomkosesha amani kukosa uhuru ana uhuru wa kwenda sehemu yoyote ile km kuna mgonjwa anapelekwa na babu na anasubiriwa wanaondoka wote ht kuongea hawez.

    ReplyDelete
  17. Utalala hapo Eti baba Wa watoto!!! Watoto Wa kupandikizwa??? Angalia bible inasemaje!!!! Tunakupa 1 year!!! Utakwisha Hbr yako'nn tamaa mbele mauti nyuma!!!! Unajua hizo hela amepataje??? Pumbavu!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dada una hasira wewe utakuwa ndugu Wa karibu Wa mzee mengi

      Delete
    2. We dada huko juu pumbavu weye kumamayo we nani kishipa cha bibi yako ina maana mtu asipende kumamayo we unamfundisha mtu kupenda we nani matako yako

      Delete
  18. K Lyn hawezi kunenepa kwa sababu anaishi maisha yasiyo ya kwake. Msisha aliyoyazoea siyo maisha anayoishi. Atanenepa sana na kwa haraka sana siku akitoka kumsindikiza babu Mengi makaburini. Toka siku hiyo K Lyn atarudi kwenye maisha yake na akiwa na mtonyo wake wa urithi na lazima toka hapo ataanza tena kukojoa kila akitombwa kwa sasa anatombwa hakojoi na hafurahii mapenzi ni kama yuko utumwani mtoto wa watu.

    ReplyDelete
  19. MH HAPANA CHEZEA PESA

    ReplyDelete
  20. MH HAPANA CHEZEA PESA

    ReplyDelete
  21. Wonders shall never end. Money can't buy happiness. She's a gold digger with no brain.

    ReplyDelete
  22. Mmemaliza kila kitu wakuu..

    ReplyDelete
  23. Mi ningekuwa k lyne na mipesa yoteee hiyo ningenenepa ka nyumba,klyne vipi?una mawazo gani ,badala ya kutumia toilet paper unatumia madolali kujichambia mavi bado unakonda? Mbuta

    ReplyDelete
  24. Kwani mzee mengi kafikisha miaka 60?

    ReplyDelete
  25. Kidoti nae kipindi kile Yuko na mzee mengi alikuwa anaringaaa,pesa hizi hatareee

    ReplyDelete
  26. Wapi madam rita siku hizi anazidi kukonda jaman au anamwaza madam mzee angetafuta kijana amkojolee apate vitamin hawa Wote tayari.

    ReplyDelete
  27. Huyu klyn kakonda sana

    ReplyDelete
  28. hata kama mwanamke akiolewa na mwanaume wanayelingana naye kiumri bado kama ukitaka kulinganisha utasema kuwa kaolewa na kaka yake. Katika mapenzi hakuna umri wa kuoana. Mwanaume yeyote anaweza kuoa mwanamke wa umri wowote. Suala la kusema kaolewa na babu au baba ni hoja inayojengwa kutokana na upumbavu na wivu tu. Kuhusu pesa kwani hakuna mwanamke aliyeolewa na mwanaume wanaolingana sababu ya pesa. pesa ndio determinant ya mapenzi upende usipende.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo wanaume masikini hawaoi?wanaoa wenye pesa?mapenzi Si pesa,Mengi anapendwa na warembo kwakuwa Ana Hela ndefuuuuuuuu,kataa kibali .

      Delete
  29. nyi pwayukeni mwezenu ndiyo kaoza chezea noti wewe uzee mwisho.....................

    ReplyDelete
  30. HAO KINA K LYN NDO ZAO KUHUSUDU VIKONGWE,HATA DADA YAKE AMBAYE NI GENERAL MANAGER WA PTZ NAYE ANATEMBEA NA MBABU AMBAYE NI MUME WA MTU,HIYO TABIA YA KUTEMBEA NA VIBABU IMO KWENYE DAMU YAO.

    ReplyDelete
  31. Haha, Nyi wenzetu waTanzania comments zenu joh.. meanwhile, hebu soma maceleb warembo wa kutoka TZ tunaowapenda sisi waKenya.. Wema Sepetu hayumo kwenye list jameni..

    ReplyDelete
  32. Kweli nyie ni mbwa. Muacheni Jackline ntuyabaliwe ale zake maisha. Eti wanabadilisha damu utazani mlikuwepo.nyie mbona hambadilishi na mnakufa mnawaacha. Anenepe ni ng'ombe wa nyama. Vijana mna mapenzi yapi kwa mfano? Au mnaharisha tu? Hamna hata ndoa inayovutia ni vilio tu. Mwanaume unasota naye anakuua na ukimwi na hakuna unachopata. Akipa pesa ndio humuoni. Unaishia mateso plus kipigo na hata mia hupati. Kwa nn mtu ukupata mwenye pesa usile maisha? Kwani wasio nazo hawana ukimwi? Nyooooo!

    ReplyDelete
  33. Wabongo mnatia Aibu ! unaolewa na babu na si baba yako tena. Loh ! bahati mwanae Mengi alifariki angeshamla huyooo. Acheni tama warembo. maskini mama reginal mengi pole. madada wa skuizi pochi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad