Breaking Newzz: Masikini! Yule mtoto aliyefichwa Ndani ya Boksi kwa Miaka 4 Afariki dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Innalilaah wainnailah rajiun, Nasra pumzika mamii hukustahil mateso ulopata...

    ReplyDelete
  2. Pumzika kwa amani nasra dah nimeumia sana jaman kaz ya mungu haina makosa

    ReplyDelete
  3. R I P Nasra hiyo ndio kazi ya mungu aamina

    ReplyDelete
  4. nassra mamakapumzike.yametimiakwani hukustaili kupata mateso uliyopata.rest in peace.tulikupenda ila mungukakupenda zaid

    ReplyDelete
  5. Wafungwe maisha waliosababisha mateso ya marehemu jamani.. Mungu akupumzishe kwa amani mpendwa wetu!

    ReplyDelete
  6. Rest In Peace Nasra...!!

    ReplyDelete
  7. R.I.P.Nasra mumii..kapumzike mpz msalimie mamako alikua na makusudi kukuacha ili watu wenye huu ukatili wagundulike..pumzika kwa amani totoo yametimia.

    ReplyDelete
  8. R.i.p mpendwa wetu,hukustahili ukatili wote huo uliotendewa,eti kisa tu mama yk alifariki beutfl baby gal,mungu akupumzishe pema.amin

    ReplyDelete
  9. Nasra pumzika kwa aman peponi wasamehe bure watesi wako kama Kristo Yesu alivyowasamehe watesi wake pale msalabani.Jack mzalendo.

    ReplyDelete
  10. R.i.p....mungu mkubwa kakuchukua..........pia waliokudhulumu haki ya kuishi ktk jamii ya kawaida nao nahisi watawekwa jela kwa muda huo waliokudhulumu.....0717337536

    ReplyDelete
  11. dunian uxngepata malezi halali kwako, mungu ameamua akulee mbali na macho ya wanadamu walokosa upendo wa dhati kwako, pumzika salama katika kifua cha babu yako abraham pamoja na ayubu, hakika mateso yako yalichukua sura ya mateso ya ayubu likn umeyashimda nasra, upumzike mama, amina

    ReplyDelete
  12. Inalilah wainalilahi rajiuni.

    ReplyDelete
  13. Mungu ndie mweza wa yote, jaman!!!binadam tumekuwa na roho tofauti na mwonekano wetu nasra wangu pumzika mama mungu kakupenda pamoja na mateso yote uliyopata wasamehe bure watesi wako nasra R.I.P NASRA

    ReplyDelete
  14. True GOD is with you Basra.

    ReplyDelete
  15. Ni mapnz alonayo Mwenyez Mungu juu yako Nasra! Ndio maana kakupumzisha,Hukustahili ukatili ulofanyiwa mamii ni binadam gani angekupa pumziko km hili? Hukuzaliwa uteseke nakudhalilika kiasi hiki!? Hukuwa nauwezo wa kujitetea ktk kifungo cha mateso mudawote ila Mwenyez Mungu kawaaibisha watesi wako Nasra!kakupa ushindi na pumziko la amani,kazi ya Mungu haina makosa.

    ReplyDelete
  16. NASRA KAPUMUZIKE KWA AMANI TULIKUPENDA SANA LAKINI MUNGU KAKUPENDA ZAIDI.MUNGU ANAMAKUSUDI YAKE KAKUONYESHA MBELE YA JAMII KWA MDA KIDOGO NA AKAKUCHUKUA KAZI WAYAKUWA NAYO HAO WALIOKUFANYIA UKATILI NAMNA HII

    ReplyDelete
  17. Pumzika kwa amani malaika wangu...hakika mungu yupo kafichua ubaya woote uliofanyiwa ndio akakuchukua ungeweza kufa hata mule ndani miaka yote hiyo..ila mungu hakuliruhusu hiloo hadi mpango wake umetimia uovu ukatili na mateso yote kayafunua..

    ReplyDelete
  18. Innalilahi wainailahi rajiun

    ReplyDelete

Top Post Ad