Mama Mzazi Wa Zitto Kabwe Amafariki Dunia Baada ya Kuugua kwa Muda Mrefu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku ya Leo Mbunge Zitto Kabwe Amempoteza mtu muhimu sana katika Maisha yake ambaye ni Mama yake Mzazi aliyekuwa Akimuuguza Muda Mrefu sasa, Zitto Ameconfirm kupitia ukurasa wake wa Facebook na Kuandika hivi:

"My mother has just passed away. Inna lillah wainna illaih raajiun"
RIP
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana kaka inshallah Mungu akutie nguvu kwa msiba mzito ni mipango ya Mungu ila hao boss zako mbowe na Tundu Lisu watakuja kukuhani? maana hawakutambui ww km mbunge wa chadema bali ww ni mbunge wa mahakama! Jack mzalendo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole si inatosha wewe hayomengine yanakujaje sasa we choko nini?

      Delete
    2. We nawe maneno mengiii ya nini? Msiba una chama? Chokochoko tu. Wote ni watanzania tunazikana.

      Delete
  2. Umempa pole inatosha hayo mengine sio sehemu yake. Unategemea hapo akujibu nn? Au unataka kumzidishia tu machungu ? Tumuombee mungu amlaze marehemu mahala pema peponi. Amina

    ReplyDelete
  3. tulikupenda mama yetu ila Allah kakupenda zaidi~rest in peace mummy

    ReplyDelete
  4. willekessy@mail.com2 June 2014 at 00:46

    Pole sana Kaka kwa kuondokewa na Mama yetu mzazi, Tupo pamoja nawe katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete
  5. Inna lilahi waina illahi rajiuni......hakika ss sote ni wake na ipo siku tutarejea.....ewe mola Wetu mjaaliye marehemu Nyumba iliyobora....pia mjaaliye kaka yetu zito subira na afya njema...

    ReplyDelete
  6. pole sana kaka Zitto na sie wote twaelekea hukohuko.pumzika kwa aman mammy!!

    ReplyDelete
  7. zitto mkundu tu kwan yeye nani..

    ReplyDelete

Top Post Ad