E FM Radio Yaendelea Kunyakuwa Watangazaji Maarufu Bongo..Huyu Mwingine Wamemchukua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya Efm ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na staili yake tofauti ya urushaji matangazo nchini.

Ssebo mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye vituo mbalimbali vya Radio na TV amejizolea sifa na mashabiki lukuki katika tasnia hii ya utangazaji kutokana na staili na vituko vyake awapo hewani.

"Mashabiki wangu watarajie mengi mazuri kutoka kwangu nikiwa na EFM", alisema Ssebo. Ssebo anakutana na timu ya watangazaji wengine wakongwe kama Dj Majey, Dizzo One na Sos B waliokwisha anza kusikika Redioni hapo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hv hii radio ya nani.maana mhhhh

    ReplyDelete
  2. Ya comando jideee

    ReplyDelete
  3. Vizuri aiseeeeeeee

    ReplyDelete
  4. Komandoo jide utaiua clouds fm kwa mtindo huu.

    ReplyDelete
  5. kama ni ya jide salute sana kwake ametishaaaaaaaaaaa. sasa kazi kwa hasimu wake ajipange sawasawa la sivyo kazi anayo jide atamkimbiza mwendo wa kikomandoo. nahisi pia hilo jina commandoo litamfaa sana jide maana amepambana na mazingira magumu aliyowekewa na hasimu wake na akafanikiwa sana

    ReplyDelete
  6. Ni mitizamo yenu tu,aanze tu kuishinda clauds! Mtasubiri sn!

    ReplyDelete
  7. Naomba frequency pls

    ReplyDelete
  8. ni ya jide kwelii au

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!

      Delete
  9. Simpendi uyo komandooo wenu...!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kunywa sumu ufe sheeeeeeeenz

      Delete
  10. Sisi tunampenda,kwendraaa

    ReplyDelete
  11. Hahahaha bwana RUGE na mwenzie KUSAGA ndo wanazidi kuumia rohooooo. Mamaee. dada JIDE kama vp hamia na clouds fm wakombeeee mpk ibak nyeupeee

    ReplyDelete

Top Post Ad