Huta Msikia Tena Dinna Marios wa Clouds FM Kwenye Kipindi cha Leo Tena, Awaaga Mashabiki Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wapenzi wangu najua kila kitu kilianzia kwenye leo tena hadi wewe kuamua kufatilia kazi zangu na kila kitu ninachofanya.Ila wanasema safari moja huanzisha nyingine ndivyo ilivyo kwangu.
Baada ya muda wa miaka nane kuongoza leo tena na mie kuilea kwa kila hali kuhakikisha inakuwepo.Leo tena ilikuwa maisha yangu nikilala,nikiamka,nikiwa barabarani ili mradi niwe na jambo kwa msikilizaji wangu kila siku.Iwe ni segment mpya,topic,wimbo,jingle,yaani chochote ambacho naona kitanogesha kipindi.
Nilichukua likizo ya martenity na niliporejea nikaambiwa dada tunakuhamishia sehemu nyingine,TV.Daah haikuwa kazi rahisi kukubali na kuipokea niliona daah itakuwaje jamani mbona leo tena ndio kila kitu kwangu.
Nikaelezwa vile ofisi ina malengo makubwa na kipindi kipya nitakachoanzisha ambayo siwezi kuyaanika hapa lol basi kidogo kidogo nikaanza kuelewa somo na sasa nipo tayari.Kuna wale ambao bado mnaendelea kuulizia kwa nini hamnisikii ukweli ndio huo kwa sasa sipo tena kwenye leo tena najiandaa na kipindi changu kipya cha tv kitakachoruka clouds tv hapo baadae.
Japo nina changamoto ya mwili mmenenepa mie ila kila kitu kitajiset mbele ya safati.Nikiwa najiandaa na kipindi kipya pia najiaandaa na ule utaratibu wangu wa kusaidia watoto yatima kupitia dada dina cares ambayo itakuwa ni mwezi ujao.
Najua tayari nina mawazo yangu ya nini nitafanya kwenye hicho kipindi lakini pia naomba nikuulize.Ungependa kuona nini kwenye kipindi changu cha tv?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tutakumiss mama Zion.All the best ktk kipindi chako kipya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi mnamsikiliza mtu aliyesoma SHAURI TANGA .A nightmare

      Delete
  2. Tatakumis sana dada, but yote ya yote twamshuru mungu kwa yote na twaendelea kukuombea Mungu akuzidishie Rehma zake

    ReplyDelete
  3. leo tena ilipooza lipokuwa mateniti na itaendelea kupooza utakapokuwak kwenye tv, tutafanyaje na ndo maish a unatakiwa ku move on, all da best

    ReplyDelete
  4. Walahaipoozi acheni uzushi tumeshazoea wanaoiendesha now simtumsubiri hicho kipindi cha tv.pako sawa tu.mnataka mtu mmoja tu wakati wapowengi.halafu nyie clouds rudisheni Africa bambataa

    ReplyDelete
  5. hata wasporudisha africa bambataa efm wapo wanatuburudisha

    ReplyDelete
  6. KAHABA LA KIHAYA!

    ReplyDelete
  7. kahaba katembea na baba yako?

    ReplyDelete
  8. IMEKUUMA EE?!

    ReplyDelete
  9. UNAJUWAJE LABDA KATEMBEA NA MIMI MWENYEWE!

    ReplyDelete
  10. yaani namkubali huyu dada anapo tangaza yaani anakichambua kitu kwa kina anaongea kwa ufasaha na kwa hekima du uyu dada noma sana yaani apa bongo nawakubali uyu, sara kipingu na sheila simba ila sheila mcheshi sana ndoma yumo ila kichwa hiki hapa weee!

    ReplyDelete
  11. Mkundu wa baba yake

    ReplyDelete
  12. Msenge wewe wa baba ako uhuoni manina

    ReplyDelete
  13. mnaosema kimepooza waongo,kizuri tu,kwanza Dina alikuwa mbinafsi sana,wenzie alikuwa anawapa nafasi ndogo sana,kujifanya yeye KAJUA YOTE,me hapo tu ndio alikuwa ananiudhi,lkn wahaya ndio zao,siku zote kujiona wao ndio wao,aende tu,na hivi me siyo mpenzi wa tv,ndio kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad