Kauli ya Wema Sepetu Kuhusu Penzi lake na Diamond 'Tunapenda Mpaka Tumepitiliza'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara kwakuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi.

Akiongea na Bongo5 hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini alikoenda kuhudhuria tuzo za MTV MAMA, Wema alisema hakuna ambacho hawajawahi kukupitia katika uhusiano wao ulioanza tangia mwaka 2014.
“Tumeexperiance good time together, bad time together, sad time, happy times. Sasa hivi tumefika point tumetulia. Tumeshaumizana, yeye kashaniumiza, mimi nilishamuumiza kwahiyo imefika point tumetulia. What we are looking for is just to make our future better na ndio maana you can see tunasapotiana kwenye vitu vingi kwasababu tayari nimeshajua kwamba he is my man, am his woman,” alisema Wema.

“Kitu ambacho kinaspice up the relationship ni kwamba tuna true love for each other, tunapendana mpaka tumepitiliza,” aliongeza.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

59 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani mpaka anatia na huruma KICHECHE huyu. Hana Maisha tena. Kwake yeye Maisha ni Diamond sijui MTV sijui BET yaani hana jambo lingine la maana. Kwa kweli Kicheche huyu anahitaji maombi ya hali juu sana. Hivi huyo Domo kwa nini asimuoe na kuzaa naye vitoto????...abakie hapo kama Mama nyumbani akilea vitoto na kukuna nazi huku akimsubiri Domo atoke kazini kukatia watu viuno. Kwa kweeeliii wanatia huruma. Domo muoe huyo tena haraka sana......tumewachokaaaa....dah.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umenena me hata sijui km anakumbuka hata maisha yake binafsi yaani anawaza wanaume tu akiwa na mwanaume yy ni sifa tu iga mifano ya wenzio wema utabadilika lini

      Delete
    2. Wewe ukikumbuka fucking life yako inatosha na sio kumuwazia mwenzio

      Delete
  2. na mbona n yeye tu anafunguka kuhusu huo uhusiano wanawake jaman ebu tujaribu kutafuta maisha hv n kila kizazi kitakuwa kinaishi ktk uvungu wa mwanaume

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ww mwanamke katoka kwenye ubavu wakushoto wa mwanaume so hata iweje itakuwa hivyo tu

      Delete
  3. Kwa kweli anawadhalilisha sana wanawake. Impression anayoileta ni kuwa bila ya Domo hajakamilika. Kitu ambacho katika Dunia ya leo dah, wanawake ni watu wenye uhuru mkubwa wa kimawazo na kivitendo, ni gender yenye uelewa mkubwa wa mambo. Wanawake ni wasomi, matajari na wenye uwezo mkubwa wa kujisimamia mambo yao bila kutegemea saaanaaa nguzo wanaume. Hatukatai mapenzi lakini huyu mwenzetu dah. Basi Domo naye ajitahidi amuoe haraka haraka na kuzaa naye vitoto na kuvilea. Kwa kweli huyu Kicheche ni Mama wa nyumbani tu kwa sababu hana Professiona yoyote ya kujivunia na kuajiriwa kama wanawake wengine wasomi. Yaani huyu Kicheche yupo yupo tu anasubiri Ndoa ya Domo kwake hayo ndio maisha. Yuko so inferior.......hurumaaaaaaaa....

    ReplyDelete
  4. Kuna Future gani hapo. Tusidanganyane nenda shule uwe mwanamke msomi na unayeweza kujisimamia mambo yako bila ya kumtegemea Domo. Ni kweli Kicheche unavyotuambia na unavyotaka tuamini ni kuwa bila ya Domo maisha yako hayajasonga??? Mbona kazi ipo.....sasa Kicheche wewe umaarufu wako ni wanini kama huwezi kujitegemea na kujisimamia mambo yako??????

    ReplyDelete
  5. kweli wema km unauwezo nenda shule ili upate kazi mamy filamu iwekm fan siyo kuitegemea sana life inaenda ivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata filamu yenyewe anafanya na kawa mtumwa wa ngono kwa diamond na sasa hivi hana ishi ndiyo maana kutwa kwahuyo wamempitia sasa anaona ajishikie hapo tafuta kazi ya kufanya malaya yaani unabore

      Delete
    2. Huyo ngedere Wako unaeishi nae hakufanyi mtumwa WA ngono, c bora yeye kuliko wewe unaetombwa bure

      Delete
  6. Hahaha Wema unawapa bitch headache...... Live your live no one kno 2mr hayo ndio maisha yake just find yours na co kuropoka kumaliza wivu Wako you kno wat wivu Ni kidonda ukishiriki utakonda......

    ReplyDelete
    Replies
    1. We admin huna hbr nini kutwa watu wahovyo tuu.hv wadada ukikaa uchi mapaja nje ndio unapendeza wa maana??kaz mnayo utajianika wee uzee ushakufikia

      Delete
    2. We apo juu wivu aonewe Wema kwa kitu gani kwa mfano?? Anaishi kwa mgongo wa wanaume akiwa hana mwanaume hana pa kula wala pakukaa inabidi arudi kwa mamake hapa hamna mwenye wivu ila anapewa ukweli rudi shule tafuta kazi kama wasichana wenzako Wema.

      Delete
    3. Ndio jee mnamuonea wivu mtoto WA watu kinachowafanya mipovu iwatoke nn uchawi WA nafsi tu

      Delete
  7. Huna jipya na wewe unaacha kumpa vitu vya kumfaa wewe ndiyo unaandika hivi zen unamcheka mbele wamuonee wivu kwa lipa ananini hivyo vitu vya kununuliwa na kunyang'anywa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na vile anavyotumia kwenye ofc yake nn??? Matako yako

      Delete
    2. Office itoke wapi wewe fala

      Delete
  8. Sijui kama hata huwa anakumba kuosha kinyesi chake pale anapomaliza kutumia choo kwa sababu mawazo yake yooooteee yako kwa Domo. Na Domo mwenyewe alivyokuwa local he doesn't even care, yeye yuko hapo ana enjoy mwenyewe hayo matako machafu machafu eti wao sasa kwao ndio mapenzi....lools...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mpelekee matako ya mamaako yaliyo masafi bac wivu tu

      Delete
  9. Mna kazi ya kudiscus life ya mtu wakati tenu mzigo

    ReplyDelete
  10. Kicheche wewe badilika. Jaribu kuwa kama Ma Miss Tz wengine ambao wameitumia hiyo title kwa kufanya mambo ya maana kwa jamii. Achana na ulimbukeni wa Domo. Hata kufikisha popote zaidi ya kuzaa nae vitoto. Kimoja mgongoni kingine kiko pembeni kinalia "mama mamaa naomba uniongezee uji bado sijashiba" wakati huo umekaa chini unakuna nazi ukisubiri Domo arudi kutoka kazini.....hahaha......lools....Ni ushauri tu.....Nenda Shule kafute Ujinga......hovyoooooooooo.....

    ReplyDelete
  11. Ahahahaa yaan wema sepetu anawatoa watu roho watu wanashindwa hata kufanya yao.Haters wachawi sn

    ReplyDelete
  12. Wote mnaomponda wema ni mambulula maisha yamewashinda mnatamni kw km yy but ndo haiwezekani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuwa km yy kwan ananini huyo ushamba huo maskini wa fikira kobe wewe uwe km wema anananii na watu wanampa ushauri wa maana pyuuu

      Delete
  13. Wewe anonymous 3:44 una matatizo tena matatizo makubwa sana. Pengine una tatizo la mtindio wa ubongo na kama unajua maana yake ni nini. Hivi kwa akili yako ni nani anaweza kuwa na tamaa ya kuwa na maisha kama ya huyo Kicheche.......aina ya maisha ya utumwa wa ngono. Msichana yeyote aliyetoka katika jamii ya kistaarabu hawezi kuwa na hiyo mentality ya utumwa wa ngono. Tatizo la Kicheche ni kuwa yuko so much addicted na ngono kiasi cha kwamba anasahau kama kuna mambo mengine ya muhimu katika maisha. Yeye anachowaza ni ngono tu. Huo kimsingi ni ugonjwa hatari sana kuliko unavyofikiria. Na madhara yake ndio kama hayo unayoyaona. Pengine na wewe ni miongoni mwao. Hakuna cha wivu hapo wala hakuna cha kutaka kuishi aina hiyo ya maisha. Hana tofauti sana na wabwia Unga......lools...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Safiii kwa lipi hasa huo ni ugonjwa sio kitu cha kumpongeza acha kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa

      Delete
  14. Hahaha umempasha anonymous 3:44 kweli watu wanakwenda mbiyo na maisha yeye yuko na mapenzi .swali langu sasa kama diamond akisheet atakwenda wapi hana chochote ao atarudi kwa climent

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe inakuhusu nn kama sio umbea

      Delete
  15. nyie mashabiki wa penny,wivu utawaua,mbona nmama zenu walikalia kutombwa tu baba zenu,wakawazazaa nyie,muacheni na maisha yake,wewe yanakuuma nini,ndio nyie mnajifanya mmesoma,mna kazi nzuri,matokeo yake mnishia kutombwa na viserengeti,na kuvionga,maana hakuna wa kukuoa,stress,ndio zinawafanya mkalie kumsakama mtoto wa watu,wema ana familia yake,na wote wamebaliki maamuzi yake,sasa nyie wanuka chupi,wachambia makopo,mtamshauri nini,ambacho familia yake hawajamshauri,hebu muacheni,mnapoteza muda,kufatilia ya watu,wkt yenu yamesimama.

    ReplyDelete
  16. weeee ukome hakuna mtu anatamani maisha ya mtaji kuma,yani ananunuluwa vitu na wanaume afu baadae wanamnyang'anya na aendelee kumtegemea domo na move inaendelea ataisoma namba kumamae

    ReplyDelete
  17. Anonymous 5:17 umesema ukweli mtupu. Huyo Kicheche ameshindikana mpaka huko kwao. Mamake kapiga kelele weee lakini wapi haijasaidia. Naona hata Ndugu zake wameamua kuweka mikono chini. Wameamua kumuachia aendeleee kutangatanga huko mitaani kama Mbwa Koko, which is very good. Dunia itamfundisha. Lakini Ndugu anonymous unachosahau sio kweli ya kuwa maisha yetu yamesimama. Maisha yetu huku yanaendelea vizuri sana tena kwa kufuata miiko yote na taratibu zote nzuri za maisha ambazo wazee na mababu zetu walituachia. Ila tunapopata kamuda kidooogo ka kuchombeza au chombeza time basi ni shurti kumsulubu na kumkomesha Kicheche huyo na umalaya wake. Hardly hapa muda tunaotumia kuchombeza hauzidi hata dakika tano. Ni kama break time hivi. Wala usiwe na wasiwasi hatuna sababu ya kuwa na wivu au kuyafuatilia maisha ya Kicheche Kikaragosi huyo.....lools...

    ReplyDelete
  18. Halafu anonymous 5:17 unachekesha kweli. Sijui ni kwa nini unamuingiza Penny hapa. Mtoto wa watu mstaarabu katulia halafu ni jembe vile vile. Yule sio design za Kicheche za kusema "Baby kasema au ameniahidi atanipa million tano (5)" kwa kweli unakosea sana. Penny na Kicheche hawafanani kabisa. Yaani ni level tofauti. Halafu hiyo itakuwa kama kumkosea heshima Penny wa watu.

    ReplyDelete
  19. nyie wote mnao mtukana wema ni wajinga hamna akili wivu umewajaa hapo utakuta ni limama jitu zima tangu lizaliwe halijawahi kuhongwa hata shilingi laki moja..mmebakia kusema wema kicheche poleni ndo wanapendana hivyo nyie team penny team kumwagwa kasugueni cd.mwenzenu na hivi hajali ndo wala yupo busy na baby yake mnataka aende kwa nani???mwacheni mtoto wa watu khaaaaaaa

    ReplyDelete
  20. kwanza nyie mnao sema wema kicheche mnaongea hamjui maana ya kicheche...wema huwa akiwa na chibu huwa mnaongea mpaka mnatia huruma..kwani wema bila diamond alikua haishi??????sasa awe kicheche ..awe kahaba awe shangingi ndo keshapendwa..nyie ongeeni mkichoka kunyweni maji ya baridi kupoza koo..wivu unawasumbua..mijitu kutwa kukesha kwenye blogs kusubiri kumtukana wema...hahaha hizo zote ni hasira na ugumu wa maisha unawasumbua sasa mnataka aachane na diamond aende wapi???kama huyo penny bichwa ni mwanamke mwelewa kama mnavyo dai ...mbona diamond alim-mwaga?????aliona anaishi na dume dada...mwanamke ame kakamaa kama kapakwa gundi...wema sepetu tukemeshe mama huku watu bovu linawatoka ..diamond na wema milele..hutaki katage

    ReplyDelete
  21. Hahahaha umewachana hao vicheche wanaotoa povu kwa mtoto WA watu hasie na habari nao ,looh wivu utawauaaaaaaaaaaaaaa kazi mnayooooooooo mna kazi ya kicheche oh mtaji wake kuma nyie inawahusu nn umbea Tu usiowapa faida, mnakalia roho mbaya kwa msichana mwenzenu kama co uchawi nn,wewe huyo bwana ulienae ndio wakwanza ovyoooooooo umaskini WA kufikiri Tu,PELEKENI MAMA ZENU BASI mama mnamuona wema anafaidi kuwa na daimond fyuuuuuiu sura zenu mbovu kama k...a iliyo keketwa

    ReplyDelete
  22. Hivi nyie anonymous 5:56 na 6:12 mnatokea kijiwe gani?? Naona mmekazaniiiiaaaa kuiharibu mada hiii. Ukweli unawaumaaaaa kwa jinsi mlivyokosa maadili na miiko ya maisha. Anyway maelezo yenu yanajitosheleza kuonyesha nyie ni watu wa aina gani. Hakuna ubishi kwa hilo......vichwa viguuumuuu kuelewa mambo hata katika dhana ya kawaida...lools....ni Vicheche walewale.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ujielewi thus why unakazaniA kicheche kichecheeeee, jibu swali huyo bwana ulienae wakwanza????? Kidole 1 huku vi4 vinakuangalia Malaya mbovu WW kazi kumsakama mtoto WA watu Tu, angaliaa maisha yako ya wema ayakuhusu roho mbaya Tu nyooooo ndio mseme mpate sugu wema atabaki wema No one lke her ushuzi wenu hautambadilisha hata nukta kama kazi mnaona dili nyie mnaofanya mmepata faida gani zaidi ya kuwaste your fucking time kupata sugu za vidole kwa kumkalia vikao mtoto WA watu hahahaha Wema homa ya jiji Malaya wachafu hawaishi kumzungumzia hahaha mkaogeeeeeee

      Delete
    2. Unaugonjwa wa ngono na wewe si kosa lako au umepata kazi ya kumfungulia milango kwenye gari au kuflash choo chake huna haya kaoge wewe usiyejua umuhimu wa kazi au unataka kuchukua nafasi ya uant ezekiel

      Delete
    3. Wewe ndie mwenye ugonjwa WA ngono unaeshupalia mahusiano ya watu nyooooo k mbovu usie na bahati ya kuhongwA ndio maana unashupalia life ya wema note this wema ataendelea kuwa wema na WW utaendelea kuwa Malaya mbovu usie na future zaidi ya kukazana kichecheeee

      Delete
  23. WEMA UGONJWA WA MOYO, ndio mana hamuishi kumkalia vikao na kumponda tehtehteh pumbavuuuuu ya ray

    ReplyDelete
  24. huyo anae sema kicheche amuulize mama ake je baba ake alikua wa kwanza kwa mama ake???kuhongwa kwa mwanamke ni sunnah acha wema ahongwe kwa sababu vigezo vyote vya kuhongwa anavyo...kama ni kicheche ndo keshapendwa na diamond wake na tena watanzania tulio wengi tunampnda kasolo watu wachache tu wenye sura nzito..wema na chibu ndo habari ya mujini...eti maadili..maadili ukiyaona utayajua???maadili my ass..mtuache na wema sepet wetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maneno sahihikabisa maana shurtoi watu wanaugua jinsi Chibu anavyozidisha mapenzi kwa wema. Mwenyewe anasems mahaba ninyongeeeee. Wenye wivu wote nawapa special dedication mwimbo mpya mdogo mdogo

      Delete
    2. Tena anakuambia ni MWENDO WAVIPARAAA......yaani hata waimbe kigiriki Diamond kwa Wema ndo kafika.

      Delete
  25. Mmebaki tu kushabikia vitu vya kijinga. Wema kawa Wema kumbe ni kicheche tu. Ukiuliza ni kitu gani cha maana mnachokipata kwa kumshobokea, hakuna. Kwanza mtu mwenyewe amikiri ya kuwa hawafahamu na wala hana mpango wowote na nyie. Na si kweli huwa anawatuma. Ni nyie kazi zenu kujipendekeza kwa huyo kicheche ambaye hana hata mpango mmoja na nyie. Na kama kweli mnamshobokea basi fanyeni mpango wa haraka ili aolewe na huyo Domo. Aachane na hayo maneno ya oohh baby wangu baby wangu. Na wakiishaoana sasa watu kama akina Penny tutakuwa na haki ya kuwasema vibaya. Lakini sio kwa sasa hivi ambapo wanaishi kama Vicheche huko kwenye mashimo. Nyote nyie akili zenu ni za ukicheche.....tulizeni mbweha nyie....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema anakupa presha Sana pole Sana hasidi nafsi but nothing gona change utabaki ffukara WA nafsi na yeye atabaki kuwa wema mtoto mzuriiioooo

      Delete
  26. wewe anonymous 10:12 nahisi wewe ndo kitorondo..wewe unae mshabikia penny bichwa dume dada ni ndugu yako???unamjua???kufunga ndoa ni majaaliwa ya mungu kikubwa watu wanaelewana ndoa nibkitu cha dakika tu...sasa kumwita wema kicheche hupewi tuzo wala humpunguzii mashabiki acha tunao mpenda tuendelee kumpenda usije kunya bureee kisa kumtaja taja wema wetu..wewe huyo penny vilemba anakujua???wee mchukie tu lakini upunguzi uzidishi...utabaki na dhiki zako atabaki na bby ake chibu...jamani mdogo mdogo mahaba mmalize chibu asisikie maneno ya wapiga debe..wema na chibu mahaba yame tawala nyie semeni....mr&mrs Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee...

    ReplyDelete
  27. Mnawadanganya bure hao Vicheche eti Mr and Mrs Tanzania.....lools....mnawadanganya kwa kweli. Wenyewe wajione ni wakuuubwa kumbe ni visisimizi tu ambavyo havina lolote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari ndio hiyo mr and mrs tz, utasubili sana na roho yako mbaya mchawi WA nafsi

      Delete
  28. Kusema kwer wema kipenz cha wengi sema tu matendo yake ndo yana boa love ur wema wacha waseme

    ReplyDelete
  29. Wema kua na akiliiii wewe mwezio daimond pesa anafanya vt vyamaana tunaviona na familia yake wako pamoja na dai ona kwanza nyumba alizo nazo mbona akushiriki? Hata pia wema kaa ukijia dai hatokuoa n'gooo angaliaa mpango wako wema kwanini usikiiiii umri unaenda

    ReplyDelete
  30. Alafuu wema uwo unene haya usije kua km halima mapengo tuuu

    ReplyDelete
  31. mashabiki wa wema wamenistua sana eti kuhongwa kumbe nako bahati

    ReplyDelete
  32. nyie mnao sema diamond hawezi kumwoa wema poleni..maana hakuna sehemu alio tamka hawezi..eti wema tafuta maisha ..sasa hayo maisha mnayotaka ayatafuta mnataka ayatafuteje???,nyie mama zenu mpaka wamezeeka hata kitanda cha nne kwa 6 hawana ijekua wema???na uzee wa wema umeanzia wapi??hata kama awe kama bibi diamond wake ndo kesha mpenda...akihongwa wema kicheche wakihongwa wengine eti wamefanya kaz zao..ovyoooo..mbona penny bichwa alihongwa gar hakukataa...akapangishiwa hakukataa...kuhongwa sunnah na kipaji pia ndo wema anacho..kumbe akihongwa nyie mnaumia si bora yeye anae hongwa kuliko kina shilole na irene uwoya wanavyo honga????apo angekua wema mngeongea mpaka ....sasa habar ndo hiyo awe bibi awe babu awe mzee awe kijana watanzania tulio kibao tunampenda na tuna mwelewa nyie wanuka papuchi kama maisha magumu hasira zenu zisiishie kwa mtoto wa sepetu....wema mama hapa Tz sijaona kama wewe cjaona kabisa wanajaribu kuku kashfu kwenye blogs lakini moyoni wana kukubali..paka nyie mnao mkashfu wema

    ReplyDelete
  33. Hahaaaaaaaa team makorokocho zikifanyakazi mapovu yanawatoka ushabiki usionamaana.et kuhongwa wadada mnahusudu hongo eeh.waulizeni wadada wamiaka 80-98nakushuka chini ndiowanaojua maana yahongo.sahz mnafirimbwa mbele hakufai nyuma geji haisomi imechoka hata service haisikii.ukiulizwa umehongwa nini gari hahaaaaaaaa someni pigeni kazi mtadhalilishwa sana.nendeni na alama za nyakati.endeleeni kuzungumzia hongo aka mnadhalilishwa 4nothing.

    ReplyDelete
  34. KUSOMA NDIO NINI WEWE,MIMI NINA DEGREE MIAKA MINNE NIMEKAA NYUMBANI HAKUNA KAZI,KAJA TAJIRI NIMEOLEWA,SASA NAKULA RAHA TU,NA WATOTO WAWILI NIMEMZALIA,TUNA FURAHA YA KUTOSHA,NYUMBA YA KIFAHALI,NASUKUMA MANDINGA YA MAANA,FAMILIA YANGU WANA KULA MATUNDA YANGU,SINA KAZI KUMA YANGU TU IMENIPA VYOTE HIVYO,SASA NYIE MLIOSOMA KAMA NAWAONA MLIVYOSHIKA BOMBA,KWENYE UDA,NA VIBAHAASHA VYENU,MAISHA NDIO HAYA TUNAYOISHI LEO,KESHO SIYO YAKO,KESHO YA MWENYEZI MUNGU PEKE YAKE,MUACHENI WEMA AISHI MAISHA ALIYOYACHAGUA,MNALO MWAKA HUU,NYIE SI NDIO MLIOKUWA MNAMCHEKA KIPINDI KAACHWA NA HUYO DIAMOND SASA IMEKUWAJE MNAJIFANYA MNAJUA KUMSHAURI,NENDENI MKAWASHAURI MAMA ZENU VIJIJINI MLIKOWAACHA,WAKASOMEE JAPO MGAMBO,WAPUMZIKE KULIMA,HOVYO.

    ReplyDelete
  35. ulimuomba mungu kikamilifu akakunyimakazi au ulienda nachupi mkononi na degree yako.kazihakuna hunamikono huna miguu,huna akili Kwani lazima uajiriwe haya uza k basi kama utahongwa hahaaaa mtadhalilishwasana tu.kwaujinga,uvivu wakufikiri kwakutaka shortcut wazur kilaleo wazaliwa.nasikuhizi uzuri haulipi brain ndio inalipa ukitumia vzur sasa subiri uhongwe nakuajiriwa huku umeshika degree mkononi.halafu wewe sindiowale mnaotakaga vyatayari tumia tu namaradhi Yakija tumikia,ukiletewa watoto wanje wapokee nausiwatese,ukimkuta mumeo na mahawara piga kimya kazana kusukuma mandinga.ndio uzuri wa wanaume wenyepesa.

    ReplyDelete
  36. Mh ngoja nipite mie

    ReplyDelete
  37. ila wema unasemwa sana hebu badilika jamani uwe hata na ofisi ya kufanya ukoje wewe kha mimi nachoka na ww

    ReplyDelete
  38. Kichefuchefuu x 100

    ReplyDelete

Top Post Ad