Picha ya Lupita Yawanyamazisha Waliomkosoa Kuwa kisura wa Kampuni yenye Bidhaa za Kujichubua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kutoka tangazo kuwa Lupita Nyong’o atakuwa kisura wa kwanza mweusi kwenye bidhaa ya Lancome, wengi walianza kumkosoa kwa uamuzi wake kwa kuwa kampuni hiyo ina bidhaa za kujichubua ngozi.

Hata hivyo, picha ya kwanza ya kampeni ya Lupita kwa bidhaa tofauti za kampuni hiyo zimewanyamazisha walioanzisha mgogoro huo. Lupita ameitangaza Tiente Idole Ultra 24H.

Sasa kampuni hiyo imetangaza ngozi nzuri ya mrembo Lupita Nyong’o bila kuwa na dalili za kujichumbua. Huenda ikawashawishi wateja wao kuachana na mpango wa kujichubua kwa kuwa black is beauty.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana lupita wewe ndo unaiwakilisha afrika mashariki maana mastaa wote wanangozi bandia

    ReplyDelete
  2. WETU WAKITANZANIA WINGI TU AROUND 95%KWANZA HAWAJIPENDI PILI HAWAJIAMINI KUWA WATAKUWA TU WAZURI NA RANGI YAO YA NATURE ,WANAKUWA KAMA MADOLI KUJIPANPA SIO KIJICHIBUWA MWANKALIENI MTOTO WA KIKENYA BLACK ILIVO MREBESHA ANAJIAMINI

    ReplyDelete

Top Post Ad