AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
FikraPevu ilikuwapo wakati Maswi akitumia maneno makali kwa kuyarudia, akikejeli nyaraka zinazotajwa kuwa ni ushahidi wa jinsi IPTL ilivyouza hisa zake na fedha kutolewa kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika akaunti maalumu ya pamoja (Escrow), akisema nyaraka hizo ni karatasi za kufungia vitumbua zinazosambazwa na wabunge hao aliowaita “washenzi”.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hasira za nini Mzee ? au na wew ulipata mgawo nin?
ReplyDeleteumelamba wewe....mbona povu linakutoka mzee
ReplyDeleteumelamba wewe....mbona povu linakutoka mzee
ReplyDeletesiku zote werema ni mchemfu katika hili mkono wa Mungu utaonekana majizi haya ya ccm tutayavumilia mpaka lini?
ReplyDeletewerema kumtukana kafulila ni sawa na kumpiga chura teke hii ni kumuongezea hatua,hongera sana kafulila huyu dingi haoni kundule hii inatuonyesha ni jinsi gani anahofu pale ukweli utakapoanikwa ataficha wapi sura yake kama ya wale viumbe wa gombe reserve.
ReplyDeleteUDAKU MPO JUU NILIKUWA SIWAJUI BEFORE.
ReplyDelete