Mbowe na Dr Slaa sasa kwisha; kushtakiwa rasmi na wajumbe Baraza Kuu!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mhe Mbowe, ambae ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, na katibu mkuu wa chama hicho, Dr Slaa, wamekumbwa na pigo kubwa baada ya wajumbe wa baraza kuu kuwakalia kooni vigogo hao wawili wa CHADEMA.

Itakumbukwa hivi karibuni wajumbe wa baraza kuu CHADEMA walitoa "press release" ya kuwatuhumu viongozi wa chama chao kwa tuhuma nzito nzito ikiwemo kukihujumu chama, ufisadi na ubadhirifu wa mali za chama. Ambapo kwa mujibu wa wajumbe hao, uhuni huu wote unafanywa na Mbowe pamoja na Dr Slaa!!!

Lakini vilevile wajumbe wa baraza kuu CHADEMA hawajaishia kutoa tu "press release", bali wameenda mbali zaidi mpaka kwa msajili wa vyama vya siasa nchini na kwa mkaguzi mkuu wa mahesabu (CAG) kwa hatua zaidi za kisheria kuchukuliwa dhidi ya vigogo hao wa CHADEMA, kwa kuwa wajumbe wa baraza kuu wamejipanga kwa vielelezo vyote vya kuthibitisha ukiukwaji wa sheria katika matumizi ya mali za umma unao fanywa na Mbowe pamoja na Dr Slaa.

Aidha, jitihada za kumtafuta Dr Slaa ili atolee maelezo suala la wao (yeye Dr Slaa na Mbowe) kushtakiwa kwa msajili wa vyama azikuweza kuzaa matunda kwani simu yake ilikuwa ikiita bila kupokelewa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ole wenu mnaotumiwa na sisiem kukwamisha mabadiliko ya kweli, mwishowe mtaitwa tumbili,washenzii nk.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ina maana ssm ndo imemtuma slaa na mbowe wawe mafisadi au kuna tution centre for that waombeeni waache ufisadi

      Delete
  2. Hao wajumbe njaa wakafie mbali kwani CHADEMA si pao

    ReplyDelete
  3. Idadi ya Vimada itapungua. Ningeshauri nyama vyote vifutwe!!! Hakuna Kitu hapo! Oyaaaa Wapi Zitoooo ???

    ReplyDelete
  4. Mfanyakazi hekaluni atakula hekaluni

    ReplyDelete
  5. Jamani, hivi huyu Mbowe na Slaa vipi??? Wanashindwa kuitisha uchaguzi wa viongozi ndani ya chama hata CUF wamewashinda. Tatizo lao ni nini????....Hicho kweli ni Chama cha Siasa au Kampuni ya Wachagga Development?????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hv hata unajua kusoma kwel, usiongee bla research kwann usisome katiba ya chadema...unadhn cuz wengne wameitisha nao waitishe
      ...nenda kakojoe ulale unaumwa ww

      Delete
  6. mdau hapo juu ngoja nikusaidie ile ni saccos

    ReplyDelete
  7. Hahahahahaaaaaa.....wafalme juha hawa

    ReplyDelete
  8. Hapo hawajapewa nchi kweli ssm namba one hakuna ambaye si fisadi wote walewale kasoro tarehe wizi mtupu

    ReplyDelete
    Replies
    1. EPA,RICHMOND,LADA,MABILIONI YA USWISS,MENO YA TEMBO,MIKATABA MIBOVU YA MADINI,IPTL,mdau hapo juu hivi hela zoote hizi zingekusanywa na kupangiwa shughuli muhimu za maendeleo huoni kuwa nchi yako ya TANZANIA ingekuwa mbali sana kimaendeleo?eti mdau unaye sema ccm nambari wani niambie?!ni hayo tu mwana ccm jina ccm inawenyewe sio wewe baba yako mwenyewe choka mbaya fundi bomba eti na wewe ccm oyee!nyokooo.

      Delete
  9. mbowe na slaa kama nlikuwa hamuijui kigoma, basi subirini hilo linaitwa subi subi, yaani mpaka wake zenu na watoto watawakimbia na mtakuwa omba omba kama mzee marehemu kipofu wa dodoma matonya. Jamai subirini tu kama hamkumuomba samahani Zitto basi mtakiona kilicho mfanya kuku asizae.

    MIMI NAPITA TU

    ReplyDelete
  10. Msajili wa vyama awhoji na CCM sio muonee chadema tu, pia hawa wajumbe wenye njaaa wa Tabora wanaotumiwa na Zitto wapigwe chini kuma mae zao,

    ReplyDelete
  11. Msajili wa vyama awhoji na CCM sio muonee chadema tu, pia hawa wajumbe wenye njaaa wa Tabora wanaotumiwa na Zitto wapigwe chini kuma mae zao,

    ReplyDelete
  12. CHADEMA means Chagga Development Monitoring Authority

    ReplyDelete

Top Post Ad