Mungu Hashindwi Hatimaye Flora Mbasha na Mumewe Wapatana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia.

MANENO YA CHANZO
“Kikao cha familia kilikaa, Mbasha aliitwa akafika, Flora naye aliitwa akatokea, mazungumzo yalikuwa marefu lakini kimsingi waliamua kuweka kando mtafaruku wao na kuijenga upya ndoa yao,” kilisema chanzo.

Chanzo kiliongeza kuwa katika kikao hicho cha mwanzoni mwa wiki hii, miongoni mwa adidu za rejea ilikuwa kutokumbushia vikao vilivyopita ambapo hakukupatikana muafaka.

VIKAO VILIVYOPITA
Katika vikao vilivyopita, wahusika wakuu walikuwa wazazi wa Mbasha (mzee Maneno Mbasha, Zulfa Maneno), ndugu wa Flora na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.

VIKAO VYA BAADAYE
Kwa mujibu wa chanzo, vikao vilivyofuata, wawili hao wakawa tayari kila mmoja ametema nyongo yake pembeni na kufikia makubaliano kwamba, ndoa yao isimame tena wakitumia maandiko kwenye Biblia kutoka kitabu cha Waebrania yanayosema:    Ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

WAKORINTHO YAFUNGA KAZI
Kwa mujibu wa chanzo hicho, maneno mengine ya Biblia yaliyotumika kwenye kikao hicho mpaka wawili hao wakaamua kurudiana ni 1 Wakorintho 7:1-10 ambapo maandiko yanasema:
Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe. Mume na ampe mkewe haki yake vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake
Mke hana amri juu ya mwili wake bali mumewe vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake bali mkewe. Msinyimane, isipokuwa mmepatana kwa muda ili mpate faragha kwa kusali, mkajiane tena shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza, wala hapo si mimi, ila Bwana (Mungu), mke asiachane na mumewe, lakini ikiwa ameachana naye na akae asiolewe au apatane na mumewe, tena mume asimwache mkewe.

KIKAO CHA JUMAMOSI KUMALIZIA
Chanzo kilisema kuwa, kikao cha mwisho ambacho kitamalizia kuweka mambo sawa ili wawili hao waanze ngwe ya pili ya ndoa yao ambayo inaaminika itakuwa ya mwisho mpaka kifo kiwatenganishe, kinatarajiwa kufanyika leo jijini Dar es Salaam mahali ambapo hapakutajwa.

MWANASHERIA ATAJWA
Mwanasheria wa Flora aliyejulikana kwa jina moja la Ado ametajwa kusimamia kikao hicho ili wawili hao waanze maisha mapya baada ya safari fupi ya mvurugano uliowafanya kuwa mbalimbali.

AONGEA NA RISASI JUMAMOSI
Juzi, Risasi Jumamosi lilimsaka mwanasheria huyo kwa njia ya simu yake ya mkononi ili kumsikia anasemaje kuhusu kutajwa kwenye usuluhishi wa ndoa hiyo ambapo alipopatikana alisema:
“Niko Arusha, Ijumaa nitarudi Dar. Kuhusu kikao cha usuluhishi siwezi kukwambia lakini suala la kuwapatanisha nalifahamu, nawaomba na ninyi msaidie kufanikisha jambo hilo zuri.”

VIPI KUHUSU KESI YA MADAI YA KUBAKA?
Hata hivyo, Wakili Ado hakutaka kugusia kuhusu kesi ya Mbasha iliyopo Mahakama ya Wilaya ya Ilala ambapo anadaiwa kumbaka shemejiye mara mbili (jina tunalo) ambayo kwa mujibu wa mahakama, upelelezi umekamilika na itasikilizwa Julai 17, mwaka huu.

KWA UPANDE WAKE FLORA
Risasi Jumamosi lilimwendea hewani, Flora ili kumsikia anasemaje kuhusu kuwepo kwa upatanishi kati yake na mumewe, Emmanuel.

Huyu hapa: “Ongea na wakili wangu atakwambia kila kitu.” Ambapo majibu ya wakili yalikuwa: ”Ninachojua mimi ni kwamba Flora ameshamsamehe mumewe na yuko tayari kuanza ukurasa mpya.”

MBASHA SASA
Kwa upande wake, Mbasha alipozungumza na gazeti hili juzi alisema kurejea upya kwa ndoa yake ni jambo la kuupendeza moyo wake.

“Mimi sina neno nipo tayari, nimeshasamehe yaliyotokea, Flora ni mke wangu jamani, nampenda sana kutoka moyoni.”


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

39 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wasenge mabashaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Wasenge mabashaaaaa

    ReplyDelete
  3. acha usenge we hapo juu ndio nini sasa mkundu wewe.Bora wamerudiana..maana basha ni handsome mi pia nilikuwa namtaka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nenda tu kwake upeleke maombi sio wachoyo kwenye ndoa yao..atakupatia hitaji la moyo wako nanahaaaa nanaaaa

      Delete
    2. Jamani tuliomba sana hii ndow itengamae, imetengamaa Sasa matusi ya mini? Ni kweli Florah ameona aibu na huyo hawara yake ameamua tu amzuge mshikaji Kama yaisha lakn sidhani Kama ni kweli, Sasa hapo mbasha ongeza umakini Kabisa ule muda Wa kwenda sokoni jamaa atakua anajipumzikia japo raundi moja, jasiri haachi asili, du afadhali Sasa utakula bwana Emma, mwambie akufute na kesi Sasa myamalize nyumbani, lkn kuwa makini sana maana huyu mdada ni M23 hakawii kubadilika

      Delete
  4. wote kuma tu sas kwann wajizalilisha nyimbo anunui mtu hap

    ReplyDelete
  5. Afadhali ila akili kumkichwa mume umemjua mkeo na mke kamjua mumewe upande wa pili...mkaigize tena maisha ya ndoa..sababu nyie niwaigizaji wazuri sana..msimame na mungu kweli kweli msiigize tena mtaumbuka tena..hongereni kwakupatana

    ReplyDelete
  6. hongereni maisha ua kuhngaika hayana maana flora tulia na mmeo mungu awatie nguvu ndoa yenu idum mpk kifo kiwatenganishe

    ReplyDelete
  7. Sasaivi usicheleweshe kampime Kama haha mimba mtundike haraka Sana Ili akitulize hicho kitumbua chake,

    ReplyDelete
  8. hata sasa kwa wale wambea mlio kuwa mnaungurumisha mitusi kwa frola, endeleeni

    ReplyDelete
  9. maisha ni mshikamo usikubali kutengana utawapa nguvu adui

    ReplyDelete
  10. haaalleluyaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  11. Bro mbasha kua makini ni mkeo picha inaonesha wazi kuna jamaa yupo anakula mkeo tena alinatamani hata awe mke wake kabisa akunyang'anye ila ameshindwa kwavile micng ya ndoa haimpi ruhusa flora kua na mume mwngne na wameona aibu wangeishi wapi ikiwa kila mtu anajua kila kitu kilichotokea ndo mana mkeo anajifanya kakusamehe lakini uchafu wake na tamaa zake hajaziacha karudi lakini ataendelea kumegwa kishkaji na uyo jamaa amini nakwambia kaka,cha mcngi jitahidi sana afuate principal zako ww kama mwanaume na ww ndo kila kitu ktk family,ur a head of the family u have to be strong,ucmwache huru sana akajiamuria mambo yake yy mwenyewe atakutawala kwa mtindo huo,yangu ni hayo kaka kua nae makini kwani mkeo malaya japokua wanawake wote wana asili ya kaumalaya flani ivi hua hakaishi hako katabia coz kapo damuni lakini unaweza kuka control kwaku implement sheria flani ivi za kumlimit mkeo tena kwa umakini sana bila yy mwenyewe kujua kama anaishi kwa sheria zako sawa kaka!poa endeleo kumfaidi mkeo sasa mana ulikua unalia kabisa sasaivi una amani....flora na ww tulia wanaume wote ndo wale wale nyie dada zetu mwalimu wenu kipofu mnakua wasenge bwana malaya kweli nyie!

    ReplyDelete
  12. Wewe malaya mwenyewe shoga wewe

    ReplyDelete
  13. Bora mrudiane tu na hilo kanisa la gwajima mhame tu maana huyo sio mchungaji ni pepo

    ReplyDelete
  14. Sikazi waandishi wamehongwa ili waandike mgogoro umeisha ili kuhepusha matusi yaliyokuwa yanaporomoshwa kwa Gwaji.mi SIAMINI Kama flora atarudi kwa mumewe,katataa Mara 5 mbele ya wazazi.be careful Mbasha utalishwa Mavi.

    ReplyDelete
  15. Huyo anaesema wanawake malaya m ni mwanamke na siyo malaya wala damu yangu haina umalaya.

    ReplyDelete
  16. AMINA AKUNA KINACHOSHINDIKANA KWA MUNGU KILA RAHELI MBASHA NA FROLA

    ReplyDelete
  17. hawa watu they are very dramatic walokole wanafiki tena wanafiki hasa wanatumia ulokole kucheza mov za kipumbavu na kujipatia hela wapumbavu wakubwa hao mamboyao ya ndani iweje wayalete hapa washenzi wakubwa hao

    ReplyDelete
  18. Haleluyaaaaa shetani ameshindwa!!!vita haikuwa ya kwao vita niyamungu na amepigana kwa uaminifu kwani mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu sisi ni washindi tunashinda na zaidi ya kushinda oooooh atukuzwe yeye atupae kushinda!! mdumu katika imani mumuombe roho mtakatifu azidi kuwapa hekima na maarifa mumuishiliye mungu wenu!!! I like this gud florah wew nijeshi kubwa umekua mfano gud

    ReplyDelete
  19. SIAMINI Huyu binti bado Yuko hotelini msipotoshe umma,Kama wamepatana sawa lakini Bibie bado ajafika tabata

    ReplyDelete
  20. Kaa ukijua umemdhalilisha sn mumeo lakini pia ujue jeraha la moyo hua haliponi bibie.1111

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila mbasha alivobaka na akuvokua anatongoza madem kibao alikuwa sahihi? Pumbavu kweli

      Delete
  21. MUNGU NI MWEMA,,NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE

    ReplyDelete
  22. alchokiungnisha mungu kamw mwndam haez kuktngnisha. .jina la bwna lihimidiwe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hatuwezi kitenganisha tutamchapia tu nakumrudishia kma hivyoo

      Delete
  23. Na ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa kuinvilia Kati hii ndoa, haya Sasa Gw....na wewe waache wenzio wafurahie ndoa Yao, tusije tukasikia hapo Mara umewaita sijui chakula cha jioni/mchana au asubuhi, au ujifanye kanisa limetoa ofa ya kwenda sijui china hatutaki, kaa chini utulie, mbasha ukikubali mialiko isiyokua na maana utaitiwa hâta mwizi au pilote linaweza Kutokea maana unaishi na creater

    ReplyDelete
  24. Sasa hivi FLORA Atafutate kijana wa kuishi nae msiweke tena wasichana coz mbasha atawamaliza wote, hako kajamaa kana PEPO LA NGONO

    ReplyDelete
  25. jamani nyie mnao comment ndio mlionifanya nijifanye nimerudiana namme wangu lkn mm na gwajima. hatuachani ng' o. nazuga tuu mihela yote ile nikakae kwa kifuu utundu. # jamani. haleluyaaa. nawapenda nyote

    ReplyDelete
  26. tuhabarisheni enyi majirani wa mbasha je ni kweli huo mkebe wake umesharudishwa ama uko hoteli ni na ni kiini macho tu hiki?

    ReplyDelete
  27. AIBU KAONA NDO MANA AMEAMUA KUJISHAUA ILA MI NACHOHIC FLORA ATAKUA AMEAMUA KUSAMEHE USONI AU AMEJIHISI NI MSALITI NA MUUWAJI NDO MANA AMEJISHAUA SIDHANI AD KUSAFISHA NYUMBA ILIKUA NI HASIRA TU

    ReplyDelete
  28. Asanteni na Mungu awabariki wote walioiinua ndoa hii.
    Emma na Flora endeleeni kuimjenga ndoa yenu.

    ReplyDelete
  29. wanaume malaya,wanawake malaya.hamna hata mwema.soma biblia vizuri ndio utapata neno.

    ReplyDelete
  30. Mwanamke mpumbavu ataibomoa nyumba/ndoa yake mwenyewe. Pole Mbasha kama kweli mmeyamaliza ni vema na ninawatakia maisha mema.
    Ila mbasha mdogo wangu wokovu wako na mkeo nilikuwa nikiutilia mashaka toka hata msukosuko huu haujaanza. Kwani nyie ni wahubiri ila mmekuwa mkihama hama makanisa wokovu hautafutwi hivyo tena mkaenda kwa huyo mchungaji ambaye mimi simuelewi misingi yake na imani zake. La pili nimekuwa nikimuangalia mkeo hajakaa kiwokovu Muhubiri daima hukaa kimadhabahu vaa yake, kujipamba kwake n.k. ila mkeo kwanini huwa anapaka wanja unaelekea kama wale wa Twanga pepeta au kanga moko? Hilo ni tatizo kwani sio urembo ni kusahihisha uumbaji wa Mungu. Hatukatai ni kujiremba mtu apendeze ila sio basi unyoe hizo nywele juu ya kope za macho halafu upake hiyo wanja uelekeke juu. Kwanini kumkosoa Mungu? Hatuwezi kuwatumikia mabwana wawili. Florah kama unapenda kwenda kidunia ni bora basi ukaacha kuimba nyimbo za Injili kwani hivyo ni kumtukana Mungu na mwisho unaaibika kama haya yalivyotokea. Hii ni aibu kubwa sana hata Jina la Mungu aliyehai tunayemwamini limetukanika sana kwa ajili yenu.
    Napenda kuwatakia maisha mema na mjirekebishe ili watu wayaone matendo yenu mema wamtukuze Mungu.
    La mwisho msikimbilie makanisa yaliyojaa miujizaa. Zipimeni kwanza hizo roho za miujiza kama kweli zinatoka kwa Mungu au kwa shetani. Mungu ni Roho na Shetani ni roho wote waweza kufanya miujiza ila miujiza ya shetani na kazi zake mwisho wake ni kulipa gharama na fidia na zaidi ya yote ni Kupata hasara ya nafsi yako milele.
    Mungu wangu wa mbinguni awape mwanzo mpya wa maisha yenu.
    Amen,
    Rev, Eddy.

    ReplyDelete
  31. kwa kweli mi namshukuru Mungu kwa ajili ya hawa wapendwa kama biblia inavyosema ndoa na iheshimiwe na wat wotee kweli na iheshimiwee alichokiunganisha Mungu mwanadamu awaye yeyote hapaswi kutenganishaa.Nawatakia kila la kheri Emmanuel Mbasha pamoja na mke wako Flora.Ninachoaminii nyie wawili ndio mnaojua ukweli wa ndoa yenu na yote yanayoendeelea maneno mengine haya yasemwayoo na kelele tu za wanadamu wasio jua maaan.lakiniii ukweliii woote mnaufahamu nyinyi wawilii.nawatakieni kila la kheri katika ndoa yenuuu ninamshukuru Mungu kwa ajili yenuuu.Kuanzia sasaa rumors kwishneiii maana watu kwa kusambaza umuuu mmmhhh

    ReplyDelete
  32. Hongereni sana hilo ni jema Kwa Bwana Yesu.Sote tulitatrajia wakristo kusameheana kama Biblia inavyotuasa.Mungu awabariki sana.

    ReplyDelete
  33. kweli mungu in mwema.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe mbasha punguza umalaya kila wachezaji wa shoo wanawake lazima ulale nao ndio maana hauna hata wacheza shoo wa kike acha umalaya

      Delete

Top Post Ad