AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Alysia amewashangaza wengi baada ya kukimbia umbali wa mita 800 kwa dakika 2 na sekunde 32 huko California, jana (June 26), ikiwa amechelewa sekunde 35 tu ya uwezo wake wakati akiwa hana ujauzito.
Mwaka 2010, mwanamke huyo akiwa katika hali nzuri alikimbia mita 800 kwa dakika 1 na sekunde 57.
Mwanariadha huyo ameeleza kuwa yeye anajisikia vizuri kukimbia umbali huo akiwa na ujauzito na kwamba amekuwa akifanya hivyo katika kipindi chote cha ujauzito na ameruhusiwa na daktari.
“I've been running throughout my pregnancy and I felt really, really good during the whole process.” Alisema baada ya kumaliza kukimbia.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
duh!! wanawake wanawezà aaaaaa
ReplyDeletemakubwa..kuma mtoto au kibuyu
ReplyDeleteHeeeeh shougeer hongera..unajiweza
ReplyDeleteMmm nana junioe umechapia au??kidole hakina mfupa eeeh..
ReplyDeleteHongera hapo no operation.maZoez tosha kabisa kujifungua salama
Hahaha!!kuma mtoto au kibuyu.....
ReplyDeleteAmetafuta kik lakini nobody cares kumanyoko zake. Angetulia nyumbani tu na hicho kiumbe chake. Watu kwa kutafuta kik, zitawauwa sheeeenzzz.......anatia mpaka kichefuchefu.....
ReplyDelete