Mwanariadha Mwenye Ujauzito wa Miezi Nane Akimbia Mita 800 kwa Dakika 2

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alysia Montano, mwanariadha wa kike na mshiriki wa Olympic aliyewahi kushinda mara tano mashindano ya riadha ya Marekani ambaye hivi sasa anaujauzito wa miezi 8, bado anashiriki riadha na hali aliyonayo.

Alysia amewashangaza wengi baada ya kukimbia umbali wa mita 800 kwa dakika 2 na sekunde 32 huko California, jana (June 26), ikiwa amechelewa sekunde 35 tu ya uwezo wake wakati akiwa hana ujauzito.

Mwaka 2010, mwanamke huyo akiwa katika hali nzuri alikimbia mita 800 kwa dakika 1 na sekunde 57.

Mwanariadha huyo ameeleza kuwa yeye anajisikia vizuri kukimbia umbali huo akiwa na ujauzito na kwamba amekuwa akifanya hivyo katika kipindi chote cha ujauzito na ameruhusiwa na daktari.

“I've been running throughout my pregnancy and I felt really, really good during the whole process.” Alisema baada ya kumaliza kukimbia.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duh!! wanawake wanawezàaaaaaa

    ReplyDelete
  2. makubwa..kuma mtoto au kibuyu

    ReplyDelete
  3. Heeeeh shougeer hongera..unajiweza

    ReplyDelete
  4. Mmm nana junioe umechapia au??kidole hakina mfupa eeeh..

    Hongera hapo no operation.maZoez tosha kabisa kujifungua salama

    ReplyDelete
  5. Hahaha!!kuma mtoto au kibuyu.....

    ReplyDelete
  6. Ametafuta kik lakini nobody cares kumanyoko zake. Angetulia nyumbani tu na hicho kiumbe chake. Watu kwa kutafuta kik, zitawauwa sheeeenzzz.......anatia mpaka kichefuchefu.....

    ReplyDelete

Top Post Ad