'Mwezi Mtukufu Huu ni Kutulia na Kujipodoa tu, Mkorogo Utanikoma' Maimartha Jesse

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amesema anafurahia ujio wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kazi yake itakuwa ni kutulia na kujipodoa tu.Akipiga stori na Ijumaa Mai alisema mwezi huo huwa mishemishe zake zikiwemo za u-MC anaziweka kando na kwamba atatumia muda mwingi kutengeneza mwili wake.

“Yaani mkorogo utanikomaje, nakuambia hadi Mwezi wa Ramadhani unaisha nadhani nitakuwa kama mwarabu, sitakuwa na la kufanya, nitakuwa ni mtu wa kujipodoa tu,” alisema Mai.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh!!Aiseeeeeeeeeeee!!

    ReplyDelete
  2. Mtu mwenyewe ngozi huna imeisha kwa mkorogo ss huo mkorogo utaupaka wapi!??

    ReplyDelete
  3. Mmmmmmh.... Ila Magotin Hapasikii Kabsa, Sas Cjui Atafanyaje!

    ReplyDelete
  4. hebu waislam mnisaidie mkorogo unaruhusiwa especially kwenye hcho kipind cha ramadhan???

    ReplyDelete
  5. Huyu dada mzuri ila ndo mchaluko balaa

    ReplyDelete
  6. Nyie mbuzi walioshindikana,msitaje mwezi mtukufu kwa maovu

    ReplyDelete

Top Post Ad