Naacha Buku 15 Daily Nakuta Ugali na Dagaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo. 

Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.

Huu ni ungwana jamani? kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna.

Sielewi nifanyeje na Nilikuwa nafikiria Kumuoa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo umuoe mpate mafanikio anajua bajeti c mchezo,maana wanaume hamna shukrani akinunua vyakula vingi muharibifu na bora aendelee kukukomesha hivohivo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Matako wewe, we ndo wake wapuuzi mnaowatesa waume zenu afu wakienda kutomba nhe,mnaanza kulalamika...pumbavu mkubwa wewe

      Delete
  2. Eee polee jitahd kungea nae pesa anapeleka wapi huenda anamawazo endelevu na baada ya muda utayaona

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unalalamika bure huwezi kujua labda mwenzio anakibubu siku akikivunja ndio utaona kuwa kumbe anaakili!

      Delete
  3. Una uhakika kama unatoa bei hiyo? Siamini ww n mwongo. Kwan hata ukiacha elf tano watu wawil kwa siku lazma kutapikwa mlo kamili mzuri. Halaf eti huuliz basi ww n taahira kama si bwege. Unaogopa? Si uulize hela yaenda wap?

    ReplyDelete
  4. Bas ww bwege kama s taahira. Nina mashaka huach hela hiyo. Eti buku 15 kila sku uuke ugal...dagaa alaf huuliz? Maana watu 2 hata elf tano yatosha kwa sku mlo mzur kabisa...!

    ReplyDelete
  5. Mvi yako buku kumi na tano nayo hela hajanywa chai na kitafunio vitu vimepanda sokoni acha ufala

    ReplyDelete
  6. Wewe ndio fala hapo juu vitu vimepanda ndio ugali dagaa kila siku ?nyooooo huyo dem aulizwe vizuri kaama anaweka pesa nyingine akiba au ana peleka wp pumbavu zake aaache rohoo mbaya yakumttesa kaka waawtu na miugali kila ciku.

    ReplyDelete
  7. hebu jaribu hii jtatu muachie alfu kumi na tano kama kawa jnne mpe kama kawa jtano mpe elfu kumi pia muendeleze hivyo mpaka wiki inaisha jmosi kama hauendei kazini usiende popote shinda nae hom huku ukiacha elfu kumi jpili mpe kama kawa jtatu inauofuata usimwachie kitu jifanye umesahau jnne acha elfu tano mwendelezo kama huo utaona kama na akikuuliza usimjibu vibaya mwambie uchumi umeshuka, naamini kama ni mkeo basi atajirekebisha na kama sii mkeo utaona ugomvi utakuwa si wa kitoto

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe tu ndo ume comment vya maana.

      Delete
  8. Matusi ya nini ww 5;19pm hujafundwa

    ReplyDelete
  9. Fanya utafiti hapo mpo watu mbili ww! unatoboka mifuko halafu mwenzio akija analamba kumi unapendwa kwajili ya pesa tu mwenzio anapendwa kwa kazi yake.

    ReplyDelete
  10. Fanya utafiti hapo mpo watu mbili ww! unatoboka mifuko halafu mwenzio akija analamba kumi unapendwa kwajili ya pesa tu mwenzio anapendwa kwa kazi yake.

    ReplyDelete
  11. I hope there is someone behind of all this. So you must carefull my br,

    ReplyDelete
  12. huyo ni wako komaa nae tu mshikaji wangu hayo ni yote ni vijimambo vidogo vidogo tu.Ukikuta tembere gonga tu mwanangu haina haja ya kuwazia au kumuuliza kwa nini kapika tembele.

    ReplyDelete

Top Post Ad