Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


1.SAM MISAGO vs B-TWELVE

2.ADAM MCHOMVU vs ABDALA(dulla wa planet bongo)

*hawa jamaa wanaendana sana kiutangazaji bila kusahau 'swaga' na wote wako hot kiukweli(wanajua),yupi anakukosha zaid kati yao katika kila kipengele?

NB:kama huwa huwasikilizi/huwajui usicomment
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah dozen mkali

    ReplyDelete
  2. Adam na b.twanga wapo juuuuuuu.

    ReplyDelete
  3. kila mtu ana k2 pekee knachomtamblisha wte wanatangaza vzr bt kinachoniuz kwa watangazaj wa cloudz ni kuendkeza majung na beef za kisenge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hyo beef wamekuwekea ww?? Acha majungu we jibu swali uliloulizwa.

      Delete
  4. maprésenter wa bongo wanakera sana mtu anaongea kama ana mapengo, eti neno BWANA utawasikia wanatamka BHANA ni ushamba na ulimbukeni na sio swaga kama wenyewe mnavyodai kuweni kama wanaume acheni mashauzi. Ma brothermen nao wanaiga hivyø hivyo, kiukweli watu wa hivyo nawachuliaga kama ndio walewale wa vidole juu.

    ReplyDelete
  5. B12 na Adam tisha mbaya

    ReplyDelete

Top Post Ad