Venessa Mdee Afunguka Kwanini Aliacha Kufanya Kipindi cha The One Show, Amtaja Marehemu George Tyson

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Venessa Mdee hajawai kusema sababu ya kuacha kufanya The One show ambayo alianza hadi ku-shoot. Hivi sasa amesema sababu hiyo akimhusisha George Tyson kama mtu aliyempa moyo kwenye maamuzi yake
Soma Hapa Chini:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ivi ni wanawake pekeao ndo wanajua kingereza Tanzania hii? maana kila wakiongea au kupost lazima wachanganye luga

    ReplyDelete
  2. sio wanawake tu,ni wote hawa wanaojiita ma superstar wa bongo.kingereza chenyewe hawajui.angalia wakiwa wanahojiwa,movie za Kiswahili wanaweka kingereza chao cha maimuna.

    ReplyDelete
  3. Hapo ni kiswanglish kwa kwenda mbele.Utadhani hao wanao jiita masuperstar wote ni wahaya.Maana wahaya bwana,ooh infakiti mimi ni mastas mbiri tu,mara oh maza wangu ana tudigrii tuwiri twa businesi administration, mjomba angu ni profesa Canada na watoto wake wote watano ni madokita,mdogo wangu ni injinia anajenga daraja la kwenda zanzibar!

    ReplyDelete
  4. huyu kiingereza anajua sana hata kuzaliwa amezaliwa mtoni

    ReplyDelete

Top Post Ad