Shaa Naye Atupia Picha Akiwa Kwenye Bikini Kwa Mara ya Kwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kama unam-follow kwenye instagram @Shaa_tz basi utakuwa umesha like au kuona jinsi comment na like nyingi zinazopata picha hizi.
Sarah Kaisi amepost picha mbili akiwa kwenye boti...
Any Comment?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NI ULIMBUKENI 2 HAKUNA LA MAANA HAPO..ZAID YA UJINGA NA KUMSAHAU MUNGU...ILA IPO CKU YA MALIPO YA MATENDO YETU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe bwege nn sasa ukitaka beach avae gauni... Ushamba tu

      Delete
    2. Hiyo siku ikifika ndo utajua ushamba na ujanja kwa allah.

      Delete
    3. We waache wajifanye wajanja,wanamuacha Mungu eti wao ni wajanja. Wangefikiria mbali wangejua y watu wanakufa na kama wanakufa wanaenda wapi. Nawaonea huruma kwan wajionao wajanja ktk dunia hii,ktk dunia ya pili watalia na kuomboleza.

      Delete
    4. Kwendeni zenu huko hiyo dunia ya pili mnaijua nyie wanafk wakubwa.....

      Delete
    5. Hamna lolote kauli za njaa tu hizo zinawasumbua hata nyinyi mngekuwa hivyo sidhani hata kama mngekumbuka muumba wenu acheni unafiki ni dhambi nyinyi ndio kusema watakatifu saana mpaka mumuhukumu mwenzenu?njaa mbaya hata vitabu vya dini vinasema umaskin ni dhambi sasa si unaona?hapo ukiitwa mchawi utakataa?

      Delete
  2. mmm anaishi apendavyo xo msimdis

    ReplyDelete
  3. jaman iyo ni beach wear

    ReplyDelete
  4. Msijifanye watakatifu kumbe wadhambi wakubwa na kuanza kujudge wenzenu unafaham ukaribu wake na Mungu au kwakuwa kavaa beach wear ndio mnamuona mkosaji..usihukumu pasipo kujua

    ReplyDelete
  5. mavaz ya beach sis tuyaone ya kaz gan c awaonyeshe wanaume zake,wengne mnashadadia tu, kwendn zen

    ReplyDelete
  6. we ukiendaga chooni unaenda na jinsi???

    ReplyDelete

Top Post Ad