Diva Loveness wa Clouds FM Aanika Upaja na Miguu Yake Baada ya Watu Kumsema Ana Miguu Mibaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa kipindi cha mahaba kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ hivi karibuni alilazimika kuyaanika maungo yake ya sehemu za mapaja kushuka chini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa mashabiki wake.Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua kumtimizia haja yake ili afurahi.

“Kuna mtu alikuwa akidai hajawahi kuona miguu yangu iko ikoje na kwamba nimekuwa nikionesha sehemu ya shingo tena kwa upande,leo nimeamua kumfurahisha,”alisema Diva.

Sambamba na maneno hayo, mtangazaji huyo alijifotoa picha zilizoocha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake kisha kuziweka kwenye ukurasa huo.

Diva ni mtangazaji mwenye sauti ya kimahaba, yenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni ambaye watu wengi wamekuwa na hamu ya kumuona jinsi alivyo kwani wamezoea kumsikia redioni tu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kichefuchefu

    ReplyDelete
  2. km vikongoro vya mbwa unaijua miguu ww unausafiri ww yani kama unakula malimao na barafu vilivyo komaa

    ReplyDelete
  3. mhhhhhhhhhhhhhh anada crap admin tuletee vitu vya maana sio vi porojo hizi paja gani hilo aende akamwoneshe GK

    ReplyDelete
  4. Ka edit hiyo pic, apige kavu pic. Sio ma rangi,rangi kibao.

    ReplyDelete
  5. Sasa hivyo vidole ishara ya matusi unaifundisha dunia nini ukiwa km mtangazaji.? Inabidi uongo wa Clouds Media kuwafunda vema wafanyakazi wake. Dada badilika usilewe sifa siku utaambiwa uweke picha yako ukiwa mtupu utafanya hivyo naona akili zako haziko sawa. Pumbavu zako kbs una maana ktk jamii. Paka shume wewe.

    ReplyDelete
  6. Diva mimi mshabiki wako naomba niwekee picha ya PAPUCHI yako plz ntafurahi sana
    Its me true fan

    ReplyDelete
  7. Niliwahi kuzini nae mara 1 Hana issue kabisa yani pwapwapwa king craize atakula nduki so soon trust me.

    ReplyDelete
  8. diva nakupa ushauri utapendeza zaidi hio kidole kimoja kikalie na chengine mweke GK alikalie mutapendeza na viji paja zakubangaiza

    ReplyDelete
  9. Kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza

    ReplyDelete
  10. sasa hapo kuna paja gani na ww admn?hujawahi kktana na mapaja nn....yan hajanisisimua hata kdogo...wala cjashtuka

    ReplyDelete

Top Post Ad