Huddah Monroe Anaswa na Ujio Mpya wa Ali Kiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ujio mpya wa Ali Kiba ulikuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wake ambao wanaoenesha kumpokea kwa mikono miwili tangu alipotambulisha nyimbo zake mbili ‘Mwana na Kimasomaso’, ingawa Mwana imeonekana kupenya zaidi.

Mrembo wa Kenya aliyewahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa, Huddah Monroe aka The BossChick alikuwa mmoja kati ya mashabiki wa dhati walioimiss sauti ya Ali Kiba na hivi sasa wamenaswa na ujio wake mpya.

Kupitia Instagram, Huddah amepost snippet ya ujio wa Ali Kiba na kuandika ujumbe unaoonesha hisia zake kwa sauti ya mwimbaji huyo.

Whaaaatttttt!!!!!!!!! I was wondering where @officialalikiba had gone to! Sauti ya kumtoa nyoka pangoni! Still my favourite Tanzanian Artist, the real definition of Bongo Flava! Duh!!”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ah Huddah Malaya tu ameshachuja anatafuta kiki kwa kumtumia Ali k

    ReplyDelete

Top Post Ad