MAUSTADHI Watembeza Kichapo cha Mbwa Mwizi kwa Makahaba Wanaojiuza Kipindi Hiki cha Ramadhani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MAUSTADH jijini Dar es Salaam wamefikia uamuzi mzito wa kutembeza bakora kwenye vijiwe korofi vya warembo wanaojishughulisha na biashara haramu ya kuuza miili almaarufu kama machangudoa au machangu kwa kile kilichodaiwa kuwa wanasafisha jiji kutokana na kero za vishawishi vya kuharibiwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Kwa mujibu wa sosi aliyewasiliana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, maustadh hao walianza oparesheni yao waliyoibatiza jina la ‘Safisha Jiji’ maeneo ya Sinza kwenye mitaa ya Shule ya Msingi ya  Mapambano na jirani na msikiti uliopo maeneo ya Afrika Sana.

Wakati maustadh hao wakiwafungia kazi na kutembeza bakora, OFM ilifika maeneo hayo na kufanikiwa kunasa tukio zima ambapo iliwashuhudia warembo hao waliokuwa wakijiuza kwa madai ya kusaka fedha za sikukuu, wakipewa kibano cha kutosha.

Wakizungumza na OFM baada ya sakata hilo, maustadh hao walisema wamechoshwa na uchafu unaofanyika kwenye makazi yao huku wakifunguka kuwa mara kadhaa wanaporudi nyumbani wakitokea msikitini, machangu hao huwang’ang’ania wakiwashawishi kufanya nao ngono bila kujua wapo katika mfungo.

“Tumechoshwa na ufuska, mbaya zaidi hawa machangu wanafikia hatua ya kutung’ang’ania wakitulazimisha tuwanunue bila kujali kama tunatoka msikitini kuswali,” alisema mmoja wa maustadh hao na kuongeza kuwa wanauheshimu mwezi huu mtukufu ndiyo maana wameamua kutembeza bakora kwa machangu hao.
Warembo hao walishuhudiwa wakiwaomba msamaha maustadh hao na kudai kuwa wamekoma, hawatarudia tena kuwasumbua maustadh.“Jamani kaka zangu nawaomba msinichape sana nina ujauzito, naomba mnichape kwenye makalio nimekoma sitarudia tena,” alisema mmoja wa machangudoa aliyekuwa akitembezewa kichapo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Je kisherria za nchi,hawa wanaopiga watu wana haki hiyo?

    ReplyDelete
  2. Imekuwa nchi ya sharia bingo??

    ReplyDelete
  3. Kufunga wafunge wengine, kwani so machangu wote waislam. Na kama wanasema wamewalazimisha kununua biashara yao wangedeal na uyo/so waliowalazimisha name sio wote. Mwezi huu wanajifanya watukufu wanafiki wakubwa na mbona kwaresima wakristo hawatulazimishi nikwamba wao hawajui dini ama. Hebu tuache unafiki waislam tudeal na yetu kwani ni wakati wa kumcha mungu na kumwomba atusamehe makosa yetu name kutusaidia kwenye future zetu.

    ReplyDelete
  4. ".......KUHESHIMU MWEZI WA RAMADHAN......" mwezi mmoja tu haitoshi tembezeni mwaka mzima bakora tukataze zinaa. Si usiku tu hata mchana vijana wanaume wanatuuzia mikundu....laanakum

    ReplyDelete
  5. kuma la mamaako mdau wa 5:50 unafirwa ww pamoja na maostazi wenzio unajifanya diniii! wafuga majini nyie? wala nguruwe wadhuri2 kuma mamaaae zenu nyie kama mwez m2kuf KWEnu sio kilam2 ni muislam mashoga nyie kazi kujipiga vidole mara5 kila siku. et oo udhu! kuma mamaae zenu mikundu kunuka nyie.sio kila m2 ni muislam maKUma nyie. kazi kula kitimoto2

    ReplyDelete
  6. Kuma ni ww annymous 6:57 tena la mama yako mkundu mbovu ww unashikishwa ukuta fala ww unajidai unajua kutukana shenz

    ReplyDelete
  7. HIZO CHUKI ZENU MLIZOFUNDISHWA NA KUDANGANYWA SUNDAY SCHOOL HAZIWEZI KUURUDISHA UISLAMU NYUMA ZAID YA KUUIMARISHA KWA KUA MNAONGEA NONE SENSE NA NDIO MAANA NI NGUMU KUMRITADISHA MUISLAM ANAEJIELEWA KWAKUA ÄLL MOST MNAVYOVIONGEA NI PROPAGANDA. HII IDINI INGEKUA YA KUBUNI NA SI YA MWENYEZI MUNGU HII LEO ISINGEKUWEPO MAANA WAMESHINDWA WATU AMBAO WALIJITOLEA KWA MALI NA HALI KUUTOKOMEZA UISLAMU SEMBUSE NYINY MNAOONGEA BILA FACT WALA EVIDENCE? ETI HOJA ZENU MAJINI? TOKA NIANZE KUSWALI SIJAWAI ONA AYO MAJINI, WEWE UNAVYOFIKIRIA UNAWEZA KUMSHAWISHI MTU AACHE UISLAM WA WAKE KWA HOJA HIZO ZISIZO NA MASHIKO? UISLAM MUNGU ATAULINDA MWENYEWE AMESHAAHIDI ILA TUKIUONA UCHAFU TUTAUNDOA KWA MIKONO YETU. Nyinyi endeleeni kumuabudu na kumlilia BRIAN DEACON (Muigizaji wa sinema ya yesu mzaliwa wa Uingereza). JE HAMKUPEWA AKILI?. Mbona nyinyi viongozi wenu wa dini ni MASHOGA NA WALAWITI na hatuwasem?

    ReplyDelete
  8. Nyie manyani wote mliocoment hapo mbona babu zenu waliowazaa babu walikuwa hawana, ninachojua mimi dini ya uislamu ilienezwa na waarabu ukanda wa pwani ya africa mashariki kwa wafuasi wake kufirwa sana na waarabu ndo maana mikoa ya pwani kuna wafiraji wengi,inaenda kwa wakristo walitandikwa sana bakora wakiwa uchi na kuvulishwa vyuma shingoni kuukubali ukristo.

    ReplyDelete
  9. na ww anonymos 11:07 ww dini yk hy kikafir imeshushwa kutoka mbinguni si mmeletewa na wazungu wanaotetea na kuhalalisha ndoa za usagaji na ufiraji..? Endeleen tu kusujudia mapicha ya wazungu hayo mnadanganywa yesu had mwisho wadunia huyo yesu atakapo kuja kuwakana mmchana kweupee ndio mtakapojuta na matusi yenu wakati huo ni too late milango ya toba imeshafungwa

    ReplyDelete
  10. Anony 3:35 huna jipya nyoko zako mama yako na ukoo wako. Waislam ni mambwa mashenzi,roho mbyhusuda,umaskini wa fikra cjui mkoje,na huyo mtume wenu mpumbavu aliewadanganya kuua watu mnapata thawabu shit! Mafundisho gani ya visasi hayo? Wakristo bible inatufundisha ukipigwa shavu la kulia geuzia na la kushoto,najua hamtaelewa kwa upoyoyo wenu. Maana yake ni amani. Mkifunga ni visirani tupu,mnakua na hasira kutwa utadhani mmelazimishwa kufunga,mara oh usile mbele yangu utanifungulisha,oh ucnitume nimefunga,kufunga kwa wakristo ni mkataba kati yako na Mungu wako mtu wa tatu hatakiwi kujua km umefunga.Lakini nyie ni tofauti mnataka kila mtu aufyate kisa mmefunga,tusile,tusinywe,tusivae eti kisa majanjaweed,boko haram,alqaeda,hamas na matakataka nyie mmefunga ptuuuu kwendeni zenu. Kwanza hamna lolote wanafiki wazinzi wakubwa wala kutimoto,kwendraaaaa.

    ReplyDelete
  11. Wewe anonymous hapo juu subiri boko haram, al-shabab, al-queda, waamke wakusomee albadiri kwenye kitabu kitukufu cha quarani ambacho mwenyezi mungu anakitambua, utaamka na mashetani, ooopss! Kitabu kitukufu kina tuma majinii?

    ReplyDelete
  12. jamani nyie mashehe, hamna haki ya kumpiga mtu, na kama hao machangu wanawasumbua, kwa nini msibadilishe njia? ,but nyie Kila siku mnapita sehemu zao za biashara mnategemea nini!! NDIO MAANA MNAONEKANA NI WATEJA:

    ReplyDelete
  13. MAKAFIRI wawatetea wenzao wa kikristo! machungu wote ni wakristo

    ReplyDelete
  14. we mbwa dini zote zilikuja zikatukuta wapagani we uyo mtume ulimuona unavyomuabudu??? si kwa imani yako tu ndo inayokupelekea kuabudu kwanza mwezi huu hata machangu hawana wateja ujue nyie ndo watenda dhambi wakubwa mwezi ukiisha hao wanawawachapa ndo wateja no moja eti mwezi huuu ndo wanajidai wanaona siku zote walikua wapi mshweeee

    ReplyDelete

Top Post Ad