Mume wa Dida Edzen Ataja Sifa za Mwanamke Anaye Tarajia Kumuoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Deogratius Mongela

BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida,’ mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne ametaja sifa za mwanamke atakayekuja kumuoa kama akitaka kufanya hivyo.

Akizungumza na mwandishi wetu nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar, Ezden alisema kuwa kutokana na kupitia kipindi kigumu cha kuachana na aliyekuwa mkewe amedai kuwa hafikirii kuoa kwa sasa lakini kama akija kuoa tena atamhitaji mwanamke mcha-Mungu, mwenye heshima, asiyemlevi na atakayejitambua kama ni mke wa mtu.

“Sidhani kama nitaoa hivi karibuni, lakini kama nitaoa tena mwanamke ninayemtaka ningependa awe mwenye heshima, anayefuata dini, asiyependa ulevi na atakayejitambua kama mke wa mtu,” alisema Ezden.
GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jinga hili! Aseme huyo jimama atakaye mpata awe anampa pocket money zaidi mfyuuuu

    ReplyDelete
  2. Mola akujaalie upate mke mkewo aweze kukufuta jeraha la moyo wako inshaallah

    ReplyDelete
  3. Ukiwa tayari kujitegemea kwa mapato yako utapata mwanamke mwema,
    siyo kulelewa na mwanamke kama kinda , acheni maisha ya kuiga vijana
    mtapotea

    ReplyDelete
  4. Aya tumesha soma.

    ReplyDelete
  5. dogo bado roho inamuuma kuachwa.matangazo ya nini mke mwema watu watajua tu,ila ia itachukua muda kupata maana kwa sasa wanawake washakujua dezoooooo.

    ReplyDelete
  6. RUDI KWA MKEO WW ACHA KUOA KILA LEO

    ReplyDelete

Top Post Ad