Nani Mkali kati ya Diamond na Ali Kiba? Wachezaji na Kocha wa Simba wabishana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mjadala uliopo kwenye mitaa na baadhi ya maskani za watu wengi japo kwa dakika tano ni mpambano usio rasmi kati ya Diamond na Ali Kiba.

Mpambano huo unaotengenezwa zaidi na mashabiki umetua katika mazoezi ya Simba ambapo wachezaji maarufu wa timu hiyo waliweka nukta ya mazoezi kwa muda na kuanzisha mjadala ‘wa nani mkali’ mjadala uliomhusisha kocha wa timu hiyo, Selemani Matonya.

Kwa mujibu wa gazeti la Championi, wachezaji hao na Kocha wao walijikuta wakianza kubishana (debate isiyo na msimamizi) huku Suleiman Matola, Uhuru Selemani, Awadh Juma na Twaha Ibraahim wakiwa upande wa Mwana Dar Es Salaam Ali Kiba, wengine waliohusika kwenye mjadala huo walichukua upande wa MdogoMdogo wa Diamond wakiwemo Said Ndemla na Abdallah Sisem
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

31 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Admn Mchonganishi wewe..

    ReplyDelete
  2. Ally kiba...mwanamuziki kwa maana ya mwanamuziki ILA diamond Ni mshehereshaji WA muziki tofaut ndo hyo nadhan jibu unalo Nan mkal

    ReplyDelete
  3. hamuna kazi kazi zenu kuchonganisha watu tuuuuu na kukuza maneno kufanya ugomvi kua mkubwa nyie muhimu muuze magazeti muso jaribu kuwapatanisha ili waungane muziki iendelee nyie kaeni mkizidi kuwa chonganisha so wat kama walikua washinda watuambia tufanyeje hebuuuuuuu. ali k na diamond nyote ni watoto wa kiislamu mlaanini shetani kuteta sio ishu nani ni mkali haijalishi unganeni mupeleke usanii level nyingine na diamond kuropokwa sana sio vizuri kwa mwanamume true

    ReplyDelete
  4. ally k yuko juuuuu

    ReplyDelete
  5. ALI KIBA YUKO JUU BILA TASHWISHI

    ReplyDelete
  6. Ally kiba vocomaster ever Nat c

    ReplyDelete
  7. MAKUMUMAAAAAA KWEL NINYI HUYO HASIMAMI NA DIAMOND KAMWE HT MKIMPIGIA DEBEE BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO SORRY

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo umejiona mjanja kutukana,, hapo ndo ilipo tofauti kati ya mashabiki wa Ally na domo,, prove kama domo ni mkali kwa vocal na nyimbo yaani mistari na msg...
      Najua huna na ndo maana ukakimbilia kutukana, huo ujanja wa matusi wenzako tuliufanya mwaka 1998!!!

      Delete
    2. We uliyetukana hapo mi najua issue zako kwanza umekosa adabu unachamgia bwana na mama yako....ss we endelea kufirana na Baba yako wa mambo...we na mama yako ushuz nyie

      Delete
    3. Muzuki now wanaangalia mauzo ss ww kalia vocal afu uishie kujulikana kwenye vitongoji na pesa huna! Wanamziki wangapi wanavocal hadi zinamwagika shida tupu nawengine wamekufa maskini! Mjazeni cfa but Kiba + namavocal atangoja sn kwa Dai..

      Delete
    4. Atakuwa kwa Baba mtogole huyo na kwa mama samvu lachole ndiomaana mitusi inamtoka.ila wapenz wa kiba sie aaah kiba zaidi habani maneno wala pua.

      Delete
  8. Mnalazimisha limao kua chungwa!? Dai alayz...

    ReplyDelete
  9. diamond mkali bwana ila adm acha uchonganishi

    ReplyDelete
  10. Huu ndio wakati wakuuza magazeti na kuingiza pesaaaaahhhh!! jaribu kupatisha sio kuchonganisha na wewe kiba na daiomond haina haja ya ugovi cha muhim mashabi zenu tunapenda kuwaona mkipatana sio kuwekana chukiiiiii sawa......??? Na nyie viongozi wa hawa dai na kiba mko wapiiiiiii??? Wewe tale na fela?? Wakiba cjui majina jaribu kupatanishaaaa hawa watu mana kuna mijitu ndio ishapata sehemu yaa kuingiza pesa

    ReplyDelete
  11. Ila kweli mziki wa ss ubunifu,bahati na voko tu na siovoko kavukavu maana wapo wny voko kali lkn maskini

    ReplyDelete
  12. Diamomd anaburudisha ali kiba anaimba

    ReplyDelete
  13. DIAMOND ANATUPA ENTERTAIMENT ALI KIBA ANA TUPA MASAUTI KM KINANDA ATUBURUDISHI.....MASHABIKI TUNATAKA TUNGO ZA BURUDANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  14. Kiba yupo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zaidi ya juuuuiuuuuuuuuuuuuuuuuu, ally kiba wewe Ni mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii zaidi. Kura kwa kiba. Cjui Ata nisemeje ally kiba penda Sana wewe kazi nzuri Sana.

    ReplyDelete
  15. Kiba kiba zaidi

    ReplyDelete
  16. Tunaojua mziki ali kiba bingwa kwenye gemu.

    ReplyDelete
  17. Kiba Yuko sawa kimziki

    ReplyDelete
  18. Domo anamfurahisha wema, ILA Ali kiba atufurahisha Sana mashabiki.

    ReplyDelete
  19. TUPeni na matokeo kura yangu Ni kwa mtu mzima kiba WA Ali kiba. Matokeo muhimu kutolewa

    ReplyDelete
  20. ally k juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  21. bila shaka kura kwa ally k.

    ReplyDelete
  22. Miaka mianane saut yenye melody ya hisia kwangu ni ally so kwamba cmpend dail apana ila kwa saut nature ya kuimba ally ni level nyingine sema dai nyota imeng'aa full stop!!

    ReplyDelete
  23. Nyie mpeni bichwa huyo Ali K wenu na mavocal yake wenzie wanasonga,amerudi mwacheni afanye kazi miaka 3 aliyokaa kimya sijui analea watoto alijua mavocal yatamsaidia matokeo yake anarudi na makelele ili watu wamwonee huruma mi nawapenda wote msiwastress acheni vijana wafanye kazi jamani!

    ReplyDelete
    Replies
    1. waaambie maana tanzania wamezoea wakiona mtu anaendelea kuwasha moto kwa muda mrefu bila kuzimika hawapendi mwisho wa siku watu wa redio maproducer na wadau wanaamua kumtafuta mtu angalau kumfananisha kiuwezo lengo kumshusha mmoja hata ktk shoo kulipia watu wazomee popote anapofanya shooo *** mi naqona ni wapumbavu watasubir sana

      Delete
  24. kiukweli watu wote wanamjua nani ambae ni zaidi kwa vigezo na si kwa chuki binafsi ya mtu.Wadau tafadhalini kwanza ubora ni nini? na udhaifu nin nini?Sasa basi Hakikisha msanii wako ambae unapendekeza awe na sifa zifuatazo ili uwe jaji bora na si tu kwa fitina zakoza kutompenda ally au diamond sifa ni hizi hapa:- 1; album yake nyimbo zote kuwa hits *** sasa jiulize album ya kwanza ya kiba na diamond ipi ilikuwa na nyimbo zilizobamba sana? pia ni ngapi hazikubamba ukilinganisha na idadi ya mwenzie? hapa sema kweli***** 2; je album ya pili pia kuwe na vigezo typical ;;; je umehakiki hilo? *** 3kudhihirisha ni kipaji halisi je msanii wako ameendeleza kuwasha moto kwa kipindi chote bila kukaa kimya kwa kipindi? wazo ni kwamba kama msanii akasikika halafu tena kimya ina maana ina maana hana uwezo wa kucheza mechi dakika 90 yaani full time ukiona msanii kawa kimya maana yake anakopi style za watu ndo arudi tena na wengine ndo hyuwa basi mfano akina Z anto MB dog joslin dazznundaz feroouz dazbaba na wengine unaowajua 3; je anakubalika kimataifa yaani kufanya shoo na kuleta mapato ktk kumbi za kimataifa na hata wasanii ambao wanatamba kwa sasa je wanaweza kumpa feature? ukitizama kwa makini ali na diamond wote washapewa shavu na wasanii wa nje lakini jiulize ni akina nani kwa muziki wa leo wanatingisha dunia ktk redio disco za kumbi mbalimbali yaani nyimbo zao ni lazima zipigwe sema kweli ukianza na wanaomkubali diamond yaani mafikizolo from south africa na wanaigerian kama Davido na wengine wengi ........ halafu ali kiba R kelly ***4 kujituma mazoezi na ni ndio matokeo ya miili yao kuwa ya strong je ni nani yuko strong wakivua nguo zao yaani ana muonekano wa kiume zaidi yaani si lezzyness na kiuvaaji nani anavaa kisanii zaidi yaani ki-nyamwezi tuwe wakweli **** 5 ni nani mwenye wapenzi wanaopenda kumkaribisha na mwenzio ki-beef? yaani diamond kutafuta umaarufu kwa mgongo wa kiba kupitia bifu au Kiba kupitia bifu na diamond ******** hapo wadau tendeni haki kwa kuwa wa kweli bila hivyo Tanzania tutaendelea kuwa maandagraundi

    ReplyDelete

Top Post Ad