Pinda Awaagiza UKAWA Kurudi Bunge la Katiba; Asema Sio OMBI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ametoa agizo hilo leo Iringa katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Ngalalekumtwa katika kanisaa katoliki Iringa. Amesema ukawa lazima wahakikishe wanarudi bungeni kujadili.katiba na kusisitiza sio ombi kwani wananchi wanataka hivyo.

Amesisitiza kuwa endapo ukawa watakwamisha upatikanaji wa katiba bora, ataongoza kampeni nchi nzima kuwataka wananchi kuikataa katiba wakati wa kura ya maoni na kuwanyima kura wapinzani.katika uchaguzi mkuu ujao
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndo zake huyo mzee!! Kauli zake huwa hazifikirii

    ReplyDelete
  2. Kauli zake zachefua katika ulimwengu huu wa demokrasia(kujichagulia mambo)

    ReplyDelete

Top Post Ad