Post ya Hasheem Thabeet Kuhusu Wanaombeza Nakudhani Amesahau Lugha ya Kiswahili.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hasheem Thabeet ame-post kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu baadhi ya watu wanaodhani kwamba amesahau lugha ya kiswahili. Sasa hiki ndicho alichoandika Hasheem kwenye ukurasa wake wa facebook.
Quote of The Day:

“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya,tumekusikia na weeeeyeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  2. Huna lolote Hasheem wewe ndio ulikua unajidai hujui kiswahili, unaigia sleng za Black America sasa yapi yamekukuta unajidai Kiswahili ndio Lugha yako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahaaaaa,You know,you know,you know kwa saaaaana Hashim,kasahau kiswahili wajemeni.

      Delete
  3. Atasahau wapi mmatembele huyo hana lolote. Basketball yenyewe imemshinda anabakia kama mkichaaa vile

    ReplyDelete
  4. Hasheem toka uende na team ulizochezea. jumlisha points zako zooooote. ushawahi kufikisha points? nimebahatika kuangalia michezo kadhaa ya oklahoma city thunders. namuona tu ibaka, steve adam na k.perkins ndo wanacheza sana position uliopo na wote hawafiki height yak So tatizo nini?

    ReplyDelete
  5. Huna lolote misifa imekuzidi, ukasahau mazoezi ndiyo maana umeshuka kazi buti,

    ReplyDelete

Top Post Ad