Shilole Adaiwa Kukataliwa Ukwenu..Kisha Umri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Jamila Said na Emelder Tarimo

Haijakaa poa! Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.

Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na Shilole ambaye hawaendani kiumri,” alidai mmoja wa ndugu hao.
GPL

Quote of The Day:
“You can't depend on your eyes when your imagination is out of focus.” 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nimewah umu mapema Leo jaman wamuache tu si ata kalea pamoja na wanae mpokeen tu ndo mwanenu Keisha data chezea shishi

    ReplyDelete
  2. Embu waacheni uko uchawi tu umri ndiyo nn wkt wenyewe wanapendana alafu wakwe nao sijui mnakuwaje chefuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. yani wanaboa kwan mboo inakipimo au aingiiii CHEFUUUUUUUU

      Delete
  3. Wazee yao ya shawaishia pengine na wao washawahi kufanya ivyo ila minasema kipendacho roho ula nyama mbichi utajuaje raha anazozipata mwanao chezeya injini weeeeee

    ReplyDelete
  4. Mapenzi na umri wapinawapi watu wakipendana umri sio tatizo wawaache wenyewe

    ReplyDelete
  5. Sasa hilo lijizeee zima limeenda kuchukua kakijana ka watu duh. Na hako kakijana kameingia kichwa kichwa bila hata ya kutafakari. Sasa angalia kanafanywa kama ka house boy kinashinda kubadilisha chupi za mikojo za watoto ambao hakuwazaa yeye na kusafisha gari. Yaani mpaka kanatia na huruma. Na hiyo si kwa ajili ya kitu kingine bali ni njaaa. Jamani hizi njaaa zitatuua. Kwa umri wake hako kakijana kalitakiwa kawe sehemu fulani kanajiendeleza na maisha. Kama vile kwenda Shule. Lakini hiyo yoote ni Njaaa ndio inakokasumbua maskini. Lakini ukweli ni kuwa hata ningekuwa mimi ni nduguye roho ingeniuma sana kwani Shilole ni lizeee tena ni lile lizee lililoshindikana. Anahitaji lijizeee lenzake.

    ReplyDelete
  6. Kweli ukisikia ujana ni shida ni shida kweli. Haka katoto hata hakajitambui. Angalia sasa kameenda kuchoro tatooo ya jina la huyo jizeee sijui mkononi sijui mguuuni yaani ni shida. Hajitambui kabisa. Na hilo lijizee linaendelea kukakumbatia katoto ka watu na mikorogo yake. Shilole achana na hicho kitoto usikirubuni kwa mbinu zako chafu. Kaache kakatafute ma sister du size yake. Isijikuwa wewe ni miongoni mwa vile vibibi vichawi vinavyoweka watoto wa watu Msukule. Kwa sababu hako katoto kanaonekana kame wekwa Msukule.....wewe lijizeee Shilole hata haya huna. Kwa kweli Mungu akupishilie mbali. Boko mwanaharamu mkubwa weee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilo lijizeee hata ukiliangalia kuma yake mbovu imeishachakaaa. Huyo dogo aambiwe akatafute vitu vibichi size yake. Aache kuendekeza Njaaa.

      Delete
  7. Kwa kweli hako kakijana hakajitambui kwani kanahitaji maombi ya hali juu na watu waende kukaokoa kutoka kwa hilo lijizeee Msukule.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu utawauwa bureeeeeee,mapenzi ya watu yanawahuuuuuuu,fanyeni yenu kwan mapenz hayachagui. Mwachen shishi ainjoy kwa wakati wake bhana au mnamtaman uyo dogo..... wiiiiiiiiiiiiivu mbaya sn jaman. Mtakufa na roho ya nyongo ninyi woooote mnaoponda. Big up sn shishi endelea kutamba na nuhu wako ili wenye roho mbaya wasage chupa wanywe ka vp. Chezeeeeya shishi weeeyeeee...

      Delete
  8. KUmaa mamaae zenu acheni ushamba mapenz hayachagui umri kuma nyiee. au mnataka nuhu awafire nyie? nuhu fanya mambo yako achana nao. hayo ni mambo ya mbele>achana na wabongo. wapuuzii.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hao wote wanaoponda hawajui maana ya mapenzi,hawajitambui ni wivu tu unaowasumbua,watakoooooonda kwa wivu wao wa kisenge. Sh*************+

      Delete
  9. wamependana so acheni umbea

    ReplyDelete
  10. kwan mboo aingii kwa shishi umbea tu mnajua wazee nyie fanyeni yenu

    ReplyDelete
  11. Shilole anatia kichefuchefu. Amwache dogo wa watu ajivunie ujana wake. Huyo dogo huu ni muda wake wa kutanua. Na sio kuwekwa kimada na hilo lijizeee Msukule. Njaaa zitawaua.

    ReplyDelete
  12. Hapo hakuna mapenzi zaidi ya kutumiana. Shilole anamtumia huyo dogo kama house boy wake na kwa sababu huyo dogo hajitambui.

    ReplyDelete
  13. mhjbvcxvbnnmbvxcxcbvbnnm

    ReplyDelete
  14. jamani mwacheni, ajionee mwenyewe kwani mapenzi wala hayaingili au kushauliwa na mtu yyt yule, so kama wamependana muwaache , sio mnaanza kutia midomo yenu hata kama ni ndugu ynu mwacheni. yy si mtoto anajua nn anachofanya.

    ReplyDelete

Top Post Ad