YATISHA: Kijana afyatuka, Amuua mtoto wa Miaka 9 na ‘Kutafuna Ubongo’ Kisha Kujikata Uume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Moshi. Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 kule Samanga leo na kisha 'kula ubongo' wa mtoto huyo katika tukio la kutisha lililostua wakazi wa mji huu.
Kijana huyu aliyefahamika kwa jina la Lawrence Mramba, 20, alimshambulia mtoto huyo mwenye umri wa miaka 9 kwa panga wakati akienda shule mnamo saa 1 asubuhi Ijumaa, akampasua kichwa na kisha akaanza kutafuna ‘vipande vya ubongo wake.’
Mara baada ya kitendo hicho cha kushtusha, Mramba, aliyeonekana kuwa na matatizo ya akili, alianza kujikatakata sehemu zake za siri na wembe, huku akitafuna vipande vya mwili wake mwenyewe, kimoja baada ya kingine.
Baadhi ya mashuhuda wanadai kijana huyo  ‘alionyesha kuwa na nguvu za ajabu’, huku wanakijiji wenzake wakishindwa kabisa kumdhibiti.
Wengi walilazimika kuketi kando wakimtazama jinsi anavyojikata wakishindwa kujua cha kufanya.
Iliwabidi polisi waingilie kati sakata hilo na hatimaye wakifanikiwa kumthibiti kijana huyo.
Hata hivyo, Mramba alifariki dunia muda mfupi baadaye katika hospitali ya Kilema wakati akipewa matibabu ya dharura kutokana na kupoteza damu nyingi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duuh moshi kama watu wa bara sikuhizi kuuana tuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. wee bweeegee nini? lini umesikia habari kama hii.acha kushoboka

      Delete
  2. Inauma sana jaman

    ReplyDelete
  3. Nimekupendaje mdau 9:42am

    ReplyDelete
  4. Hivi kumbe Moshi ni pwani siku hizi? Aisée poleni sana wafiwa

    ReplyDelete

Top Post Ad