Aunty Lulu Akubali Yaishe, Asema Hana Kinyongo na Mapenzi ya Wastara na Bond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya

BAADA ya kuachwa na mpenzi wake wa siku nyingi Bond, ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa filamu, Wastara Juma, Aunty Lulu amekubali yaishe na sasa hana tena kinyongo nao.

“Mimi sina tena kinyongo na Wastara, vile nilikuwa namfanyia tu vituko, lakini kwa sasa asiniogope wala asiwe na wasiwasi na mimi, nimeshaachana na Bond japokuwa tulitoka mbali sana na hakuna wanamke anayemjua kama mimi, siku ya harusi yao nitacheza mpaka asubuhi,”alisema Aunty Lulu.

Msichana huyo aliyepata umaarufu baada ya kutwaa taji la Kimwana Twanga Pepeta, alitoa kauli hiyo hivi karibuni maeneo ya Kinondoni baada ya kutakiwa kutoa tamko juu ya uhusiano wa wawili hao, ambao awali alikuwa akiwatupia madongo na kuwapiga vijembe.

Alisema kwa sasa hana kinyongo na Wastara na amebariki uhusiano wao wa kimapenzi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yy ni nan mpk aanze kubariki uhusiano wa wastara na bond hahahaha umekwisha tafuta ww wa kwako bond kwa wastara hatok huyo

    ReplyDelete
  2. naona umechemka umekubali matokeo bi shost phwaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Mhh ni kwel wastara yupo na bond??au ni udaku tu,mhh wastara kujiheshim kote huko ameishia kwa bond,?impossible.

    ReplyDelete
  4. lulu usingeweka picha hyo matako na mapaja yako yametepeta sana then yamejifinyafinya no mvuto kwa kwel watia hinyaa

    ReplyDelete
  5. Umependeza ndo shepu za mduara hizo uyo anae kunanga anaitamani ila hanaaa

    ReplyDelete
  6. Umependeza ndo shepu za mduara hizo uyo anae kunanga anaitamani ila hanaaa

    ReplyDelete
  7. wew nasikia una bikra ya 0712

    ReplyDelete

Top Post Ad