AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
AY amedai kuwa kuwa yeye na Diamond watahakikisha Chidi Benz anasimama vizuri baada ya kuyumba hapo awali.
AY ameiambia Bongo5 kuwa kama ilivyo kawaida yake kumsaidia msanii mmoja kila mwaka, mwaka huu atahakikisha Chidi anakaa pazuri.
“Huwa nina uhakika wa kufanya comeback nzuri tu, sio kwamba ninavyomsupport Chidi tunapata faida yoyote. Kila mwaka huwa ninampick mtu mmoja, so mimi na Diamond tuliamua kuwekeza kwenye audio pamoja na kufanya naye video pamoja kwa gharama zetu sisi. Kama unavyoona promotion yake, mpaka sasa hivi tupo kwenye process ya kufanya video. Bado hatujajua tutafanya wapi video ila tupo kwenye maandalizi ya mavazi, location na mambo mengine,”amesema AY.
Hivi karibuni Chidi Benz alitoa wimbo ‘Mpaka Kuchee’ aliowashirikisha AY na Diamond.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
ay ingekua vzr ungemtoa kwnz gk co uyo mla unga umesahau mlvokua na gk na ect kwa ujumla?
ReplyDeletemdomdogo imeshaaza kushindanishwa kwenye tuzo za kimataifa hii ni kazi zuri aifanyayo diamondi ila cjajua kama mwana ya aliy kimba kama nayo ipo nominated nitafurai kweli kama nilivyo mfuraia diamondi kwa kuzidi kupinga hatua
ReplyDeleteWeb hii mpya ya kusoma udaku ingia ujionee udaku news
ReplyDeleteDiamond ni mtu hatari sn anabahati na nyota kali mdogomdogo imeshaanza vzr
ReplyDeletechid benz mpumbavu mnajaza maji kwenye gunia mla sembe mwenye mabifu ya kishamba jidume lenye kutoboa pua na kupigana na wanawake mnalipeleka wapi? labda mlipe promo kwenye taarabu
ReplyDelete