Baba Amuingilia Bintiye Kinyume Cha Maumbile

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado vinaendelea Zanzibar baada ya watu wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka.

Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka huu Muhammed Khafidh Thabit (50), anadaiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 14.

Mtuhumiwa huyo alimuingilia binti yake huyo kinyume na maumbile na kumsababishia madhara makubwa mwilini wake.

Akizungumzia kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkadam Khamis Mkadam, alisema tukio hilo limetokea eneo la Misufini.

Alisema baada ya kuhojiwa mtoto huyo, alisema baba yake alikuwa akimlazimisha kufanya mapenzi baada ya mama yake kutengana na baba huyo.

Alisema uchunguzi wa kidaktari umeonesha kuwa mtoto huyo ameingiliwa mbele na nyuma.

Katika tukio lingine la mkoa wa Kusini Unguja  Polisi inamshikilia  Ali Hashim Ali (27) mkazi wa Mwera visiwani hapa kwa tuhuma za kumuingilia mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.

Kamanda wa polisi mkoani humo, Juma Said Khamis alisema kijana huyo alimrubuni mtoto huyo kwa kumuahidi kuwa atampatia mbuzi wa kufuga.

Alisema mtuhumiwa huyo alimchukua mtoto huyo na kumpeleka katika boma la nyumba na kumfanyia kitendo hicho cha kinyama.

Alisema mtuhumiwa ameshawahi kuwalawiti watoto wengine wawili wa kiume.

Watuhumiwa wote wapo chini ya ulinzi.
Akihutubia Baraza la Idi hivi karibuni, Dk Ali Muhammed Shein alikemea vitendo vya udhalilishaji na kutaka vipigwe vita.

Alisema takwimu za vitendo vya udhalilishaji zinaonesha kuendelea kuwepo kwa vitendo hivyo licha ya jitihada zinazochukuliwa na serikali na kushiriana na wanaharakati.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we baba ulaaniwe.; nisheeeeeeeeeeeeda,, umekosa wanawake au umetumwa nnnnnnn

    ReplyDelete
  2. mkumbuke muumba wako alokujalia watoto

    ReplyDelete
  3. Ila zanzibar ndio zao mi sishangai halafu wansjifanya swala 5 uwiiiiiiii

    ReplyDelete
  4. Jamani zenji kwa kufilana!!!!! Oneni sasa mpk mnabaka watoto wenu punguze ufuskaaaa

    ReplyDelete
  5. wawo wanasemaga suna

    ReplyDelete
  6. wasichana wa zanzibar wote kazi yao kufirwa ili wakiolea wakutwe na bikira..

    ReplyDelete
  7. Kumbe hata. Zanzibar umejaa ubakaji na mapedofil mpaka wanabaka vitoto na vitoto vyao vya kuwazaa wenyewe. Hmmmm muogopeni muumba jamani. Sio swala la swalaa tano pekee yake. Kumbe huku ni mbakaji mkubwa wa vitoto, vyako mpaka vya wenzako,

    ReplyDelete
  8. AUWAWE, HANA FAIDA NA NCHI HII.

    ReplyDelete
  9. Na mbakaji jamani hukumu yake iwe kupigwa mawe, maanake huyo sio kuzini, kabaka tena vitoto visivyojua lolote havina hata hatia, kavibaka mbele na kuvigeuza, na hicho kingine kijana dume, nacho kimefanyiwa mambo ya sodoma masikini, ndio tabia mbaya zenyewe hizi, tuswali kwa ajili ya kukemea maovu, haya ni maovu kwa wasiokuwa na hatia wala hawajiwezi, kama vitoto, ni unyanyasaji huu

    ReplyDelete

Top Post Ad