Manyaunyau Awataka Wanasiasa Wakubwa Wanaomfuata Kwa Siri Waweke Wazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mganga wa jadi maarufu anaefahamika kama Dr. Manyaunyau amesema kinapofika kipindi cha uchaguzi, wanasiasa wengi wakubwa humfuata kwa lengo la kutaka awasaidie lakini siku zote wanafanya kwa kujificha sana.

Akiongea na  Times Fm, Manyaunyau amewataka wanasiasa hao kutofanya kwa siri kwa kuwa anachokifanya yeye ni ufundi wa jadi ambao nchi nyingine unajulikana mwanasiasa huweka wazi benchi lake la ufundi kwa kujigamba.

“Viongozi kwa kweli wanatufuata inapofika wakati wa uchaguzi. Si unajua wasiwasi, wanasema wasiwasi ndio akili. Kwa hiyo wanakuja lakini katika njia ya kuangalia. 

“Mambo hayo hapa Tanzania ndio watu wanayaona mageni kiongozi kwenda kwa mganga wa kienyeji, wengine wanakuja kwa kujificha. 

Mganga huyo anaeleza kuwa wapo wanasiasa wengi waliomfuata ameweza kuwasaidia na wakafanikiwa kuzikusanya kura za wananchi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu wote wanapofanya yasiyompendeza Mungu ( Dhambi ) hufanya kwa siri kuogopa watu wasiwaone,Kitendo cha kuja kwako wewe manyaunyau ni dhambi na ndio maana hawaweki wazi.Lakini ole wao ni bora wamuhofu Mungu kuliko binadamu wenzao.

    ReplyDelete
  2. Viongozi, upupu tu hivi uku kwetu Africa kuna viongozi, si upupu tu, kiongozi imara awezi kwenda kwa mganga, amgangue ili iweje, achaguliwe, uchaguliwe kulingana na uwelewo wako sio kwa kujigangua, wawafanyie kama kama nchi zilizoendelea vile, wanachi wote waone uelewo wao wa kupambambanua sio kukimbilia ufisadi, hamna lolote wanawaza kwenda kuiba tu

    ReplyDelete
  3. sasa na wanachi itabidi tukutane huko huko kwa waganga, twote tuganguliwe, tusingie mkenge kwa kupoteza kula zetu kwa hawa wajinga wajinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. dah..umetisha vibaya mno...lakini shida ni kuwa tunapinga hivi vitu , hivyo tuwaachie hao mafisadi ambao wengi hufa vinywa wazi!

      Delete

Top Post Ad