Diamond Hajavunja Ndoa Yangu-Irene Uwoya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka  katika ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live na kusema kuwa yeye hajaachana na mumeo wa ndoa na wala msanii Diamond Platnum hajavunja ndoa yao kama ambavyo baadhi ya watu na vyombo vya habari walivyokuwa wakisema.
Uwoya ameweka wazi suala hilo baada ya mashabiki wengi kutaka kujua kama ameachana na mumeo ndikumana na ndipo hapo amekanusha kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na Diamond Platnum wala Msanii Msami Baby kama ambavyo watu wamekuwa wakijua ni wapenzi bali amesema kuwa yeye na msanii Msami ni marafiki wa karibu na sasa wanafanya filamu ya pamoja.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Udaku nyie ndio wambea namba 1,
    kwani sio nyie mnaoandika habari za
    hawa bongo's celebrity?

    ReplyDelete
  2. kuwa na msimamo

    ReplyDelete
  3. Msidanganyike diamond na uwoya walifumwa live live guest,na baadae diamond alikiri kwamba alimtia uwoya.siku hizi ndo fashion kukana,menina nae karuka futi ishirini kuwa katembea na daimond.kila anaetembea na dai anakana futiii miaaaaaa,diamond ni Kama jay z Wa bongo,msione aibuuuuu,mtu akibahatika kutembea na jay z Wa marekani itakuwa tangazo la biashara.why Domo mnaona aibu kutangaza?

    ReplyDelete
  4. Tunaona aibu kutangaza kwakuwa diamond ni mchafuzi analala na kila demu mzuri,sasa siku kipindupindu kikianza atutaki kunyooshewa vidole,ndo maana hatutaki tujulikane,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umetaisha umetisha mtuwangu, hee hee 'kipindupindu', kuharisha kutapika mara 62 kwa wiki...........ni ssshhhiiidddaaahhhh!!!!!! Wapi Feruzi.

      Delete

  5. Usibishe,usikane,usikatae kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond
    au unataka uwekewe picha mliyokuwa mna-do?

    ReplyDelete
  6. Uwoya umetombwa na dimond usibishe.. tamaa zenu na kuendekeza njaa ndo vinavyowatesa masuperstaa mavi wa hapa bongo..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kabisaaaaa wana njaa sana hawa masupa star uchwara,Yani ni mashindanooooo,Joketi katombwa kapewa million kumi anunue Gari basiiiiiii kila mtu anataka atombwe na Domo.

      Delete
  7. Hahaha!daimond kakutia msami kakutia mpk soud brown amekuhoji clouds na ukakubali msami ni boyfriend wako na usivyo na haya unamchukua msami ikiwa wazi unamjua mwanamke wake tamaa za kuharibu watoto wa wenzenu ww na shilole muiache malaya ww

    ReplyDelete
    Replies
    1. Midada mingine kujitia nuksiii,ulijuwa waziiii huna mapenzi na ndikumana(mumeo)kwanini ulifunga nae ndoa?alivyoanza kuugua ukamkimbia,sasa kapona mwenzio,nyoooooo ulijua atakufa?

      Delete
  8. Ndikumana wa nini? Kwanza bora alivomuacha! Mbayaaaaa sura kama godoro lililoungua! Ampishe mtoto nzuri Irene ale maisha!
    Mbona nyie vibamia vyenu vinapiga mbizi kila bwawa na hatusemi?
    Kwanza anatumia uchi wake hajakopa wala kuazima wa mtu!
    Mind your fuckng bizness gays!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tubu,utakufa leo kabla ya saa sita usiku.

      Delete
    2. Kumbe kilichomfanya afunge ndoa na ndikumana ni pesa tu?
      Na upupu kamuachia.

      Delete
  9. Ndikumana wa nini? Kwanza bora alivomuacha! Mbayaaaaa sura kama godoro lililoungua! Ampishe mtoto nzuri Irene ale maisha!
    Mbona nyie vibamia vyenu vinapiga mbizi kila bwawa na hatusemi?
    Kwanza anatumia uchi wake hajakopa wala kuazima wa mtu!
    Mind your fuckng bizness gays!

    ReplyDelete
  10. Mastaa bongo wote ni mavi

    ReplyDelete
  11. Ofcoz hajawahi kuwa na mahusiano na dai,ilikua tu hit and run,dai aligonga na kufuta miguu na kusepa,cdhani km hata hela ya sabuni ya kuosha nyapu alipewa,jaman mpk picha za guest mlichukuliwa leo unamkana dai??duu .na huyo msami mwenyewe ulikiri kuwa upo nae na unamgharamia kila kitu,leo unakataa maskini kwel muongo hanaga kumbukumbu.

    ReplyDelete
  12. HAKUNA DEMU Yoyote aliyetiwa na dai ukimuuliza atakubali wooote wanakana,hata Joketi mwanzo alikana,Hamissa ,halima,nk woote wanakana

    ReplyDelete

Top Post Ad