Lulu Wajibu Wanaosema Hawezi Kumpata Justin Bieber, Asema Ukichukia Ukale Mbegu za Malimao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu anaendelea kuonesha hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila Jumatatu.

Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya JB akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata.



Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka...msinijazie comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi kdgo...ni hv Huyu Bwana swala ya yy kupenda....nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote anaotaka kuwapenda...ila swala la yy kupendwa Aniachie Mimi....yan hyo kazi yangu....!!!

Sasa Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na hili Zoezi ni endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!! #MCM...... #Nilikuwepo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya lulu karudi tena,hawa bila kujitoa mabloguni hawaoni raha......pima uo ukimwi wenu kwanza,maana nasikia wabongo mnaua watu makusudiiii,eti Justin bieber,kuma lenyewe ndembwe ndebwe,nyoooooo

    ReplyDelete
  2. utampata tu usijali ongeza juhudi

    ReplyDelete
  3. Huyu mtu kichecheeee eti anataka atombwe na kufilwa na bieber,maana kuwa girl friend Wa bieber ni ndoto,anataka mchepuko.ili maisha ya mnyookee.mibaba unayotembea nayo vipi?aikutoshelezi?

    ReplyDelete
  4. Kumbe ndio maana shule ilimshinda,ana akili za kukimbiza kama samaki mtoni.

    ReplyDelete
  5. unataka nayeye umuue kama KANUMBA!!? Umechemkaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. Damu ya kuua aitomuacha lulu,rest in peace Kanumba,tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi kupitia mikono ya Elizabeth Michael

    ReplyDelete
  7. kuma huyu hana mana

    ReplyDelete
  8. Unaweza kumpata si upo kwenye chama cha wavaa suti

    ReplyDelete
  9. Heeee na lulu yuko kwenye hicho Chana ?wadada Jamani mtakufaaaaa kwa tamaa ya kupata PESA kishetanishetani,fanyeni kaziiiiii

    ReplyDelete
  10. Lulu anapagawa na wanaume matajiri,katupia picha instagram ya klyn,anaanza kumuweka karibu ili zikitokea birthday aalikwe,ili apate nafasi ya kumbania jicho mzee machache,jack ntuyabaliwe taadhari na huu mkosi oohoooo

    ReplyDelete
  11. Unamshobokea, mtu mwenyewe mbaguzi wa rangi, Yani we ZERO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atuulize sisi tunaokaa marekani,karibu na anga za bieber,yaaani sisi weusi anatuona wachafu anatuita gorilla.

      Delete
  12. sasa na wewe lulu mpenzi wangu wa zamani, Bieber ni yeye au kuna mfano wa bieber unaumaanisha hapa hapa dar, anyway Bieber mwenyewe ni homosexual unataka ukamsage au? all the best ila angalia tuchune tuchunike ufanye yaliyo yamsingi na uwekeze pia ule ziuri na kupumzika na mazoezi ya kutosha

    ReplyDelete
  13. she z desparate anataka mambo makubwa asiyoyaweza

    ReplyDelete

Top Post Ad