Diamond:Sasa Naoa Rasmi, Harusi Naweza Ifanyia Uwanja wa Taifa Kila Shabiki Ashuhudie

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga mashabiki wake wahudhurie harusi hiyo.

“Ndoa ni kitu cha heri na baraka, lakini kitu kinachofanya kidogo mambo yachelewe ni kwamba sisi au mimi ni mtu ninayefahamika, kwa hiyo hata ndoa yangu watu wengi wanatamani waihudhurie,” alisema Diamond.

Pia amesisitiza kwamba ndoa si jambo la masihara kwani ni tendo la kiimani na ndio maana amekuwa makini katika mipango yake.

“Nataka kila kitu kishuhudiwe na mashabiki, ninaweza hata kuifanyia Uwanja wa Taifa,” aliongeza.

“Unajua nilishindwa kufanya mambo haya haraka kwa sababu wengi nadhani wangeamini kwamba ninafanya hivyo ili kutafuta umaarufu zaidi, tunataka tufanye kiusahihi yasije tokea mambo kama ya Instagram tunataka tuje kuwa mfano wa kuigwa.”

Alipoulizwa tarehe ya ndoa hiyo Diamond alisema: “Nilishasema ni hivi karibuni, unajua siku zote vitu vya kheri waswahili wanasema lazima uvifiche, hata Mwenyezi Mungu naye anasema anampenda mtu aliye na siri, lazima vitu vingine uvifiche ili vipate kufanikiwa. Wakati mwingine kunakuwa na husda, hasidi kwa hiyo ukiviweka wazi sana vinaweza kutofanikiwa.”

Taarifa kwamba Diamond hataoa zilisambaa na kudaiwa kumchefua mchumba wake Wema Sepetu ambapo katika mahojiano mkali huyo wa wimbo ‘Mdogo Mdogo’ alisema: “Kwanza sikuwahi kusema siwezi kuoa, nilishtushwa na gazeti hilo, nilisikitika kwa kweli na iliniuma sana, lakini nikaona nikijibu nitaonekana kwamba sina adabu, kwa sababu siku zote anayeanza huwa haonekani lakini anayemaliza. Pia siwezi kubishana na vyombo vya habari, mwisho wa siku ni watu haohao nitawategemea wanifanyie kazi zangu,” alisema.

Hata hivyo Diamond alisema mchumba wake anaumizwa na vichwa vya habari ambavyo vimekuwa mwiba kwake.

“Hata hivyo magazeti yetu tumeshayazoea jinsi yanavyoandika, wakati mwingine inakuwa kama chachandu au kufurahisha baraza,” aliongeza.

Kuhusu taarifa kwamba ameachana na mchumba wake huyo, alisema: “Hatuna tatizo watu wengi wanasema tumeachana, lakini hatujaachana na hatuwezi kujibishana.

“Sijui nikujibu nini kwa sababu kila nitakachokujibu utaona namsifia kwa sababu yule ni mchumba wangu.
“Lakini ninachoweza kukwambia ni kuwa sisi ndio tunaoujua ukweli wa uhusiano wetu.

“Sidhani kama ni sahihi mapenzi yetu yakawa na wasemaji wengine zaidi yetu wenyewe. Sasa ni ajabu watu wanaposema yao.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

44 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mapenzi ni ya wawili bwana....mdogomdogo mtafika.

    ReplyDelete
  2. Kumanyoko zako msenge wewe kumbe una akili

    ReplyDelete
  3. FANYA MAMBO DOMO UKATE WATU NGEBE

    ReplyDelete
  4. aisee domo, muoe huyu dada, maanake ukimwacha tu, itabidi akatufute bwana nje ya nchi, tafadhali fanya hivyo, itakuwa poa sana.

    ReplyDelete
  5. Nyoo msenge umetishwa na mashabiki wa wema hanisi pevu ungilimchukuwa na kaka manager wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge ni wewe hapo juu,kazi umbeya na uchonganishi tu,kwa taarifa yenu wameisha wastukia mnajidai mashabiki kumbe ni haters mnaotaka kuona wameachana mpate cha kuongea,DOMO MUOE BANA MUANZISHE FAMILIA

      Delete
  6. wacha waone tu bwana wanapendezeana

    ReplyDelete
  7. Safi sana dagote"muoe uwakate midomo wambea!pia nakupongeza unajitambua!

    ReplyDelete
    Replies
    1. BORA UMUOE KISHA UMPE TALAKA 3 YESHE LAKINI HIVYO UHAWARA HUWA HAUISHI.

      Delete
  8. Hao ni JZ na Mkewe wote Chama kimoja

    ReplyDelete
  9. Apana chezeya suti nyeusi

    ReplyDelete
    Replies
    1. WIVUUUUUUU HAKUNA CHA SUTI NYEUSI WALA NYEUPE WIVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

      Delete
  10. Hao ni JZ na Mkewe wote Chama kimoja

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEMA NA DAI MUWAACHE MIAKA 800,NYOOOOOOO ROHO MBAYA TU.

      Delete
  11. Hao ni JZ na Mkewe wote Chama kimoja

    ReplyDelete
    Replies
    1. Apana chezeya mke mkubwa mume kadogooo hadi raha

      Delete
  12. Mambo ya kisasa mke mkubwa mume mdogo chezeya weeeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. wivuuuuuuuuuuu Daimond mkubwa kwa wema mwaka mmoja,sikiliza shoo ya spora dai katamka kwa mdomo wake yeye kampita wema mwaka,sema wema kaumbwa na mwili ndo mnamuona kampita dai,mnalo hilooooooo,ma hater tuuu wivu ni kidonda.waacheni watoto wa watu,Dai ukimuacha Wema Mungu atakupa laana mtoto wa watu anakupenda kwa rohoo yoteeeeeeeeeeee,mpaka akambwaga Clement kwa ajili yako.

      Delete
  13. Wema kizee,jamvi la wageni diamond utakua hauna akili.bora penny.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unalo hilo,

      Delete
    2. Wewe 11:08 Ndo Domo kapenda uzee wake sasa,pia kapenda ujamvi wake wa wageni, kuhusu peny ni andunje sana si hadhi ya domo

      Delete
    3. Jamani mlishaelezwa kwamba Penny ni dada yake katika ukoo, walikuwa wanat...ana kimakosa.

      Delete
    4. haaaaaaaaaaaaaaaaa,wewe uko wapi?hukusikia penny anakanusha anasema waoane hivyo hivyo kwanza eti undugu ni wa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,penny hakumpenda dai alikuwa anataka mali zake tu,sasa hivi eti anajinadi eti kapata bwana tajiriiiiiiiii kushinda daimond.

      Delete
  14. NIMEIPENDA SANA MDOGO WANGU MUNGU AKUBARIKI KWA HILO . ROHO ZOTE ZINAZOOMBEA MABAYA ZISHINDWE

    ReplyDelete
  15. stori za diamondi uwa ndo zinaongoza kwa comment nyingi...., ukweli bogo wote wana wakubali dimondi na wema ila asilimia 5 tu ndo wanafiki na nimeckia ndoa itafungiwa angani sheree uwanja wa taifa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiseme tena mdau wa juu,utaua watu

      Delete
    2. watu wana wivu na wema ,jamani mumuwacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,ana mapenzi ya kweli kwa Domo,kambwaga clement milionea kisa domo,mapenzi yana rani dunia,wema aangalii pesa anaangalia moyo wake umetua wapi?we niambieni kuna mtu gani anayeweza kummwaga tajiri kama clement?ebu semeni jamani acheni matani,ni nani?only WEMA SEPETU,aangalii pesa anaangalia moyo wake umezama wapi?

      Delete
  16. Kumbe domo unaakili nakupongeza kwahilo uwafunge midomo wambea ambao awataki muowane kama wanachuki wavae miwani wasione geleeeeeeeeeeee gwereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na weusi atuna kwereeeeeeeeeeeeeeeee mbona sasa wana gwereeeeeeeeeeeee nawakati weusi wametusifia acheni umbea wabongo kama mungu amapanga kapanga tu.

    ReplyDelete
  17. Sasa nimeamini Diamond umekua kijana mwenye akili, ni kweli ndoa ni jambo la heri hasa ukimuoa unaempenda wewe na moyo ukaridhia, usisikie ya wambea wakiona amani wanaleta mvurugo, wakiona mvurugo wanajitia kutafuta amani ya hawa hawatufai kwenye jamii maana ni vuguvugu, tunajua hakuuna ndoa inayofungwa ili kuziba midomo ya watu ila ndoa inafungwa ili kutimiza sakrament za mwenyezi Mungu na kuijaza dunia pia, huyo ni binti mvumilivu kwako inshallah kila jema liwe nanyi

    ReplyDelete
  18. D..MUOE WEMA ANAKUPENDA.PENY ANAPEND ELA ZAKO.ILA WEMA ANAKUPENDA.MZAE NA MTOTO WA KIKE MZURI KAMA WEMA

    ReplyDelete
  19. Daimond ddanganye Wema uzidi kumtumia hana akili huyo, tumeona ndoa za wasanii zimetumika mamilioni na mpaka mafarasi wakakodishwa hazikuenda kukote zimeishia kutukanana magazetini na kufanya zinaa nje ya ndoa hadi kuacchika ikiwemo ya UWOYA mpaka mwanaume alibadili dini. Wewe kama mwoaji funga ndoa nae acha kuzini unajiita muislamu, fanya sherehe baadae, huyo mwanamke umeshamuweka kwenye kona hahumsikia mamaake alipomushauri aachane na wewe, sasa amezitupa bahati zake zote anajijua hana mbele wala nyuma na hana pa kukimbilia itabidi aishi na wewe katika ndoa au nje ya ndoa ameshakua mtu mzima. wewe mtumie tu kama chombo cha kustarehe na kupata umaarufu, huna aibu kumtumia akukatie viuno kama stage show girl mwanamke unataka awe mkeo na utu uzima huo mwisho utamchezesha uchi huna mpaka wewe ili mradi mambo yako yakwendee vizuri. Wema zinduka kabla hujaisha thamani kabisa huyo hakuoi wala hatoishi na wewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwenda zako mbwaa wewe,kwanini hampendi amani? wewe inakuathiri vipi hata kama jatamuo,mawazo hasi kila wakati YA NINI?

      Delete
    2. 'Wanawivu hao hao hao, wagombanishi hao hao hao...........mdogo mdogo , ni sshhiiiddaarrrh!

      Delete
    3. hilo hapo juu litakuwa li ChAwI,LINA ROHOOOOOO YA KUTU MBAYAAAAAAAAA,UTAKUTA HATA WEMA ALIJAWAHI KUMUONA,BASI KUMJULIA MABLOGUNI SHIDERRRRRRRRRRRRRRR

      Delete
  20. wana wivu hao hao hao wachonganishi hao hao hao gere wamuonea gere ,haloooooooooooooooo dai ndo aoni wala aambiwi kwa wema kakoleaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,mnalo hilo wagagagigikoko wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,Dai muoe Wema dear anakupenda kiukweli achana na hao wanaotaka kukupata kwa ajili wewe ni star na hela,Wema ndo wema bwana anajua kupenda huyu mtoto daaaaaaaaaaaa.haki ya nani dai kama unampenda wema muweke kwenye mstari unaonyooka afate ambayo wewe huyapendi na wewe ufate ambayo wema ayapendi,matakataka mengine tupa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yanataka hela yako tu.ndoa yenu itadumu kwakuwa mmepitia misukosuko kibaoooooooooooooooooooo,yani nimefurahiiiiiiiiiiiiiii Wema simjui hanijui lakini nimefurahiiiiii sanaaaaa

    ReplyDelete
  21. NACHUKUA NAFASI HII KUOMBA MSAMAHA KWA PRESIDENT DANGOTE,NIMEKUTUKANA SANAAAAA KWENYE MABLOGU SANA TU NIMEKUCHAMBULIA MNOOOOO,KWA AJILI ULIMDHALILISHA MADAME SEPETU,NISAMEHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE,MSISIKILIZE WATU WANA WIVU WANATAKA KUWATENGANISHA WEMA ANAKUPENDA KWA MOYO WOTE AKI YA NANI,KAMUACHA CLEMENT KWA AJILI YAKO,UNAJUA CLEMENT ALIKUWA ANAMPA HELA NGAPI?////LAKINI HAKUANGALIA HAYO YEYE KAANGALIA WAPI ROHO YAKE INASUUZIKA,MMESHAPITIA MENGIIII MAZURI NA MABAYA,OA HATA WANAWAKE WAWILI NYIE WAISLAM HAKUNA SHOBO,ILA MADAM,LAZIMA AITWE MRS DANGOTE.

    ReplyDelete
  22. HAKI YA NANI HUTAKAA UPATE WA KUKUPENDA KAMA WEMA,WEMA SASA HIVI CLEMENT NI ADUI YAKE,NASIKIA MPAKA SASA HIVI CLEMENT ANAMTAKA WEMA,


    WEMA KASHINDWA KUMSIKILIZA MAMA YAKE KWA AJILI YAKO,UONI NI KIASI GANI AMEKUSHIBA?NYOOOO KUMANINA ZAKO UKIMUACHA WEMA WEEE HUTALIWA HELA ZAKO WALA HAKUNA MWENYE MAPENZI NA WEWE NI HELA TUUUUUUU,WEMA ANAKUPENDA KI UKWELI KAACHA MIHELA KIBAOOOOO KWA CLEMENT.

    ReplyDelete
  23. KAMA MNADAI WEMA NI KICHECHE HATA DAI NI KICHECHE KWAHIYO TABIA ZAO NI MOJA WAOANE.NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA.

    ReplyDelete
  24. DOMO AMEAMUA KUSEMA HIVYO KUWA NDOA IPO BAADA YA KUSEMA HATAOA, HIYO NI KUMDANGANYA HUYO WEMA MPUMBAVU ANA AKILI ZA KITOTO SANA. HUYO DOMO HATAMUOA ILA BADO ANAHITAJI KUMTUMIA TU. SIDHANI KAMA WEMA YUPO NA AKILI TIMAMU.MAHABA GANI HAYO.

    ReplyDelete
  25. Hakuna ndoa hapo bado wana tengeneza movie.

    ReplyDelete
  26. Hivii na Wema kakaa anasubiri kuolewa na hicho kiruka njia!... Hana career wala ambitions zaidi ya kibamia cha diamond kinacho chovya chovya kila sufuria?
    Nasikitika sana kama ni dada yangu anavyoharibu life yake!

    ReplyDelete
  27. Wewe 4:40 ww ni nan mpk uanze kuchagulia watu wapenz yako yamekushinda unafatilia ya wenzio na ni wivu tu ndo unaokuumiza kwenda hukoo waaache na ulijuaje kuwa ni kibamia alikufila acha usenge wkt dem wako anataman angekuwa wema ili awe na diamond piga kimya fala wewe

    ReplyDelete
  28. WEMA IS UR CHOICE DIAMOND KABISAA ANGALIA MATATIZO AMBAYO MMEPITIA LKN DADA WA WATU YUPO TUU NA ANASEMA HAKUNA KAMA WEWE DAI..WATU WANASEMA UNA SURA MBAYA LKN YY HAIONI MAPENZI MATAMU AMBAPO ROHO INARIDHIKA WANAOSEMA UNAMYUMIA WEMA HAWANA HAKIR WANA WIVUU WANAONA WEWE UNAPAAA ZAID UKIWA NA WEMA NA MUNGU NDO KAKUPANGIAA AISEE KUA MAKIN FANYA MAAMUZ AND U WILL BE APPY MAKE WEMA HAPPY AISEE SIE MASHABIKI HATA UKISEMA NDOA NI LEO YANI UNPAID TUTACHUKUA MAOFISIN HATA EMERGENCY TUTAOMBA LA MHIMU TUFIKE TUSHUUDIE NA WENGI WANATAKA KUONA NDOA YAKO WEKA KITU CHA UWANJA WA TAIFAA UWAKOMESHEEEE WATU WATAFRIKA SANAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete

Top Post Ad