Huwa najiuliza na Kucheka nikiona Mijadala ya Watanzania waishio nje ya nchi jinsi wanavyojigamba na kujiona wa maana kuliko Watanzania waishio Bongo , Mijadala ya kujionesha kuwa wanazo mingi huwa kwenye blogs na kwenye mitandao ya kijamiii, William Malecela alishwahi kuwasema hawa jamaa na kuweka hali halisi ya maisha ya kuishi ulaya wakaja juu sana kumtukana vibaya kwa kuweka wazi jinsi maisha ya nje yalivyo magumu
Sasa Embu Niambieni nani ambae anaishi nje ambae amafanikiwa kiuchumi au kijamii kiivyo kiasi cha kuwa mfano mzuri kwa wanaotamani kwenda kuishi nje ya nchi ?
Tutabanana hapa hapa Bongo
Hakuna mafanikio ya mapajero na majumba makubwa kwa kweli ila ni quality of life. Baba anakea watoto, familia inakuwa tight nk. Tz wazazi hata hawajui watoto wamekula nini. They hardly have time. Housegirls na house boys ndio wanalea familia. Wanaojidai ni makosa waseme ukweli kwamba they are struggling but they have better quality of life.
ReplyDeleteAisee umeongea la maana sana.
DeleteEmbu acheni kutufanya wajinga... wengi tumeishi huko sana tu na tumerudi nyubani .. maana nyumbani ni kila kitu. Swala la malezi bora nchi za nje sio option yako.. unalazimika kufanya hivyo maana sheria inakubana na sio kwa kuwa wewe unapenda hivyo.. inakuhitaji ukae na watoto wako mwenyewe bila house girl/boy kwa maana huwezi kumudu gharama labda uwe na uwezo wa hali ya juu. nakuhakikishia kuwa mlioko nje mna hali ngumu sana. na wengine hamuwezi kurudi maana mna wasiwasi na kucatch up na system ya kibongo...na kweli, ukija kifala bongo utaangukia pua. Home is always home.. there is little or no happiness kwenye nchi za watu.
DeleteKwa kuwa umerudi basi unafanya campaign ya kiwivu? Mbona huwapigii kelele waliotoka dodoma kwenye ukame kuhamia dar
DeleteUsimtaje William Male... he is also equaly confused. Bora alirudi nyumbani anyway. He still needs to settle as a father bring his children home and stop going around in pubs.. blogger my ass he is just coping and pasting. No originality except for his stupid camera taking photo with mabebezzz. Now I have said it.
ReplyDeleteSikujua kama ukweli unaumaga hivi... sasa mbona matusi mengi hivi?
DeleteJibu kwanza suala la watoto. Rudisha watoto wako kabla ya kucampaign watoto wa wenzio
DeleteKwakweli watanzania tumshukuru sana mungukwakutufanyakua nchiyetu tanzania,ni nchi ambayo kwasasa hata vijijini kwa asilimiakubwa wwanaofikiriakua nitakula nn siowengi lama ulaya,mimimwenyyewe nikifika tu uulaya ndionaanzakupanga bajet ya chakula,so sikama ulaya wanajua kulea watoto bali nihalingumu ya maisha ndiomtu inamfanya awemakinina family
ReplyDeleteNakubaliana na wewe mdau
DeleteInawezekana ikawa ni ngumu kuyaeleza hayo mafanikio kwa hali moja moja lakini kwa ujumla mafanikio yapo. Na pia inawezekana usiyaone kwa hali ya haraka haraka lakini ukiyaangalia kwa undani yapo. Kuishi kwenye nchi za watu zenye hulka na utamaduni tofauti na ule wa Nchi uliyotoka sio mchezo. Kuishi katika Nchi zenye watu wa aina tofauti kutoka nchi mbali mbali Duniani sio suala la kubezwa ni jambo linalohitaji ugangali wa hali ya juu. Mtu wa hovyo hovyo tu na mjinga mjinga kama huyo William Malecela Le Mutuz hawawezi na ndio maana amekimbia. Huyo Le Mutuz atueleze ni kitu gani ambacho hakujifunza akiwa nchi za Ulaya. Leo ni kitu gani kinachomfanya ajitenge na watu wa huku even if hakuwahi kuishi huko Ulaya. Ni kitu gani kinamfanya leo hii ayabeze maisha ya ughaibuni wakati familia yake kaiacha huko. Mbona ameshindwa kuichukua familia na watoto wake na anaishia kupiga picha za kijingajinga na hivyo visichana ambavyo viko desperate na kutundika hizo picha kwenye hicho ki blog chake feki. Kwa nini amekimbia kulipa child support ya watoto wake na kuwaacha wakiwa wanataabika halafu yeye mwenyewe bila hata ya aibu anadai anaishi good life. Good life my ass ya kushinda kutwa akizunguka kwenye mabaaa na kwenye Restaurant hizo feki anakula kama kiwavi tumbo kubwa anashindwa hata kuiangalia afya yake ni kama hakujifunza kitu chochote akiwa huko Ulaya. Wapo watanzania wengi wamefanikiwa katika hizo nyanja ambazo Ndugu Admin umezitaja hapo juu lakini hawaendi huko mitaani na kujitangazatangaza hovyo hovyo kama huyo loser Le Mutuz ambaye amekimbia kulipa child support ya watoto wake na kuwaacha wakitaabika huko mitaani kwenye viunga vya New York. Jamani watanzania wenzangu mshaurini huyo William Malecela aende akawachukue watoto wake kabla hawajauwawa huko mitaani kwa sababu ya drugs
ReplyDeleteAnony hapo juu at 2.10 word! Hear hear! Tena WM ndio anayeleta chuki kwa walio ughaibuni. Watz waliofaidika na support ya ndugu zao kuwa majuu ni wengi na support yao ni ya kimya kimya. Hao wachache vicheche kama William ndio wanaharibu sura ya watu waishio majuu.
ReplyDeleteMuende kisayansi zaidi sio kuponda wamajuu tu kwa wachache mabishoo. Nendeni BOT wawape figures za remittances toka kwa Diasporas kuja TZ + unrecorded amounts zinazokuja kwa bahasha mkononi!!! Acheni dharau. Nchi ikitengamaa watu hawatakimbia.na walioondoka watarudi tu.
Soma hapo! Hayo ndio mafanikio kwa nchi yanayotokana na wanoishi nje. Usitafute majina ya mtu mmoja mmoja maana wenye maendeleo ya kweli hawana makuu!!
ReplyDeletehttp://www.trademarksa.org/news/tanzania-remittance-inflows-10m-last-year-says-unctad-report
Huyu jinamizi Le Mutuz anafikiria atakuwa anaenda huko mitaani na ku criticise watu bila ya kujua undani wao. Anashindwa kuelewa huko ughaibuni kunao watanzania ambao ni very successful tena katika almost every and each aspects. Ni watu wako kimya kimya huwezi wajua hivi hivi tu kwa sababu kwanza wako katika ile top layer. Circles zao ni tofauti kabisa huwezi kuwakuta wana mingle na watu aina ya washenzi na wapumbavu kama huyo Le Mutuz huwakuti kama ni watu showing off. Ni watu wako kimya na ni very intellectual hawawezi ishia hizo discussions za kipumbavu za huyo Le Mutuz ambaye hajui ni nini anachokitaka katika maisha yake. Hao majamaaa watanzania wanazo achievements za hali ya juuu na wako responsible na kila kitu mpaka familia zao. Wao hawakuziteleza familia zao kama huyo Le Mutuz ambaye basically kilichomkimbiza huko ni child support. Sasa unaweza ona huyo ni mtu wa aina gani. Huyo Le Mutuz anashindana na wale watu wa level yake ambao kimsingi ni watu irresponsible ni watu hivi hivi tu ni watu Malaya, Walevi na wanaoshinda usiku kucha wakirandaranda kwenye mabaa. Na pia ni watu hawana agenda zozote za maana zaidi ya ile showing off ya kwenye mitandao na blogs feki. Ni wale watu ambao sio intellectual na huwezi wa involve kwenye discussions zozote za maana. Sasa kwa sababu ya ufinyu wa akili yake pamoja na wale wanaomzunguka anafikiria kila mtu ni wa level yake. Hiyo Elimu anayo claim anayo unashindwa elewa inamsaidia nini. Kazi yake ni kukaa kwenye hizo local politics na kufikiria kila mtu yuko interested na hizo local politics. Watanzania mnaomzunguka
ReplyDeletehuyo jinamizi Le Mutuz hebu mjaribu kumsaidia ile psychology yake. Kwa kweli he needs a professional help. Hana lolote
na pia ajaribu kuwa responsible kwa ile familia yake alipe ile child support kuikimbia child support haitamsaidia kitu kwani wale watoto ni wake na sio wa mtu mwingine. Aache kuwadanganya baadhi ya watanzania wenye uelewa mdogo wa mambo.
Achaneni na mlevi wa pombe za mnazi! Ndugu zetu mlio mbele tunawapa respect sana! Wengi tumefaidika na kuwepo kwenu huko! Isitoshe wenzetu mna afya bora, upeo mkubwa, utu(waaminifu) mna uzalendo, mko well mannered, hata kulea familia mnajua!
ReplyDeleteMko juu! huyo malechela mnywa mataputapu asiwasumbue akili yake ipo kwenye makalio!
Poleni sana kwa usumbufu!
Huyo Le Mutuz msenge mkubwa anafikiria akili yake ni sawa sawa na za watu wengine. Kazi yake ya kuzunguka usiku kutoka Club moja hadi nyingine kama Mwanga kazi yake ni kwenda na kuzitia Nuksi biashara za watu wengine na pia anakwenda Kupiga picha hovyo hovyo na hivyo visichana feki ambavyo viko desperate na U Staa na kuishia kutundikwa picha zao kwenye hicho ki blog chake feki dah hao mademu wanajichora kweli.
ReplyDeleteThank God I get to see my kids every night. No malaria. Good job at the bank. I go to the church I like. Mboga 7. Kids go to good school. Wazazi bado wako Oysterbay, real estate investment.
ReplyDeleteWM-kapishana na my dad 15 years. WM has to kiss ass za watoto wa wakubwa.
I do not need that. I love USA. I love bongo. I have better chances here...wadau nawapenda. Ignore kubwa jinga
Mjadala wa raia pacha nao unanikera. Watu wako so negative na uraia pacha na sababu wanazotoa hata hazina ukweli. Kifupi watoa point wengine hawajui kitu na bora wangengoja watu waseme wajifunze kuliko wanavyochangia na kufundisha wengine ujinga. Pia kwa kufanya hivyo wanaendelea kupandikiza roho ya kuchukia uraia pacha.
ReplyDeleteWatanzania wenye khali ya chini ni wengi, tena na wengi wametoka katika familia zisizojiweza lakini nao wamebatika kwenda nje, hao ni watu wa kundi la chini kabisa au kawaida, na tangu walipofika uko nje, majukumu yao ni familia zao walizoziacha huku home country, mama Land, weee familia nzima iko hoiiii, kila anachokipata ni familia nyumbani kwanza, Msiangalie lile kundi la watu wa khali ya juu tu pekee yake, wapo na kundi la watu wa khali yachini pia nao wanaishi uko kwa kutafuta maisha yao na ndugu zao na familia zao waliowacha huku kwetu Tanzania,
ReplyDeleteKweli anonny at 2.32: Tena hao waliotoka familia masikini ndio wako makini na wapiga box wazuri mno, ili kulipa ada, bili za hospitali, kutuma hela za mazishi, ali mradi macho yao ni nyumbani nyumbani nyumbani!!. Wamajuu kama kuna msiba huwa wanafika mapema nyumbani na kuwahi mazishi.. Kama mtu hana uwezo kuondoka haraka tuna utaratibu wa kusaidia vizuri sana. Sasa kitu gani kinawafanya mkatae uraia mbili wakati watu wako huku kwa faida ya nyumbani. Wanaotia aibu na kushindwa ni wale toto toka nyumba geti kubwa mfano wa WM. Nimemuona kimbelembele Diaspora meeting last week ili kuchukua umbeya aje aume watu pia picha na Rais na PM. What??? He has a love and hate relatioship with diasporas. Mi simjui lakini his blogg says it all na sasa simpendi kama nini. Mleta hoja hapo juu alitaka kujua kama kuna mafanikio ya kweli na majina ila alikosea kumtaja WM maana ni kama amekutuma. Mwambie hukutukuta!!!
ReplyDeleteFlora Lyimo aka mbuta nanga'' yeye anaishi maisha yake apendavyo anajiweka wazi na anasaidia watanzania wenzake kina mama zaidi kwa mikopoa ya mikoba na sasa amekuja na mpya ya flora lyimo opportunity 2014 amabopo kusema kweli wengi humuona yule dada chizi ,lakini kwa mtizamo wangu mimi mwenyewe japo pia nilikuwa namchukulia kama mpenda kiki' Mimi nimefaidika sana kwa mikoba yake'' nimeuza nakupata changu na mpaka sasa hivi ninawateja kibao na najulikana hapa mjini dar kwa ajili ya Flora Lyimo 'na sipo peke yangu pia nimesha waungasha na wenzangu'' huyu dada anastaili pongeze na she is my ''INSPIRATION''
ReplyDeleteHuyo lemutz alie kutuma kamwambie KUMALAMAMAYAKE'' YANI MSENGE LISHOGA NA DAWA YAKE NI FLORA LYIMO '' Nalichukia limewakimbia watoto wake na mke marekani sasa linafikiri wenzake ndiyo wanavyo ishi kwa USHOGA MAJUU'' mapumbu yake'''
ReplyDeleteMdau hapo juu nipo na wewe..kweli Da Flora Lyimo ''ni mwanamke JEMBE yani wengi wanamuona chizi lakini anavyo jituma ni hatareeee''na hata mimi sasa nimechukua mzigo mara ya pili''ni mbongo gani yupo majuu anaweza kukupa kitu bila hata kumfaham na akakuamini 'hivi hivi ? yani yule dada Mungu atamlipizia pale anapotoa'' ndie DIASPORA ndani ya UK ninae mkubali ''
ReplyDeletembele kuna advantage nyingi ukicompare na hapa bongo, kwanza ukiwa mtu unayejitambua utafanya mengi huko majuu kuliko hapa bongo, kwanza kuna kazi nyingi waweza fanya ukasave hela yako vizuri na kurudi nayo hapa bongo nakufanya lamaana, hiyo nitofauti kubwa kati ya huko na huku, huku mpaka uwe unafanya ujanja ujanja tu wawizi ndiyo utoke vizuri, au baba yako awe fisadi fulani ndiyo utoke, huku kumejaa majungu na upumbavu mtupu kwa maisha ya sasa hivi, na hayo ni yakweli tusidanganyane.
ReplyDelete