Utabiri wa Askofu Kakobe Unaendelea Kutimia: Ikulu na Mwanasheria wa Serikali watofautiana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni mazingaombwe yanayoweza kupatikana tanzania pekee duniani.

'ikulu inatoa tamko lao kuwa bunge litaendelea na katiba lazima ipatikakane bila hata ya kuwepo umoja wa katiba ya wananchi [ukawa].

Na wakati huo mwanasheria mkuu wa serikali anakuja na vituko vingine vya kuueleza umma wa watanzania kuwa bila [ukawa] katiba mpya haiwezi kupatikana.na tena anaenda mbali kwa kuwaomba kwa moyo mweupe na kiunyenyekevu wale aliowaita matumbili,ati tu kwa sababu wanapigania maslahi ya umma wa watanzania kuwa ame miss manjonjo yao ya kupigania ukombozi wa watanzania!

-hapa tukubali tukatae lazima kutakuwa na ombwe la uongozi nchini.

Na askofu zackari kakobe atashinda kwa unabii wa maneno yake kuwa c.c.m itasambaratika katika ramani ya dunia na hatutaiona wala kuisikia tena!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahaaaaa sijawahi kumsapot kakobe lakini hapo umenikosha baba. naanza kukuelewa

    ReplyDelete
  2. hahahaaaaa sijawahi kumsapot kakobe lakini hapo umenikosha baba. naanza kukuelewa

    ReplyDelete

Top Post Ad