Diva na Aunt Ezekiel Washikana Mashati kisa Ujauzito wa Aunt

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’ kwa madai kwamba amemtangaza mitandaoni kuwa amepachikwa ujauzito na mume wa mtu ambaye ni densa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Peter ‘Moze Iyobo’, jambo ambalo ni uongo.

Akizungumza kwa masikitiko ya hali ya juu, Aunt alisema kuwa hakutegemea mtu kama Diva angetumia nafasi yake ya utangazaji kumchafua akimsingizia kuwa ni mjamzito, jambo ambalo limemsababishia matatizo kwenye ndoa yake na mumewe Sunday Demonte.

“Mwanamke kuwa mjamzito si jambo baya lakini kunichafua mbele ya jamii eti nina mimba ya Moze Iyobo, imeniuma sana.

“Hebu vuta picha wakwe, mawifi na mashemeji ambao tayari wameshasikia na kusoma kwenye ukurasa wa Diva, akisema mimi nina mimba ya yule mtoto, dah! Nimeumia sana, kwa kweli siwezi kuliacha lipite hivihivi.

“Huyo Diva lazima nitasimama naye mahakamani,” alisema Aunt.

Hivi karibuni, kwenye ukurasa wake wa Instagram, Diva aliandika: “Wakati sakata la mtoto mzuri Aunt Ezekiel ana mimba ya Moze Iyobo likipamba moto, mimba ambayo ni tangu Mwezi wa Ramadhan, sasa hesabuni miezi, hapa ni miezi miwili au mitatu.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. enjoy honeymoon yako kimyakimya naona huna jipyaa mfyuu

    ReplyDelete
  2. Aunt Ezekiel unataka kutuambia na uozo wote unaofanya Una mama mkwe, Wifi fyuuuuuuuuuuuuuu danganya Malaya wenzako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na alishasema hajali,
      sasa kelele za nini tena?

      Delete
  3. MIMBAA! AIPATE WAPI, HAKUNA MIMBA ZOTE CHOONI , KWASA CHOO KINAKALIBIA KUJAA SEMA KWA SASA ZIMEGOMA, HAKUNA TENA . HIVI HUYU EZEKIEL NI KABILA GANI JINA LAKE LINANITATIZA WADAU NIELEWESHENI HILI JINA NA MTU MWENYEWE

    ReplyDelete

Top Post Ad